Tokea Rais Samia akuteue katika hiyo Wizara umekuwa ni Mtu tu wa Kufokafoka huku ukiwa na Vitisho vingi kama Kawaida yako.
Labda nikuulize Waziri Mchengerwa tokea uanze Kufokafoka Kwako huku kuna...
Timu ya Soka ya Simba leo kwenye mchezo wake wa klabu bingwa inatarajiwa kuingia na bus jipya la wachezaji lilionunuliwa na mdhamini wa team hiyo Mohamed Dewji
Bus jipya la Simba likibandikwa...
Kinachojili katika kilele cha week ya Wananchi 2022 uwanja wa Benjamini Mkapa
==============================
Yanga imepoteza wa magoli 2-0 dhidi ya Vipers SC ya Uganda katika mchezo wa kirafiki...
Wakuu kabla ya kuangalia nani ni best player duniani, twende nchi kwa nchi basis.
Tuanze na Ureno.
Kwangu mimi pale Ureno, Best player kwenye hiyo nchi ni Bruno Fernandez, wewe unadhani ni nani?
Ni ripoti ya Clouds Media na haya ni sehemu ya maneno yaliyosemwa na Waziri Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Ukisikiliza kwa kina maelezo yake utaona ni yale yale kama ya lile garimoshi la umeme tuli...
Mimi mpaka leo naamini World Cup bora kuiona ni ile ya mwaka 2006. Jinsi Italy walivyopambana mpaka kutwaa taji. Italy ile iliyoundwa na wakongwe kama Luca Toni, Buffon, Pirlo, Materazzi, Del...
Watu wanasema eti Morocco atavunja rekodi na kuingia nusu fainali, lakini baada ya kuiona Ureno jana, waanze kufungasha mabegi tu mapema, na yule mshambuliaji wao butu.
Portugal asipofika...
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Msumbiji Luis Jose Miquissone amekubali kurejea Simba SC, ili kuendelea kulinda kiwango chake katika kipindi hiki ambacho ametolewa kwa mkopo akitokea kwa...
Sijui ni tumerogwa au haya yote ni sababu ya elimu duni au Mungu ndo alivyo tuumba yaani sijui jamii yetu ya kiafrika ina matatizo gani.
Waafrika ndio jamii pekee ambayo utapambana kwa nguvu zako...
Kwa niaba ya Wa-Morocco weusi hapa Ikwiriri nafurahi kuwatangazia hadhara hii ya hapa Tungekinya kuwa Morocco Hana mpinzani. Na ndiie Bingwa Kombe la dunia 2022 toka ardhi takatifu Al Arabiya...
Ulaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya uwapende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu.
Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South...
Hili dogo linatisha! ukimuangalia kwa haraka haraka urefu wa miguu yake kama nkwazi.
Huwezi kabisa kumtofautisha na mshambuliaji wa man city earling hallaand! derby ije haraka!
Hawa madogo ndio...
Jamaa kashamzidi Michael Platini, David Trezeguet na Zinedine Zidane kwa idadi ya magoli kwenye Timu yaTtaifa ya Ufaransa. Amebakisha magoli mawili kuifikia rekodi ya Thierry Henry.
Anaonekana...
Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli
Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Africa kufika semi final ya kombe la dunia
Roho ya...
Mbona kama wazungu wanatuzidi akili?
Kwa anayejua kutoka mabara yote nchi ngapi kila bara linapata nafasi ya kuwakilisha na vipi ni vigezo?
Najua Afrika ni nchi tano, kuna Ulaya, America, Asia...
Nafikiri hali si shwali ndani ya klabu ya mikia kwa sasa, kuondoka kwa babra kunaitimisha safari ya mwanamama uyu juu ya maneno mengi yaliyokuwa yanasemwa juu yake, akilalamikiwa na viongozi mbali...
Morocco imeingia semi final kwa jasho na damu, wakicheza kwa nidhamu ya hali ya juu, namna wanavyocheza unapata hamasa kuwapigania na kuwaombea kwa mungu wapeperushe bendera ya africa.
Wakat...
Hili ni somo kwa vilabu vyetu vya Simba na Yanga vinavyokwenda kushiriki championship kuwa ukitaka kufanya vzr basi jiandae kimkakati mapema kama walivofanya Morocco.
Morocco walipofuzu tu kombe...