Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wanadamu tumeumbwa kusahau. Ni vema kujikumbusha mambo ya msingi ktk nyakati tofauti tofauti.
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Wanasimba tunataka mambo ya kisomi zaidi.
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Jina la kiungo wa Man United, Casemiro limekosewa kuandikwa na kutamkwa kwa muda mrefu, lakini mchezaji mwenyewe ameacha iwe hivyo akiamini kukosewa kwa jina kunamfanya acheze vizuri uwanjani...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Kikundi cha wawekezaji kutoka Qatar wapo tayari kutoa ofa ya kuinunua Manchester United, ambayo haitowezwa kufikiwa na matajiri wengine wanaotaka kuinunua timu hiyo. Familiya ya Glazer, ambao...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakati wengi wanashauri Utalii kuwekeza / kutangaza Kwenye Timu za huko Ughaibuni tuangalie hii issue huko South Africa; SA Tourism to meet Ramaphosa over Tottenham deal South African Tourism's...
0 Reactions
12 Replies
658 Views
Wajuzi naomba mnisaidie hapa kuna athari gani ya timu kama man city kutumia pesa halali ya wamiliki wake kuwekeza katika timu mpaka wakatunga hizo sheria zinazowafunga?? halafu hawa epl...
0 Reactions
5 Replies
526 Views
Inasikitiisha kuona Mzee Dewji kujiuzulu uongozi inakuwa kashfa kwake na familia yake. Mzee Dewji kajitolea kuiongoza Simba miaka ya 80 na ikawa na mafanikio makubwa. Sio busara kumporomoshea...
0 Reactions
3 Replies
922 Views
Kila la Kheri Wananchi Bendera ya Taifa Ikapepee Vema, tumaini na shahuku kubwa ya Watanzaniani Ubingwa ni sio makundi na kuhishia roho faunal I sababu mafanikio ya mpira upimwa kwa vikombe 💪💪💪💪...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Imechukua uamuzi wa kumpa kazi Mwanasheria Lord Pannick ili awatetee katika kesi yao inayoendelea kuhusu uvunjaji wa sheria za fedha katika Premier League. Manchester City ipo hatarini kukatwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama thread inavyojieleza, mm binafsi sihafiki hili, ligi yetu sio bora kwa kiwango wanachotuaminisha. Moja ya zao la ligi bora ni kuwa na timu nzuri ya taifa, Kwetu timu yetu ya Taifa ni...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba ndugu Kassim Dewji amestaafu rasmi kama kiongozi wa Simba S.C na Sasa anajiandaa na maisha mengine nje ya uongozi wa Simba
10 Reactions
23 Replies
3K Views
Inaelezwa wamevunja kanuni za Premier League kwa zaidi ya mara 100 ndani ya misimu tisa ya nyuma kuhusu wadhamini na masuala ya mikataba. Tamko la uongozi wa EPL limeeleza Klabu ya Man City...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Muombee adui yako aishi maisha Mengi ili unapofanikiwa ajionee mwenyewe. Hatutaki visingizio mwisho mwa msimu, Kuna Gap la points 5, na mechi mkononi ambayo najua ni +3, maana msimu huu tunapita...
13 Reactions
13 Replies
900 Views
Jana nimeangalia mechi Yanga vs Namungo nimekubali Musonda anajua. Namungo hawakuweza kumkaba Bali kumshika jezi tu jamaa anapepea hakamatiki! Tumfundishe Musonda kuwa akishikwa na beki awe...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Staa wa zamani wa vilabu ya Chelsea na Newcastle vya England Christian Atsu (31) Raia wa Ghana ambaye kwa sasa anacheza Hatayspor ya Uturuki amekwama kwenye kifusi cha jengo lililoanguka baada ya...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za kazi wadau, naomba kufahamu ni mkoa Gani ambako wameandaa MASHINDANO ya riadha ya vijana U18, U20 Kwa ajili ya Kuunda timu ya mkoa itakayoshiriki mashindano ya umri huo ktk ngazi ya taifa
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Uwanja wa Mkapa kabla ya kuanza kwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Al Hilal, Februari 5, 2023. Pia soma: Uwanja wa Mkapa unatia aibu, nani awajibike?
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe, leo nimeishabikia Tottenham hotspurs Katurahisishia sana. Kampiga kimoja Man city na kunyamazisha kelele za manyang'au. Arsenal........... Sent from my...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Bila shaka, kijana mdogo Mohamed Mussa ni hazina. Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Simba katika dirisha dogo kutoka Malindi ya Zanzibar alikuwa kwenye kiwango bora sana katika Ligi ya Zanzibar na...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Florentina Zabron nje miezi 6 Mwamuzi Florentina Zabron ameondoshwa kwenye ratiba za michezo ya Ligi Kuu kwa kipindi cha miezi 6 ijayo kutokana na kuionea Klabu ya Geita Gold ilipocheza na Yanga...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…