Upo msemo unasema "a viper strikes while you feel safe and secure" yaani nyoka huyo mwenye sumu kali anakugonga ukiwa unajihisi uko salama,timu ya Vipers itaikaribisha timu ya Simba nchini...
Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said amezungumza kuwa baada ya Kamati ya Hadhi na Haki za Wachezaji kumtaka Fei Toto kurejea Yanga, mchezaji huyo hajarejea klabuni licha ya kushindwa katika shauri la...
Baada ya kusambaa kwa video ikionyesha basi la timu ya Simba likiendeshwa kinyumenyume, dereva wa basi hilo na meneja wa timu, wamevunja ukimya wa tukio hilo huku jeshi la polisi kikosi cha...
Akizungumza na kituo cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi wa kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Ramadhani Ng'azi amesema wameanza uchunguzi kubaini sababu za dereva wa basi la Simba SC kuendesha...
Jamani me naanza kuamini msemo wa Ajibu kuwa Bocco mchawi. Why Bocco anapewa nafasi na Phiri anakaa nje? Hivi kweli Phiri wa kukaa benchi na Bocco kuanza?
Pili, kwanini mpaka leo Simba inasajili...
Kuna shutuma zimetolewa na MINOCYCLINE zikiwa na lengo la kuichafua Serikali, Waziri Dkt. Pinda Chana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Serikali kupitia Waziri Dkt. chana imehudhuria...
maoni yangu kuhusu kuweza kubadili maisha yako kwa uzuri kwa kucheza slots online. Ni kweli kwamba baadhi ya wachezaji wa slots wamepata mafanikio makubwa na kushinda jackpots kubwa, ambayo...
Kwa kikosi cha Yanga sioni kama hawa TP Mazembe kama watatoboa. Cheki kikosi hiki;
Diarra
D. shaban
Lomalisa
Job
Doumbia
Bangala litombo
Aucho
Aziz key
Kenedy Musonda
Mayele
Amani ya bwana iwe nanyi wana wa MUNGU.
Kuelekea mechi dume jumamosi, mechi ambayo kila mtanzania anaisubiri kwa hamu, mechi ambayo kila mwafrika mpenda soka anaamini raja casablanca anenda...
Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo
Yanga haijawahi kucheza hatua ya...
Asubuhi ya leo, Feb 19, 2023 Mashabiki wa Simba, mashabiki wa hovyo kuwahi kutokea Duniani, mashabiki jeuri, wajivuni!
Mashabiki wanaojua kuvimba kwa sifa wasizokuwa nazo pale litimu lao bovu...
Niseme nini kuhusu Yanga Africa, niambieni niseme nini? Mpaka kesho najiuliza hivi inawezekana vipi kuwa shabiki wa soka bila kuipenda Yanga? Sijawahi kupata jibu.
Yanga ni furaha, Yanga ni...
Wakuu,
Kupitia Waziri wa Michezo Pindi Hazara Chana, kama mwakilishi wa Rais Samia usiku wa leo katika uwanja wa Taifa, ametimiza ahadi yake ya kuikabidhi timu ya wananchi Yanga FC kitita cha...
Nimeona mashabiki wengi wa Simba eti wanaongea kwa uchungu sana na wanamlaumu kocha kisa kufungwa na Raja!
Hivi kweli tukiweka bangi pembeni
Kweli Mtu unashangaa simba kufungwa na Raja...
Kama Wewe unazitaka kwa Udi na Uvumba Alama ( Points ) Sita ( 6 ) za Ndani Nje za Mganda unadhani na Yeye Mganda hazitaki zako Sita ( 6 ) za Nje Ndani?
Halafu nani aliyewaambia na Kuwadanganya...