Yaonyesha kuna ugumu wa kupata wachezaji wazuri dirisha dogo.
Hawa wasemaji wetu wa timu hizi kubwa wameanza kutamba hata kabla dirisha kufunguliwa kwa maneno ya kuvutia na kutisha kuelekea...
Katika uendeshaji wa timu wa muda mrefu na sio kutaka mafanikio ya haraka haraka na kuua timu, kocha anayefaa kuigwa ni Arsene Wenger...,
Mashabiki wa Arsenal inabidi wafikilie sana wanachokitaka...
Mbona kama wametupiga sound hawa watu wa Yanga. Walizindua chanel yao kwa mbwembwe ila mpaka sasa mbona hatuioni, au ni mimi ndio sijui namba ya chaneli?
Wakali wa London, Chelsea leo wanaanza likizo baada ya likizo ya Kombe la Dunia.
Ni mchezo wa derby ya London ya Magharibi, Fulham Vs Chelsea.
Baada ya kipindi cha muda mrefu Chelsea kupitia...
Habarini,
Naanza. Bila Shaka huwa unaona au kusikia kwamba soka au mpira wa miguu yaani "Football" ni biashara kubwa sana tangu miaka mingi. Unapona vilabu vikubwa kama Manchester United, FC...
Chama cha soka nchini TFF hatimaye kimeridhia ombi la klabu ya Simba na hivyo kuamua kusogeza mbele mchezo wao wa ligi ya Nbc dhidi ya Mbeya City Ulivokuwa ufanyike tarehe 17/Jan.
Hatua iyo...
Hatimaye leo hii Fainali ya Mapinduzi Cup inaenda kupigwa kumtafuta Bingwa mpya msimu huu ambapo ni kati ya Singida Big Stars dhidi ya Mlandege kutoka Zanzibar majira ya saa 2:15 usiku.
Singida...
Klabu kongwe hapa nchini Simba S.C ipo mbioni kukiandikia barua chama cha soka nchini TFF ya kuomba kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa ligi ya Nbc dhidi ya Mbeya city uliopangwa kupigwa tarehe 17...
Yaonyesha wazi serikali imebariki hizi bahati nasibu zinazotamba kwenye baadhi ya redio hapa nchini.
Watu kwa maelfu wanavutiwa na watangazaji kucheza michezo hiyo ambapo kima chake ni shilingi...
Simba S.C inatarajia kushuka dimbani tar 15 Jan kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya timu dhaifu ya Al dhafra inayoburuza mkia kwenye ligi nchini mwake ikiwa haijashinda mchezo wowote...
Taarifa mpya na kubwa kutokea kambini mwa Simba huko Dubai ni kocha Robertinho kumpa zawadi Kibu Denis.
Sababu ya kumpa zawadi hiyo ni kuridhishwa na Kiwango kikubwa cha ufungaji kilichooneshwa...
TFF ndio baba wa mpira Tanzania, ndicho chombo kikuu cha mpira nchini, ndio wenye mpira wao.
Kama TFF imethibitisha kuwa Fei Toto ni mali ya Yanga haitoshi kuishia hapo tu, bali lazima waseme ni...
Hii ni article ya muandishi Gab Marcotti aliyeamua kumuangalia Messi kwa dakika zote aone anchofanya - very interesting read...
DOHA, Qatar -- The conceit was simple, ahead of Argentina's final...
Zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya dirisha la usajili kufungwa, klabu ya Simba ipo mbioni kuwatema wachezaji hao ili kupisha nafasi ya kusajili wachezaji wapya.
Ikumbukwe nafasi za wachezaji wa...
Bondia wa Tanzania, Karim Mandonga a.k.a Mandonga mtu Kazi anatarajia kuzichapa na bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi.
Pambano hilo litafanyika Jumamosi, Januari 14, 2023 nchini Kenya.
Pambano...
Yanga: Tunamuunga mkono manara kudai haki vyombo vya juu zaidi
Klabu ya Yanga imesema kuwa adhabu ya Ofisa Habari wao, Haji Manara kufungiwa miaka miwili kujihusisha na soka na faini ya Tsh...
Kamati ya Rufaa na Maadili ya Shirikisho la Soka nchini TFF chini ya Mwenyekiti wake Richard Mbaruku imempungizia adhabu Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara kutoka Tsh. Milioni 20 hadi Milioni...
Kwa misimu mingi klabu ya Azam FC inahangaika sana kupata kocha atakayeifanya Azam iwe klabu tishio uwanjani.
Kwa maoni yangu kuna makocha wawili wazawa ambao wakipewa hii timu ya Azam wanaweza...
Kudadadeki GENTAMYCINE sijawahi Kumpenda na Kumsifia Mchezaji Mbovu au Mchezaji ambaye hafanyi kile nilichomsifu nacho. Nikisema au Nikichambua huwa nakuwa nina uhakika kwani hata huo Mpira...