Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari za mda huu, Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya...
14 Reactions
85 Replies
3K Views
Habari za uzima wananzego, ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya kabisa lakini kwa mashabiki wa yanga ni furaha tele Tena tele Sana. Okey anyway niende kwenye point moja kwa moja Kama kichwa...
5 Reactions
6 Replies
562 Views
Hakuna kitu kibaya kama imani, yanga wamejiaminusha kuwa jezi nyeusi ndio yenye bahati kwao. Sasa kimbembe ni jumapili dhidi ya Azam fc, Azam wanasema watavaa jezi nyeusi, ikumbukwe mwenyeji wa...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Andre Onana (26) aliondolewa kambini wakati timu yake ikishiriki katika Kombe la Dunia 2022 baada ya kutofautiana na kocha wake, Rigobert Song. Kipa huyo wa Inter Milan alianza kutofautiana na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
"Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC. Taarifa: EFM Sports Headquarters leo. Makamu...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Taarifa za ndani zinaelezwa kuwa klabu hiyo ipo tayari kutoa Paundi Milioni 30 kwaajili ya kiungo huyo wa Manchester United. Paris Saint-Germain (PSG) imehusishwa na Mbrazili huyo licha ya kuwa...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Baada ya Moses Phil kuchezewa kuumizwa kiwanjani, Ahmed Ally msemaji wa Simba amelalamika sana, sio vema wachezaji kuumizana na siungi mkono wachezaji kuumizana viwanjani, lakini Ahmed alipaswa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwendelezo wa Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara[emoji1241] kuendelea kupigwa leo Disemba 21, 2022 ambapo wenyeji Wanankurukumbi Kagera Sugar wanawakabili Wekundu wa Msimbazi Mnyama Mkali Mwituni...
7 Reactions
347 Replies
15K Views
Aliyekuwa mshambuliaji hatari wa timu ya Uholanzi Marco Van Basten amesema Lionel Messi ni mchezaji wa kawaida sana na wala sio mpambanaji kabisa. Amewataja wachezaji kama Pele, Maradona na Johan...
11 Reactions
76 Replies
4K Views
Magoli yanaonekana, yanapikwa yanapakuliwa. Kipindi cha kwanza unapigwa kipindi cha pili unanyukwa. Mwana kulitaka mwana kulipewa. Boli linatembea. Ni magoli mixer, yapo ya uwezo binafsi yapo ya...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Juzi mchezaji wa Morocco alisema ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya waarabu na nchi za kiislamu, naye mfalme wa Arabia ameshukuru Morocco kwa kuwaakilisha waarabu vyema.... Waafrika tuache...
10 Reactions
140 Replies
7K Views
Tafuta tu popote pale Picha ya Lionel Cognizant Messi akiwa ameshika Tuzo yake ya Golden Ball na ile ameshika Kombe la Dunia alizoshinda zote leo kisha muonyeshee tena kwa Kumringishia kabisa...
1 Reactions
6 Replies
881 Views
Messi ni moja wa mchezaji anayependwa na watu wengi sana hapa duniani kutokana na ukarimu, Nidhamu aliyojaliwa. Hakuna timu ulimwenguni isiyopenda kuwa na mchezaji kama Messi. Wakati wa kombe la...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Timu inayomilikiwa na Tajiri namba moja Tanzania billionaire/trillionnaire Mohammed a.k.a mudy dewji, club hicho chenye utajiri wa kutisha ambao mwanzoni wa msimuu huu waliingia mkataba na mbet wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Msimu huu Yanga wameingia na gia kali kutoka kwa mganga wao, wengi wanadhani Yanga ina upendo na yatima au Yanga wanarudisha kile wanachokipata kwa Jamii, la hasha, hii ni michezo ya mjini ambayo...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Waliosema mtoto wa nyoka Ni nyoka hawakukosea maana nyoka hawezi kuzaa kenge. Kijana kiume wa Christiano Ronaldo almaarufu CR7 amerithisha Moto kwa binti yake ambae nae anaendelea kukiwasha huko...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia" Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
13 Reactions
140 Replies
6K Views
Kuna hoja kuwa shirikisho la soka la Amerika ya Kusini (CONMEBOL) waliandaa michuano ya Copa America mara nne katika kipindi cha miaka sita kinyume na utaratibu ili tu mchezaji fulani aweze...
0 Reactions
8 Replies
649 Views
Kwa kweli Jamaa amewafelisha sana. - Kosa la Kwanza ni sakata la Benzema. Imeabainika kuwa Benzema alitaka kubaki na timu baada ya Injury kocha akamkatalia, na ilip[ofika round of 16 Karim akawa...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA limelaani kitendo cha mpishi maarufu duniani Nusr Et maarufu Salt Bae ambaye huchoma nyama na kuwalisha mastaa wakubwa duniani kulishika kombe la dunia...
8 Reactions
79 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…