Najua Kuna vitimu vidogo vinahangaika kutaka kubeba UEFA ila napenda kuwatangazia kwamba Ile timu ya makombe inaenda kulinyakua hili kombe mwaka huu na timu hiyo ni arsenal the gunner watoto wa mjini
Mimi (GENTAMYCINE) baada tu ya Simba Day (juzi Jumatatu Alfajiri tu) nilikuja na taarifa hapa JamiiForums, tena nikijiamini nayo kabisa nikisema kama Mchezaji Mshambuliaji wa Simba SC Mzambia...
Nianze kwa kuwapa pole mashabiki wote wa timu za Kariakoo. Kiufupi kwa jinsi msimamo wa makundi ulivyo kwa wote Simba na Yanga, niwambie tu muda wa kuchekana bado.
Muhimu: Yanga asipoingia robo...
Kwa niliyohakikishiwa GENTAMYCINE kwa wale Wenzangu ( wana Simba SC ) nawaombeni Mechi ya Alhamisi ya Simba SC dhidi ya Prisons FC msiende na Matokeo yenu na mjiandae mapema Kisaikolojia kwani...
Hapo mwanzo Simba haikuonekana timu tishio. Kila mshabiki wa Simba hakuwa na tumaini na timu yake. Ndipo Mo akasema, anarudi kwenye uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi. Ikiwa jioni, ikawa asubuhi...
Mambo vp JamiiForums
Sasa tunalo kombe la mapinduzi kwa vilabu kutoka Tanganyika na Zanzibar, kwanini tushindwe kuwa na kombe la muungano (April 26) mechi moja tu kwa timu za taifa za bara...
Leo ni Krismasi huko Ethiopia….! Pia kwa Coptic wa pale Alexandria Misri nao wanasherehekea sikukuu ya Krismasi na wao huifuata kalenda yao maalum…! Kwa Coptic huwa wanaita Alexandrian Calendar✅...
MC Alger akishinda game moja tu halafu Yanga atoke sare na Al Hilal (japo 99% Al Hilal atashinda) basi Yanga itajiunga na wachovu wenzao TP Mazembe kuyaaga Mashindano
Wazee wa kuvizia wanyama wakali waue kisha wao wale mizoga kwa sasa endeleeni kununua betri kwa ajili ya vikokotozi vyenu maana hesabu ni ngumu sana kwenu.
Mwakarobo hapa
Sent from my Infinix...
Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament.
This is the most expensive bike in the...
Habari wadau, naomba kuelekezwa machimbo ya jezi za mpira wa miguu, kuna jezi zinauzwa kariakoo pale kwa sh. 8000 adi 9000 zingine, naweza pata wapi hizi jezi kwa bei ya jumla?
Simba wasipokuwa makini hawendi robo fainali, wanaenda kucheza dhidi ya Bravos wenye alama sita, kama ikitokea Bravos akashinda, atafikisha alama 9 sawa na Simba na mchezo wa mwisho Bravos...
Siku ya Mechi Kali.
Mwenyeji: CS Sfaxien FC
Mgeni : Simba SC
Mashindano: CAF CC Group Stage.
Group A.
Uwanja: Stade Olympique Hammadi Agrebi Stadium, Rades, Tunisia.
Tarehe: 05th January...
Mambo haya yameshaingia kwenye mfumo wa maisha wa mtzania wa kawaida kiasi yanaonekana kuwa ni sehemu ya kawaida ya maisha.
Wakati mechi kubwa inachezwa sio ajabu kukuta mtu au kundi la watu wake...
Mpaka sasa hana goli ila mashabiki watasema anacheza vizuri, kwa sisi tunaojua mpira hadi useme amecheza vzr tunarudi kwenye numbers zake ana assist ngapi ana pre-assist ngapi awe mtu wa tatu...
Waarabu mliowafunga ni toleo la mwisho kabisa, punguzeni kelele na nyie
Makolo Baada ya kuifunga goli MOJA timu mbovu wameanza kupiga kelele mara ooh tumewafunga waarabu kwao .....
Kiuhalisia...