Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa muda sasa nimeona pesa ikitumika na ujanja ujanja katika usajili. Nimekuwa nikiona watu ( wajinga ) wakishauri kuwa Simba isajili nchi za magharibi na kusini eti ndio sehemu zenye wachezaji...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Wachambuzi: mechi zidi ya watunisi! Nabi Sio Kocha wa mechi za kimataifa, Yanga wanapaswa kutafuta Kocha mwingine wa kuwavusha! Baada ya gemu na Tp Mazembe! Wachambuzi Nabi ni Kocha wa kimataifa...
3 Reactions
11 Replies
498 Views
Jamaa linajua sana, linapiga free kick za kikubwa sana. Juzi limewatungua Waarabu, jana cotton sports wamelizwa kwa magoli makali yote. Nadhani huyu jamaa hatasalia tena Al Hilal baada ya...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Hii ni mechi dume na wydad anaongoza moja lakin anapelekewa moto hatari hadi kocha wao anatamani kuwaambia wakimbie. Huku kwetu mpira ni ushubwada tu, eti timu ina Kibu Denis, Boco, Mzamiru...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Na kwa jinsi Presha ilivyonipanda kama Simba SC haitoshinda leo au hata ikitoka Sare/Suluhu tu naweza Kulazwa ICU. Ninaitakia tu Kila la Kheri Simba SC.
1 Reactions
8 Replies
866 Views
Tukihahahaaa kupata mil 5 ya mama.leoooi mpaka sasaaa sahani iasomaa ht yanga tumepigwa 2-0 kipindi cha pili tutapata goli kupitia mmoja wa mabeki wetu ama wa katiiiii kama juhudi zikiendelea...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Nikiri lile tusi mbumbumbu ni kama nalielewa sana kwa sasa. Wakati wanabadili mwalimu timu ikiwa inafanya vizuri wengine tulipiga kelele.Binafsi nilipiga kelele kwa Mo kuleta mzungu kama mwalimu...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Siku hizi watanzania wakitaka kuvinjari hujiunga kwenye mbio za Marathon. Ingawa kuna tetesi kuwa mambo huko huwa moto! Baadhi ya washiriki wa CRDB Marathon 2022.
1 Reactions
7 Replies
736 Views
Kwa kiwango walichokionesha kwenye mechi dhidi ya Tp Mazembe, Naiona Yanga ikishinda 2-1 ugenini. Je unahisi Yanga watashinda goli ngap
4 Reactions
18 Replies
803 Views
Niseme tu labda siwafahamu De Agosto vizuri. Lakini mpira wa Jumapili wa Simba sikuelewa, butu butu nyingi. Ubora wa timu niliouona kwa Mgunda ni ifuatayo; Uchaguzi mzuri wa wachezaji. 1...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hayo sio maneno yangu, ni maneno ya watu wa Simba walivyokuwa wakimpamba beki wao mpya. Najiuliza baki wa dizaini hii juzi alikuwa wapi?
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Droo ya 16 bora ya EUROPA imepangwa ambapo ni kama ifuatavyo 🇩🇪 Union Berlin vs Union SG 🇧🇪 🇪🇸 Sevilla vs Fenerbahce 🇹🇷 🇮🇹 Juventus vs Freiburg 🇩🇪 🇩🇪 Leverkusen vs Ferencvárosi 🇭🇺 🇵🇹 Sporting CP...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Simba kutaka kucheza mechi za kirafiki na al hilal ni kujimaliza, kutafuta injury bila sababu. ZIMBWE NA KAPOMBE HAWAPATI ROTATION HAPO HAPO TUNA MECHI NA SINGIDA BIG STARS KABLA YA KUSAFIRI...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Tena kama kuna Mchezaji aliye block Mipira mingi ya Viungo wa Horoya FC huku akiwasumbua na Kuziba Mashimo vyema na akitoa Pasi za uhakika, akijiamini na kupiga Chenga zilizoenda Shule ni Kiungo...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
“Attack Attack “ Nataka wachezaji washambulie muda wote,Inakuwa ngumu kuingiza mbinu za kushambulia kwa sababu kwenye kikosi changu kuna idadi kubwa ya wazee (Wakongwe) Na mimi napenda kutoa...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Ili Simba ishinde ugenini Uganda itakapocheza na Vipers kwanza kabisa Robertinho atumie mfumo wa Juma Mgunda ili kuleta ufanishi kwenye timu. Mbinu zake hazifanyi kazi Simba kwa sbb ya wachezaj...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
1. Golikipa Aishi Manula Tusifiche na kuwa Wanafiki kwa Siku za karibuni amepoteza Uwezo wake na Kufungika si tu Kirahisi bali Kizembe mno. Aambiwe awe Mkali awapo Golini hasa kwa Kuwapanga...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Ukiangalia SImba kwa nini timu haitembee. Kuna mambo mawili ya kuangalia kwanza UMRI wa wachezaji waliopo SIMBA wengi ni 30 and above, Pili SImba haipandishi vijana wa under 20 kuja timu ya...
5 Reactions
9 Replies
613 Views
Huku ikitarajia Kucheza katika Ligi ya Championship Kesho ( Ijumaa ) dhidi ya Dar City FC Klabu Kongwe na ya Kihistoria ya Maji Maji FC kutoka Mkoani Ruvuma ( Songea ) alikoishi muda mrefu Msemaji...
1 Reactions
13 Replies
906 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…