Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

ikitokea tu yanga ikatinga robo final ya CAFCL basi na final yenyewe ipo mikononi mwao,kikwazo kikubwa ni dhidi ya mc algers leo. yanga kufanya vibaya CAFCL mechi za mwanzoni ulikuwa ni kipindi...
11 Reactions
31 Replies
937 Views
1.Ushindi 1-0 kwa Yanga , maana yake Al hilal kivyovyote ataongoza Kundi hata akifungwa na Mazembe 2.Yalitosha kumpa Yanga points zitakazoweza kumvusha endapo atashinda mechi yake ya Leo ...
1 Reactions
18 Replies
654 Views
Viongozi wa hii taasisi wameanzisha kampeni ya utapeli ambayo sisi kama raia wema tunaomba serikali yetu tukufu iingilie kati sababu raia masikini wanakamuliwa bila kujitambua yaani wanampa tajiri...
4 Reactions
41 Replies
1K Views
Katika dunia ya soka, hakuna mechi inayosikika sana, kuvutia mashabiki wengi, na kuwa na mvuto mkubwa kama El Clásico, mechi kati ya FC Barcelona na Real Madrid. El Clásico ni moja ya michezo...
1 Reactions
6 Replies
376 Views
Kwa 90% wameshamalizana nae na Mshahara wake wa sasa huko ni 'Kufuru' na Jumba la Kifahari Mbweni Ufukweni.
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Kuna bakuli linaendelea kwenye Klabu ya Simba ambapo Wajanja ambao ni Viongozi wa Simba wameona sehemu ya kupiga pesa kwa Mashabiki wao ambapo sasa inachangishwa million 100 na hapo Sasa mpaka...
8 Reactions
123 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa zamani wa Scotland, Manchester United, na Manchester City, Denis Law, ambaye ndiye mchezaji pekee wa Scotland kuwahi kushinda tuzo ya Ballon d'Or, amefariki dunia akiwa na umri wa...
2 Reactions
4 Replies
355 Views
Katika hali ya kushangaza sana nimeona hata baadhi ya wachambuzi wa mpira wanaongea kwa uchungu sana baada ya kuona mashabiki wa Simba wameamua kuchangia timu yao baada ya kuadhibiwa na CAF...
5 Reactions
2 Replies
366 Views
Mimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu. Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua...
10 Reactions
74 Replies
4K Views
I salute you kinsmen. Mjue mimi kama mchambuzi nguli kabisa hapa JF nimekuwa nikishangazwa na tabia ya ndugu zangu mashabiki wa Simba sc.! Wao wana tabia za ajabu sana na zinashangaza sana. Leo...
7 Reactions
30 Replies
783 Views
Week-end hii ndipo mizunguko ya michezo ya CAF inakamilika. Kutakuwa ni michezo 16 lakini ya muhimu kufutaila ni hii hapa chini kwa vile mingine itakuwa ni ya kumailisha ratiba tu. CAF-CL Yanga...
4 Reactions
6 Replies
384 Views
Tunakubali Simba tuko kifungoni ila Azam TV watakuwa wazalendo sana wakiweka sauti bandia za mashabiki ili kunogesha matangazo yao ya mechi hiyo. Wenzetu huko walikoendelea ndiyo wanafanyaga...
5 Reactions
35 Replies
967 Views
Tajiri ametoa ofa ya kuwapeleka wana simba wote kutazama mechi yao ya mwisho kwenye TV screen kubwa huko Mwembe Yanga; Ingependeza sana angewapeleka Mwembe Simba...
1 Reactions
16 Replies
641 Views
I salute you kinsmen. Usajiri ule wa dirisha kubwa na hili dogo team mbalimbali zimesajili ikiwemo simba na yanga . Usajili ni patapotea ila kwa kiasi kikubwa usajili ni akili ya viongozi na...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Jumapili mnyama anakwenda kushika nafasi ya kwanza katika kundi, mechi hiyo haitakuwa na mashabiki kwa sababu ambazo tayari zimeshatajwa na viongozi wetu. Nawasihi sana mashabiki wa Simba wote...
2 Reactions
5 Replies
406 Views
Bakuli lishaanza kutembezwa. Mlivyokuwa mnatoa viti mnasema Ubaya Ubwela[emoji23][emoji23][emoji23]Haya toeni pesa. Na Zile za Uwanja zipo wapi kwanza? Makolo waomba kuchangia faini ya 100...
8 Reactions
135 Replies
2K Views
Kuna watu wanajifanya wanaipenda Simba lakini hadi hawajachangia hata sumni halafu wao ndio wanajiona mastaa wa kuisemea Simba, ukiwaona mitaani ama uwanjani wanajifanya wao ndio Simba kweli kweli...
2 Reactions
31 Replies
487 Views
Mtangazaji wa ITV Hosea Mchopa amemnasa Christina Mwagala Afisa Habari wa Tabora United ambaye ametamba kufanya usajili wa kutikisa kwa kutumia Shilingi milioni 500 kusajili wachezaji takriban...
3 Reactions
12 Replies
748 Views
Huo ndio undugu sasa. Maana sisi wenyewe tusingeweza Game yetu ya mwisho na waarabu tushindwe wenyewe sasa. Turejesheni calculator za watu Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans |...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…