Japo wengi watabisha lakini ukweli utasimama,yaonyesha wazi uwanja wa taifa/Mkapa Stadium umeharibiwa kwa nguvu za giza hasa goli la kusini mwa uwanja na hujuma hii ni wazi imefanywa na moja ya...
Kila kukicha wachezesha kamali za kimtandao wanatoa mabilionea wapya, MCHONGOPESA, SPORTPESA, M-BET, BIKO, TATU MZUKA, WASAFI BET, CHOTA MIHELA na NK.
Je, hawa wamatajiri wapya huwa wana wapeleka...
Haiwezekani Mchezaji Christiano Ronaldo Siku zote alikuwa hana Urafiki na Kylian Mbape na Timu ya Ufaransa leo hii amekuwa nae na kuwa nao bega kwa bega.
Haiwezekani FIFA wanajua fika kuwa Wareno...
Chelsea wako mbioni kumsajili David Datro Fofana 🇨🇮, makubaliano yamefikiwa ya kiasi cha €10m na Molde ya kumsajili mshambuliaji huyo wa Ivory Coast aliyezaliwa 2002. Fabrizio Romano Reports...
Kuelekea dirisha dogo Disembe 15, licha ya tetesi kuwa mitaa ya Msimbazi hali si hali, habari zikufikie kuwa wachezaji hawa wafuatao wanaelekea Simba SC.
~ Lobi Manzoki 100% done.
~ Luis...
NAatamani sana kama Huu mjadala ungefungwa Rasmi.
Cesar Lobi Manzoki.
HAWEZI.
HAWEZI
HAWEZI.
HAWEZI KUICHEZEA KLABU YA SIMBA.
NAOMBA MJADALA UFUNGWE KABISA
sahauni kuhusu Manzoki.
Imesemwa na wachezaji wa Ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha.
Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti!
Argentina wamepewa penati nyingine...
Leo tarehe 16/12/2022 Dirisha dogo la usajili limefunguliwa. Msimu kama huu kunakuwaga na tetesi na taarifa mbalimbali za usajili wa wachezaji na mabenchi ya ufundi. Nimeuleta uzi huu maalumu...
Mwanzoni mwa kuinukia kujua mpira na kufuatilia ilikuwa naumia sana pale timu ninayoipenda kufungwa au kuwa na habari mbaya kama migogoro na mifarakano.
Nimefuatilia kwa muda mrefu mpaka...
OFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa Kombe la Dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025.
Mfumo huo utakuwa na timu 32 na...
Nimemsikia Nape anasema serikali inataka kuandaa Afcon...
Baadae nikamsikia Mchengerwa anasema tunaenda kombe la Dunia mwaka 2030...swali la kuwauliza hawa ndugu zetu wako serious?...
Kama wako...
Wakuu taarifa iliyopo ni kwamba watani kwa sasa hawana basi baada ya basi lao kukamatwa na dalali aliyeagizwa na kampuni iliyowauzia basi. Basi limekamatwa baada ya Simba kushindwa kulipa deni kwa...
Inadaiwa kwa nyota huyo wa Ureno hafanyi kazi kwa ukaribu na wakala wake huyo, Jorge Mendes kutokana na wawili hao kupishana mitazamo juu ya timu ambayo Ronalo anatakiwa kujiunga nayo.
Inaelezwa...
Leo nimesikiliza EFM, Wasafi na Clouds, hakuna cha maana nimesikiliza na kukielewa na kutosheka zaidi ya KAMARI ZAO TU na zile tutarejea tutarejea zao.
Hivi vipindi vya hizo redio vimefika mwisho.
Kombe la dunia nchini Qatar linaelekea ukingoni lililo kutanisha team 32 kutoka mabara tofauti huku team (13) zikitoka ulaya team (4) kutoka America kusini team (5) kutoka Africa na team (4)...
HABARI WAKUU.
Heshima Nyingi sana kwenu.
WAKUBWA Shikamooni.
Mimi ni Mpenzi shabiki na Mdau wa mpira wa Miguu.
Katika kufuatilia kwangu mpira nikajikuta ninaipenda sana club ya Simba SIMBA...
Ati anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani?
Ifike muda...