Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

SIMBA [emoji881] WAPATA HASARA MILIONI 638[emoji736] Klabu ya Simba imeingia hasara ya zaidi ya Shilingi Million 600 kutokana na baadhi ya mashabiki wake kufanya fujo na kung'oa viti kwenye mechi...
5 Reactions
54 Replies
1K Views
I salute kinsmen Kwa sasa Africa mashariki na kati na pengine Africa nzima inaeleweka wazi hakuna beki wa kati kumzidi kitasa Dickson Job! Huyu kijana ana uwezo mkubwa sana Composure ya hali ya...
5 Reactions
26 Replies
636 Views
Wiki hizi mbili zimekuwa chungu sana kwa wana utopolo. Tumewananga kwa vikokotoo na hesabu za vijiti. Leo nitakuwa na akiba ya maneno. Mechi ya Al Hilal vs Yanga inaenda kuisha kwa sare. Kuhusu...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Hili nitalielezea kwa ufupi sana ila naomba ujumbe uwafikie wahusika na wawajibike. Kuna haka kamtindo na katabia ka baadhi ya wanachama wa Simba, nimewahesabu wawili mpaka sasa ambao wana mtindo...
3 Reactions
26 Replies
884 Views
Tarehe kama ya leo (16 Januari, 2024) klabu ya Simba ilifanikiwa kupata saini ya miaka miwili ya mshambuliaji Pa Omar Jobe raia wa Gambia akitokea klabu ya FC Zhenis inayoshiriki Ligi Kuu nchini...
7 Reactions
11 Replies
544 Views
Simba imeadhibiwa kwa sababu yetu sisi mashabiki, sio kosa la uongozi wala nn, japokuwa tunaamini kuwa Caf wametuonea lkn hakuna namna tena, lazima tulipe dola efu 40,000. Ndugu yangu shabiki...
4 Reactions
24 Replies
697 Views
Kiungo fundi wa Azam FC, Feisal 'Fei Toto' Salum inadaiwa amepokea ofa ya Tsh milioni 600 kutoka kwa miamba ya Soka, Simba SC, ikiwa ni malipo ya kusaini mkataba wa miaka mitatu. Simba wapo tayari...
9 Reactions
92 Replies
6K Views
Tajiri dewj usione aibu kutuomba tuongezee tulichonacho ili timu isajili vizuri tuko tayari kuichangia timu Hizo kelele na kebehi za mashabiki wa Yanga usizingatie sisi tuko tayari kuichangia...
6 Reactions
16 Replies
416 Views
DAR ES SALAAM: YANGA imetambulisha usajili wa kiungo wa pembeni π‰π¨π§πšπ­π‘πšπ§ 𝐈𝐀𝐚𝐧𝐠𝐚π₯𝐨𝐦𝐛𝐨 kutoka timu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Chanzo: habarileo_tz Na nasikia Wakala wa...
1 Reactions
15 Replies
655 Views
Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa. Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa...
19 Reactions
118 Replies
2K Views
Mchezaji aliyekuwa akicheza AS Vita club na timu ya taifa ya Congo DRC kama winga ya kulia, Jonathan Ikangalombo Kapela ametua rasmi kwa wananchi, Young Africans SC. Soma Pia: Tetesi za usajili...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Huwa kila siku nasema hii timu ya Simba wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama Simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban.
8 Reactions
147 Replies
4K Views
Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. πŸ’” == Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa...
6 Reactions
105 Replies
4K Views
Ndiyo, adhabu ambayo CAF wameipiga Simba ikiwepo ya pesa na kutoingiza mashabiki inauma na hakuna mwanasimba aliyeifurahia. Ni muhimu tukakumbuka kuwa Simba si timu ya kwanza kupewa adhabu hiyo...
5 Reactions
31 Replies
967 Views
Timu ya Tanzania ( Taifa Stars ) imepangwa kundi B michuano ya CHAN 2025 itakayofanyika mwezi wa nane mwaka huu. Ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hii ambayo ilitarajiwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Viwanja mbalimbali kwenye mikoa Tanzania na maeneo ya muhimu yanamilikiwa na CCM kitu ambacho kinatilia mashaka Kwa utawala wa nyuma ambapo Nchi ilikua hauwezi hata kujenga viwanja vya mpira CCM...
2 Reactions
2 Replies
222 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu? Leo nimekuja kwenu kwa anayefahamu taratibu za kusajili tawi la Yanga. Ningependa kujua hatua kwa hatua. Yaani vigezo na masharti, ada za usajili na mambo mengi...
1 Reactions
4 Replies
208 Views
Beki wa Yanga, Kouassi Attohoula Yao atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kisichopungua wiki nne na kisichozidi wiki sita baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti na enka. Hayo yamebainishwa na Ofisa...
2 Reactions
11 Replies
709 Views
Imeelezwa kuwa Klabu ya Real Madrid imekata tamaa zoezi la kumsajili beki wa pembeni Trent Alexander-Arnold kutoka Liverpool katika Dirisha Dogo la Usajili wa Januari, hiyo ni baada ya ofa yao ya...
0 Reactions
0 Replies
177 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo, tarehe 14 Januari 2025, amepokea kombe la ushindi kutoka kwa timu ya Wizara yake, Nje Sports Club, baada ya...
0 Reactions
1 Replies
193 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…