Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nyama za uzi zitakuja baadae, Ila kama wew ni shabiki wa Yanga kikwetukwetu na ni Red Devil kule kwa mamtoni onesha uwepo wako na kwa namna gani kama siku ya leo ulivyofurahi.
1 Reactions
9 Replies
310 Views
Uzi tayari, wadau mje
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Kiuhalisia simba hatuna timu ya kushindana kwenye ligi wala kwenye mashindano ya kimataifa. Timu iko flop. Lazima tukubali mpira wa sasa hauchezwi kwa historia eti kwa mkapa hatoki mtu huu ni...
22 Reactions
112 Replies
6K Views
Lile basi la Simba Lilipokuwa likirudi nyuma kwa kasi lilikuwa llinapunguza idadi ya magoli. Jana mnyama angetotolesha vitoto kumi
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Hivi karibuni, Simba wametoa poster moja ya "Kwa Mkapa Hatoki Mtu" ikiambatana na picha ya Moses Phiri akiwa vitani akiwa amezungukwa na moto. Mimi sijawahi kupenda hizi graphics toka enzi zile...
11 Reactions
54 Replies
5K Views
Kwa jinsi ilivyooo Naamini haitatuaibisha kama simba jana ile n aibu 3-0 na hela.Iko mezani Naomba tujitahidi magoli jaman na kama kaushindi kanawezekana mfanye hivyo kumpa nguvu raisi wetu...
0 Reactions
11 Replies
541 Views
Neymar Anakiwasha Psg mpaka Raha ,Kwa hali hii dili lake la kwenda Chelsea si dhani kama litatiki Embu jionee mwenyewe[emoji116]
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Na wakumbusha kuwa leo tuna cheza na jezi yetu ya kiama nyeusi kwa hiyo msitegee kuwa tutapoteza hiyo ni taarifa ambayo nimewapa mapema
1 Reactions
1 Replies
208 Views
Wakuu habarii zenu, husikeni na somo tajwa hapo juu. Naanza na kukiri kuwa Katika nchini yetu kuwa kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na wachambuzi wengi ambao mimi binafsi nawaita Makanjanja...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Siku zote Uchawi wa Simba SC (hasa Jini lake la Ushindi) huwa linafanya Kazi vyema kuanzia Saa 1 Kamili Usiku mpaka Saa 5 na dakika 59 Usiku. Na hakuna Mechi yoyote Ngumu (ya Kimaamuzi) hasa ya...
22 Reactions
66 Replies
6K Views
Ama kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Nataka mtufunge ili tukichanganya na zile Hasira za Kufungwa Thalatha za Mwarabu jana tupate sababu ya Kuvurugana zaidi na Mgogoro uwe mkubwa Klabuni ili Mo Dewji ( Mwekezaji ), Salim Abdallah...
5 Reactions
7 Replies
900 Views
Yanga na wapa taarifa hakikisheni mumejipanga vizuri mazembe wako serious saana msimu huu kwa hiyo msiende kucheza nao uku akili zikiwa mfukoni
1 Reactions
4 Replies
467 Views
Tukiachana na muziki, burudani inayofuatiwa kwa kupendwa na wengi ni mpira! Lakini imekuwa bahati mbaya kwa mpira wa hapa nyumbani, umebebwa na timu mbili tu za Simba na Yanga. Hali imekuwa...
4 Reactions
14 Replies
628 Views
Baada ya Simba kupoteza kwa magolo 3-0 dhidi ya Raja Casablanca, hivi ndivyo Kocha wa Simba, Roberto Oliveira Robertinho alivyosema: “Nafikiri timu yangu imecheza vizuri lakini ilitakiw akucheza...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Anapigwa Nyumbani kwake Simba na anaenda kupigwa Morocco. Sioni hata Draw kwa Simba. Sioni. Simba kesho Jumamosi atakachoshinda ni Njaa tu. Mimi naelezea kutokana na Ubovu wa Simba na Ubora wa...
8 Reactions
68 Replies
3K Views
Chama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia Ukimleta kwenye game kubwa za njoo nije anapoteana...
10 Reactions
67 Replies
5K Views
Fact ipo hapa Walienda Kwa mtaalamu akawaambia mtapigwa kumi Kwa mkapa Wazee wakamuambia angalia vizuri huku wakichukia Mtaalamu akawaambia, naziona 8 .....Simba nguvu zikawaishia ikabidi...
3 Reactions
5 Replies
562 Views
Ni kweli huko nyuma Simba aliweza kuwafunga Al Ahly na timu zingine kubwa. Pamoja na kwamba Simba alizifunga hizo timu, ilikuwa ni kujidanganya kudhani tayari Simba yupo nao level moja. Kwa mfano...
0 Reactions
1 Replies
347 Views
Nitoe Pole kwa wanasimba wenzangu kwa kichapo tulichopokea jana nyumbani. Ni wazi mpira ulichezwa vizuri na timu zote mbili kwa ufundi mkubwa. Wachezaji wa simba pamoja na kufungwa walionyesha...
0 Reactions
1 Replies
516 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…