Mimi kama shabiki wa Liverpool ningependa kuwaomba ndugu zangu mnavyoweka mikeka yenu msimuue Chelsea [emoji23] akifungwa leo atakuwa na Goal Difference (GD) Negative. So muweke hata awin au adraw...
Kama unatazama hii Mechi ya Al Ahly vs Mamelodi Sundown, halafu unamsikia kiongozi wako anakwambia sisi malengo yetu ni nusu fainali ya Champions League, mpige kibao azinduke.
Hawa jamaa wapo...
Ukweli husemwa:
Huu utalii wa kutumia jina la uwakilishi lazima tuuangalie kwa macho mawili.
Sina budi kuzipongeza zile nchi anbazo kwa msimamo makini hata hazikupeleka wawakilishi kuwa kama...
Simba anapojipatia mawindo yake fisi huanza kujichekeshachekesha kama fosi za watani zangu Wagogo zinapovuka barabara za lami
Na hakuna mnyama hasimu mkubwa wa simba huko nyikani kama mafisi...
Tulijaribu kuwaeleza Hawa ndugu zetu kuwa endapo timu hii ingekutana na timu za maana ile hatua ya awali basi hata caf confederation cup isingekuwepo.
Bahati mbaya wakajiona Wana timu ya maana...
Huwezi ukalinganisha goli la ugenini na la home stadium. Ukweli ni huo lazima mamlaka iliangalie hili.
1. Mathematics haiwezi kuwa sawa na Language.
2. Visa ya USA haiwezi kuwa sawa na ya Rwanda...
Kwa kipindi cha miezi 12 iliyopita, nchi ya Senegal imeonyesha outstanding performance katika mchezo wa Soka Barani Afrika. Senegal ni:-
1. Mabingwa wa Kombe la Mataifa Afrika,
2. Mabingwa wa...
Mimi ni simba damu damu ila kusema kweli sioni kama tutatoboa kimataifa.
Timu imekata tamaa kama mjane mwenye watoto saba.
Fikiria tumepigwa na horoya
Tumepigwa 3 kavu na raja
mpaka mwekezaji...
Maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu na Mizimu ya Kwetu ni Kuomba tu Simba SC tufungwe ili Safari hii tutoane Roho na Klabu isiwepo tena katika Ramani ya Soka Duniani.
Na taarifa za uhakika nilizonazo...
Mwez ujao kutakuwa na mashindano ya Draft ya kumtafuta bingwa wa Tanzania
Kwasasa Hapa Dar es salaam kumekuwa na mechi za Man to Man , za mabingwa wa draft wakijiandaa kuelekea Mashindano hayo...
Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira.
Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio...
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo Na ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini.
Nimefurahi sana kuona timu zinazoshiriki michuano ya caf hazina vipolo kwenye ligi. Ila waamuzi wetu bado hawako...
Habari wakuu,
Unapopanga kikosi kuna kitu kinaitwa team balance.
Tangu kocha Robatinho aje amekua akimtumia Chama kama winger kitu ambacho kinaiathiri sana team hadi kupelekea hata mechi ya juzi...
Salaam..!!
Katika pita pita zangu mitaani nimekutana na maneno toka kwa wadau wa Simba Sc, hasa mashabiki na wanachama wake, wanaodai kwamba, uchaguzi wa Simba Sc kufanyika wakati ule [katikati...
1. Robertinho ni mmoja wa makocha bora wa kigeni wanaolijua soka la Afrika mashariki
2. Hajakaa na timu muda mrefu ili aweze ku-instil falsafa yake ya timu kushambulia muda wote.
3. Timu ipo...
MKEKA WA Christina Mwagala (Msemaji wa klabu ya KMC) [emoji1614]...
Kwa mara ya pili leo narudi tena kuzungumza na baadhi ya watu ambao wanajiita wachambuzi.
Tangu jana baada ya kumalizika kwa...
Misimu kama mitatu iliyopita jamaa wamefika mbali sana UEFA na Europa lakini msimu huu hakuna dalili ya kutoboa hatua ya mtoano waliyofikia.
Liverpool kashakula 5, Man City mzee wa kugawa goli...