Habari Wana jukwaa.
Nitaandika kwa KIFUPI Mno.
NIMPONGEZE muwekezaji Mohamed Gulam DEWJI kwa kuipeleka timu Dubai kwa maandalizi ya MICHEZO ya KLABU BINGWA na kujiweka tayari kwa LIGI KUU...
Katika pita pita zangu za kutafuta chakula ya akili... (habari, makala na upembuzi wa hapa na pale) nimekutana na hii article ya Gab Marcoti... Interesting Read.
Pele. Four letters, two...
WAZEE WA SAMBA BALL, ni miaka 20 iliyopita tokea Brazil itwae Kombe la Dunia kwenye ardhi ya Japan na Korea ikiwa na nyota pendwa Ronaldo de Lima, Rivaldo, Cafu, Zee la mashuti Roberto Carlos...
Habari za mda huu wapendwa
Manyumbu wa man United napenda kuwwambia Kuwa kocha mlienae mmepigwa waholanzi waga wajinga mno
Watawajazia wachezaji uchafu wa kiholanzi VANGAL ALIWAJAZA.
TEN HAG...
Hivi huyu mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji ni kweli aliweka Ile bil 20 tuliyoambiwa?
Watu mbalimbali wamekuwa wakihoji hili suala bila mafanikio huku uongozi wa wanachama ukiongozwa na ndugu...
Cristiano Ronaldo, familia yake pamoja na wapambe wake wataishi kwenye hoteli moja balaa sana nchini Saudi Arabia ambapo watamiliki jumla ya vyumba 17 na watakuwa wakizilipia jumla ya dola za...
Yanga ipo tayari kuachana au kumtoa kwa mkopo Gael Bigirimana kutokana na kushindwa kuonyesha kiwango bora kikosini hapo, lakini ugumu unakuja mchezaji mwenyewe hayupo tayari kutoka kwa mkopo na...
Huyu jamaa ni tapeli Sana baada ya kuona pesa zinakuja anajua kabisa simba ikienda robo fainali atapiga Ile pesa kwa 49%
Huyu jamaa ukitaka kujua ni tapeli mwangalie timu ikianza kushinda mechi...
Official, Golikipa wa Tottenham na Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Hugo Lloris amestaafu kucheza soka la kimataifa.
Hugo ameichezea Ufaransa Michezo 145 akifanikiwa kufika fainali mbili...
Habari za muda buu wana michezo,
Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari ameamua...
Ndio nachelea kusema Simba wamebaki kucheza na Propaganda zisizo na tija.
Simba wamebaki kujaza watu kwenye mitandao ya kijamii na kuwatumia wanaojiita wachambuzi kwa ajili ya Very Cheap...
Ndio ni Azik K kati ya mafundi wanaoimbwa sana nchini mwetu kutokana uchezaji wake na kubwa zaidi aina yake ya upigaji wa Faulo.
Idadi ya makipa walioteswa na Aziz K ni wengi kwa kifupi kuna...
Wakili Salum Nduruma ambaye anamuwakilisha mchezaji Feisal Salum katika mgogoro wake wa kimkataba dhidi ya Yanga amesema wamepokea nakala ya maamuzi ya Kamati na mteja wake hana mpango wa kurejea...
Ukijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je...
Baada ya kufanya mazoezi na kikosi kwa siku mbili katika kambi waliyoweka nchini Dubai Kocha Mkuu Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amejiridhisha kuwa anahitaji mshambuliaji mwingine.
🔹 Robertinho...
Habari.....
Simba baada ya kutolewa kwenye michuano ya Mapinduzi wakapanga safari ya Dubai. Hii safari ipo kisanii sana, kiukweli kutokana na ufinyu wa muda sidhani kama ilikuwa sahihi kwa Simba...
Huyu demu nimepata kushudia video zake fulani akiwa kwenye timu ya costa de sol.
Angekuwa mwanaume Yanga wangelipata mchezaji mzuri saana, ila kwasababu ni demu basi Yanga Princess wamepata...
Mpira una wadau wengi wa aina tofautitofauti wenye umri, jinsia, uchumi, kada za siasa, utumishi na hadhi mbalimbali. Kwenye upira wamo hata marais wa nchi. Unapokuwa kiongozi wa timu ya mpira...