Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni lini sisi mashabiki wa soka hapa nchini tutaacha kumtaja Manzoki? It's like hajawahi kutokea mchezaji wa aina yake. Basi kamilisheni usajili wake ili tupumzike na story zake. Mwaka mzima...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Kiburi cha Zidane kimemtokea puani Rais wa ufaransa Emmanuel Macron kuelekea mechi ya fainali ya kombe la Dunia kule bara la asia kati ya ARGENTINA na Ufaransa alitoa ndege kwa watu maarufu...
1 Reactions
5 Replies
685 Views
Miongoni mwa mashaur mepesi yaliyopelekwa TFF ni hili swala uvunjaj mkataba wa feisal salum, watu wengi wanachanganya kati ya breach of contract na termination of contract, breach of contract ni...
16 Reactions
43 Replies
4K Views
Huyu jamaa hatari leo kwenye nusu fainali za Kombe la Mapinduzi amefunga goli nne za akili kubwa sana na kufanya jumla ya magoli aliyofunga kuwa tano. Singida Big Stars hapa mmelamba dume. Ngoja...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
MICHEZO: Mchezaji Kevin Durant amefunga alama 17 alfajiri ya kuamkia leo Jumatatu Januari 9, 2023 na kuisaidia timu yake ya Brooklyn Nets kuibuka na ushindi wa alama 102-101 dhidi ya Miami Heat...
1 Reactions
5 Replies
474 Views
Tanzania tunatafuta vitu vya kusaidia kudumisha muungano wetu kila siku. Hakuna haja Wala faida ya muungano kwa Tanganyika na Zanzibar kuwa na ligi mbili tofauti. Hata kule Spain Barcelona ni timu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii kesi n ktk kesi rahisi kuliko zote. Niliandika akishinda kesi kiiten mbwaaa
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Alinukuliwa mshambuliaji mwenza wa Al Nassr baada ya mechi, "Kuwa na ronaldo hapa kwenye timu ya Al Nassr ni jambo zuri lakini kama siku zote ninavyosema ningependelea Leon Messi ajiunge nasi...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
[emoji116]
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Ndio Simba walishazoea vya kunyonga,Simba wamejaa ubahili wanataka kitonga tu. Baada ya kuona kwa Benard Morrison wamefanikiwa wakaja na gia ile ile ya Urubuni ili wampate Feisal kwa Bure...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwa akili tu ya kawaida hii kesi ya Feisal ilikuwa wazi sana ata kwa mtu asiyejua sheria na miongozo ya Fifa kwenye mikataba ya wachezaji angeweza kuiamua bila shida. Ni kichekesho sana unaingia...
14 Reactions
72 Replies
3K Views
Bada ya kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji ya TFF kutegua kitendawili cha kimkataba kati ya klabu ya Yanga na mchezaji Feisal Salum, unaambiwa mashabiki mbalimbali wa Simba wamelaumu sana...
8 Reactions
42 Replies
4K Views
Maoni ya mdau kuhusu sakata la Feisal na Yanga SC. YA MORRISON YALIVYOMPOFUSHA FEI TOTO Kulikuwa kuna upuuzi wa aina mbili katika kesi ya Feisal; kuamini mawakili wa Morrison wangeshinda kesi ya...
13 Reactions
29 Replies
3K Views
Mjadala wa feisal kwa hapa nchini umefungwa rasmi na kamati ya sheria na hadhi za wachezaji baada ya kutoa uamuzi wake kuwa ni mchezaji halali wa yanga kwa mujibu wa mkataba wake aliosaini akiwa...
2 Reactions
8 Replies
820 Views
Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na Power Dynamos kumsajili mshambualiaji hatari Kennedy Musonda kwa ada ya uhamisho wa Dollar laki moja sawa na shillingi milion 230 na Kennedy anatarajiwa...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai. Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano...
23 Reactions
73 Replies
4K Views
1. Cristiano Ronaldo Alifanyiwa Operation ya moyo akiwa mtoto..., Ronaldo had a ‘racing heart’ while in his teens, even while asleep. His mother Dolores Aveiro told the Telegraph that it was...
4 Reactions
8 Replies
854 Views
Baada ya kutamatika kwa safari ya Simba SC kwenye michuano ya Mapinduzi Cup 2023 huko Zanzibar, viongozi wa Simba hawakutaka kulaza damu mara moja wakawasiliana na wakawa (agent) wa mchezaji...
5 Reactions
56 Replies
5K Views
Nawafahamu watu hawa. Ndiyo ambao walimwita Fei Toto na kumchimba mkwara. Wakaharibu zaidi wakati sisi tunaenda kuongea na mama yake amkanye mwanawe wao wakaona wamwite yeye. === Alichoandika...
7 Reactions
86 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…