Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa. Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di...
23 Reactions
184 Replies
7K Views
Mchezo huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara Kikosi cha Yanga kinachoanza katika mchezo wa leo Mchezo umeanza 5' Coastal wanaonekana kuwa makini 10' Kasi ya mchezo siyo kubwa 12' Matokeo bado ni 0-0...
3 Reactions
100 Replies
7K Views
Ufuatao ni msimamo wa Ligi itakavyotamatika 2022/2023 1. Simba 2. Azam 2. Yanga 4. Geita gold 5. Singida Big stars 6. Namungo 7. Coastal union 8. Kagera sugar 9. Polisi Tz 10...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Leo hii dunia nzima inamuongelea Kylian Mbappe(23) kwa yale aliyoyafanya makubwa juu ya taifa lake katika fainali za kombe la dunia na kufanikiwa kuifikisha nafasi ya pili timu ya ufaransa. Leo...
6 Reactions
49 Replies
2K Views
Shukurani ziende kwa Argentina kwa kuwafunga hawa watu weusi walio usaliti Afrika na kujivika uzungu pori. Yaani watu weusi sijui hii ngozi ina matatizo gani? Yaani ungeona njinsi yalivyo kuwa...
16 Reactions
82 Replies
3K Views
Ni swali tu ndugu zangu, mwenye majibu naomba anieleweshe, au kama ziliwahi kucheza mchana wa jua kali la saa 8 basi nikumbushwe, ilikuwa lini na wapi? Hatuwezi kuwa na ligi moja ya soka yenye...
10 Reactions
43 Replies
2K Views
Hello wanakandanda wa JF! Baada ya michuano ya kombe la dunia kuhitimishwa huko Qatar na Argentina kuchukua kombe hebu tufanye flash back kulinganisha na michuano ya 2022 na ya miaka ya nyuma...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Inaelezwa kuwa Kocha Mauricio Pochettino anaondoka Paris Saint-Germain baada ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba baada ya kuifundisha timu hiyo kwa muda wa miezi 18. Kocha huyo raia wa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Duh! Messi anapangwa namba 9 toka lini messi akacheza namba 9 hiki kikosi hapana.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi ikitokea kocha au wachezaji wakatoa lugha ya matusi na Watanzania wakalisikia ni nani ndiye atakaewajibika? Kwanini msiweke mic off mnapowakaribia hapo uwanjani? Sent from my SM-A135F using...
1 Reactions
10 Replies
870 Views
Yaani nashindwa nielezee vipi ili nieleweke. Jana baada ya fainali ya kombe la dunia kumalizika nilipata maumivu makali sana ambayo sijawahi kuyapata kwenye masuala ya kimichezo yaani moyo...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Kama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5. Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine
17 Reactions
57 Replies
3K Views
Picha alizopost Messi baada ya kutwaa taji la Ubingwa wa Dunia akiwa na timu yake ya Taifa ya Argentina imevunja na kuweka rcord mpya ya Dunia baada ya kupendwa (kupata likes) zipatazo Milion 64.5...
1 Reactions
5 Replies
928 Views
Messi anaendelea kunyakua kila tuzo inayopita mbele yake. BBC nao wamempatia ya mwaka huu. Ballon d'or ya nane iko njiani.
0 Reactions
8 Replies
647 Views
Miongoni mwa wadau wenye mchango mkubwa ktk kusukuma maendeleo ya soka hapa nchini ni pamoja na mwamba Michael Wambura. Huyu amechangia Sana muda wake, uwezo wake wa mali na maarifa katika...
1 Reactions
8 Replies
744 Views
Kylian Mbappe inadaiwa anaweza kuvunja mkataba na klabu yake ya Paris-Saint Germain ikiwa uhusiano utazidi kuwa mbaya kutokana na kutofurahishwa na baadhi ya mambo. Mvutano huo inaelezwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
UEFA Nations League ni maashindano ya soka la kimataifa yanayofanyika kila baada ya miaka miwili yakishirikisha timu za Taifa za Nchi 55 Wanachama wa Shirikisho la soka la Ulaya (UEFA). Dhumuni...
1 Reactions
3 Replies
707 Views
Huu ndio ukweli ambao wewe mpenda soka unapaswa kuufahamu . Siku zote ushindi wa soka hutokana na uwezo wa timu na wala si ukubwa wa jina lake .
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Zikiwa zimepita siku mbili tangu kumalizika kwa kombe la dunia nchini Qatar baada ya team ya taifa ya Argentina kutwaa ubingwa huo mbele ya team ya taifa ya ufaransa kwenye mikwaju ya penalty...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…