Tukiachana na mambo mengine kiukweli kiwango cha kipa wa simba Aishi Manula kimeshuka sana ,amekuwa akifungwa magoli ya ajabu ajabu na kuighalimu timu.
Hata lile goli la pili lililo fungwa na...
Simba tuingalie mechi ya Vipers vs Horoya kazi ipo sana. Katikati ya kiwanja Horoya waliweka watu 5 na wamepata sare kwa hiyo St Mary, sio kitu rahisi kwa Simba tujiandaeee.
Saidio na Chama...
Ukiangalia mechi vizuri Simba tuliwadharau RAJA mpango kazi wa kucheza nao ukawa kama tuncheza na ruvu. Haiwezekeni ucheze na RAJA uaache magap nyuma na ktkt makubwa namna ile. SImba tubadilike...
Habari zenu,
Mpira ni kitu cha wazi, kinachezeka uwanjani, Simba wanalitia taifa aibu sana. Waliwasha moto South, jana wamerudisha gari kinyumenyume, mganga wao sijui kasomea driving school...
Mchezaji bora wa dunia muda wote na mshindi wa kombe la Dunia mwaka jana Leo Messi anasemwa kukataa mkataba mpya aliopewa hadi 2025 na nyongeza ya mwaka mmoja hadi 2026.
Watu wake wa karibu...
Kama wewe ni mtu wa mpira utakuwa umeona kabisa TP Mazembe kwa misimu hii ya karibuni ni timu imekuwa ya kawaida mno. Tofauti yao kimchezo na Ruvu Shooting au KMC ni historia tu.
TP Mazembe wana...
Mambo machache ya kujipanaga kupata Pesa ya Kutosha kusimamaisha uwanja wake
1. Mageti ya uwanja haya yote yawe sokoni kwa mkataba wa miaka 3 - 10
2. Majukwaa yote yawe sokoni kwa Mkataba wa...
Baada ya kusugua benchi, leo ameongoza jahazi la ulinzi wa Yanga.
Kwa mimi huyu ndio Man of the Match wangu. Kuna muda alikuwa kama kapagawa au kama kavurugwa hivi maruhani yamempanda, alikuwa...
Moja kwa moja kwenye topic, Napenda kuwashauri viongozi wa Simba kuachana na Vunja bei amekwisha proof failure tangu day one, kila msimu anakuja na excuse zisizo na msingi, imagine leo tarehe 15...
Timu ya Tajiri #13 Afrika inafanya Mambo ya Kipumbavu na Aibu kabisa halafu bado unataka Mwenyezi Mungu aibaeiki ishinde.
Tulichokibakiza sasa kutokana na Kuamini Kwetu Uchawi ni Kuwaambia tu...
Kiufundi na Kiujuzi wametuzidi almost kila Idara hivyo nashauri ili Kupunguza Magoli tukimalizana na Horoya Kesho tukirudi tutafute Waganga wa Kienyeji sehemu mbalimbali ya nchi ili wawapunguze...
Mwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo.
Bila kufanya usajili...
Kwa bahati nzuri navyowajua mashabiki wa Simba kwa mpira ni kama sharehe fulani tu ambayo hata ikiwaletea maumivu basi ni siku 2 ama 3 tu maumivu yanapoa, na hata ile maumivu huwa sio kivileee...
Habari yako kamanda mkuu wa Barabarani, Kuna video inasambaa ikionesha basi ambalo moja kwa moja linaonekana ni la timu ya Simba SC likiendeshwa kinyumenyume katika barabara kuu hapo Dar es...
Kwa kilichotokea na kufanywa na viongozi wa Simba dhidi ya kocha mzawa Mgunda ni ukosefu wa fadhila na shukrani. Mgunda aliichukua timu wakati mgumu sana na kwa kipindi chote alichokuwa na timu...
Viongozi wa Simba kiburi chenu cha kutosikiliza ushauri, hii aibu inawahusu.
Watu wengi walishauri kuwa haikuwa wakati sahihi wa kumleta kocha mpya katika dirisha dogo wakati aliyekuwapo alikuwa...
Baada ya MINOCYCLINE niliyebarikiwa Jicho la Kiufundi kuja na Uzi hapa hapa JamiiForums Wiki Moja imepita kuwa Raja Casablanca FC ni Maji Marefu kwa Simba SC yangu ( yetu ) nilipokea Matusi...
Pongezi nyingi ziende kwa wapambanaji wote kuanzia mashabiki, viongozi, benchi la ufundi na wanachama wote wa Dar es Salaam Young Africans kwa ushirikiano mkubwa wa kuisapoti timu yao...