Ninaipongeza klabu ya Yanga kwa kuendelea kufanya vizuri kwenye ku design jezi. Jana zimezinduliwa jezi za kiwango haswa mpaka mashabiki wa Simba wakizitamani. Lakini moja ya jambo ambalo kwangu...
"Zile zama za kuwa na mkataba sare sare maua zimepita. Kwa miaka ya hivi karibuni Simba tumewekeza vya kutosha ili kuhakikisha brand yetu inakua,"- Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano...
Ndugu zangu wa Simba hili sakata la Malalamiko ya SportPesa kwa uongozi wa Yanga lisitupotezee muda tukashindwa kujadili mambo muhimu yanayohusu klabu yetu ya Simba na maendeleo yake.
Tunatakiwa...
Kuna Jogging Club moja mahala fulani Mwenyekiti na Katibu wanatuhumiana kwa Mmoja kumzidi Mwenzake idadi ya Wanawake aliyolala nao.
Na katika Jogging Club hiyo hiyo Wanawake wakikimbia muda Wote...
Tatizo hapa sio mdhamini. Tatizo ni viwalo.
Yanga wako tayari kutoa pesa zozote kuvunja mkataba ili wabadili viwalo.
Lile neno sport pesa limeshawachosha tu.Yanga ni kama mke tu wa manara...
Endeleeni kudhani mnavyowafanyia Wazawa/ Waswahili wenzenu na wananyamaza basi itakuwa hivyo hivyo pia kwa Wazungu hata kama Kampuni zao zilizoko nchini Tanzania zinaongozwa/ zinasimamiwa na...
Spotpesa na Dar Young Africa, akili kubwa sana[emoji123].
Wala haihitaji nguvu nyingi akili ikijitosheleza. Maana mantiki na malengo ya matangazo ya biashara ni jamii au umma unaolengwa kama...
Hakika nimeshangazwa sana na wazee wa Yanga kuleta siasa kwenye mpira. Kuna wakati Yanga waligoma kuvaa jezi zenye nembo ya Twiga mwenye rangi nyekundu ambaye ni nembo ya mdhamini wa ligi kuu...
Katika mechi ya Sporting vs Benfica Jana, Mwamuzi alitoa kadi nyeupe Mchezoni. Kwa wengi waliozoea kadi ya Njano na Nyekundu tu Mchezoni, tukio Hilo liliacha maswali.
Wataalam wa soka wanafafanua...
Sina Mengi ya Kusema hii Article ya Gab Marcoti paints a Better Picture:-
Trying to make sense of Chelsea's transfer spree: big gambles, but big rewards too?
The dust has settled, and the numbers...
Hello.
Naiona Yanga wakichukua ubigwa wa mwaka 2022/2023 wa NBC premier ligi ikiwa imebaki pointi 21 watangazwe ubigwa.
Naiona Arsenal ikienda kuchukua ubigwa wa Epl mwaka huu.
Huu ni utabiri...
Najua Kocha Mgunda ni Muoga na aliogopa Lawama Kumtoa ila kama kuna Wachezaji ambao leo wamecheza hovyo / vibaya na najua Kocha wangu Mkuu, Fundi na Mtaalam Roberto Olivieira angekuwepo angewatoa...
Hilo ni swali ambalo Mmiliki wa liverpool John w.Henry aliwahi kuuliza hasa msimu wa 2012/2013 pale ambapo Arsenal walitaka kumsajili Suarez kwa Paund mil. 40 wakaambiwa waongeze hela wakaongeza...
MPAKA leo ni nani ambaye anaweza kuelewa mshambuliaji wa Mkongomani, Cesor Manzoki alikuja kufanya nini katika mkutano mkuu wa Simba? Ni ngumu kujua. Ni mshambuliaji ambaye Simba ilimkosa katika...
Mlitumia nguvu kudai kuwa kiungo mahiri nchini Feisal Salum amekiuka masharti ya mkataba kwa kuamua kuvunja mkataba wake na sasa mmemuandikia barua mkimtaka arudi kambini ingawa yeye hana tena...
Itaidhamini katika mashindano ya kombe la shirikisho ambayo klabu ya yanga inashiiriki
Mkataba huo wenye thamani ya shilingi bilioni moja na millioni Mia tano utaisaidia yanga katika mashindano...
Hizi timu zetu zina uongo uongo mwingi.
Simba walitangaza kuwa watapokea 4.5bil kwa mwaka kutoka M-BET kama main sponsor, ajabu kwenye kusoma Mapato ya Mwaka 22/23 M-BET anatoa 2.5bil
Ilitamkwa...