Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wanajamvi, Poleni na msiba wa mr president, tuliumbwa na mungu na mavumbini tutarudi. Niende moja kwa moja kwenye mada Nimeanza kucheza michezo ya kubahatisha (betting) Muda mrefu sana...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Kumekua na kawaida ya maamuzi yenye utata ambayo yanainufaisha timu moja au timu kuwa katika kiwango duni sana siku ya mechi na kupelekea kufungwa kirahisi sana vitu ambacho vinahusishwa sana na...
0 Reactions
2 Replies
320 Views
Kama Mbeya ingekuwa ni nchi, kwenye football hii ndio ingekuwa first eleven yake. 1. BENNO KAKOLANYA- simba sc 2. DAVID KAMETA DUCHU- geita gold 3. BENJAMIN ASUKILE- tanzania prisons 4. LUSAJO...
13 Reactions
80 Replies
6K Views
Kocha wa Yanga Nabi Nasreddine amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi 500,000 (laki tano) na TPLB kwa kosa la kuwashambulia kwa maneno mwamuzi wa kati na mwamuzi wa akiba kwenye...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Ndugu wanabodi wakati kombe la Dunia likielekea ukingoni Kuna vitu vimenivutia. Baadhi ya vitu hivyo ni watangazaji na wachambuzi. Hapa unakutana na NAZARETH UPETE Kama mtangazaji na huku RAMADHAN...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hatua ya makundi ya kombe la Dunia ilikamilika jana huku huku Cameroon ikiaga mashindano kishujaa kwa kuibamiza Brazil 1-0 katika dimba la Lusail. Baadhi ya rekodi zimewekwa na zingine kuvunjwa...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Ana wa frustrate sana Simba.... 😂😂😀😂 Anawanyima fouls na hata wakichezewa rough anawachunia. Yaani kifupi simba leo lazima wapigwe iwe iweje. Na anawafundisha kuwa ngangali. Anawaumia meno...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Benard Morrison anadaiwa kusimamishwa na Kocha wa klabu hiyo, Nasreddine Nabi kutokana na utovu wa nidhamu. Taarifa zinadai kuwa mchezaji huyo alipewa adhabu hiyo na...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau kwa wale wenye connection na maswala ya ving'amuzi naombeni kujua ni wapi naweza pata king'amuzi cha bein sport kwa hapa tz.
2 Reactions
53 Replies
17K Views
Anataka (tena kwa Kushadadia kabisa) Timu ya Coastal Union FC ya Tanga ihukumiwe na Kamati ya Saa 72 kwa Wachezaji wake kumfanyia Vurugu Mwamuzi (Refa) wa Juzi ila haishangai Kamati hiyo hiyo hadi...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Mchongo mzima tayari tumeupata na mtu anakufa 4 . Huu ni mwendelezo wa michezo ya kuigiza ambayo kwa kiasi kikubwa inawezeshwa na watu wanaojulikana kuumiza uchumi wa nchi hii. Kila la heri...
10 Reactions
45 Replies
3K Views
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania ni chombo cha udhibiti wa michezo ya kubahatisha ambacho kilianzishwa chini ya Sheria ya Michezo ya Kubahatisha Sura. 41 na kuanza kutumika tarehe 1 Julai...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ripoti kutoka vyanzo mbalimbali vikiwemo DailyMail na Reuters zinaeleza kuwa Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pelé yuko chini ya uangalizi maalumu baada ya matibabu ya Moyo na Mionzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kampuni ya ubashiri ya meridian wanatengeneza mazingira ya wizi kwa wateja wao wanazuia akaunti za wateja kutoa pesa ukipiga huduma kwa wateja wanatoa sababu zisizo eleweka na kukupa masaa 24 hewa...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Kiukweli huyu dada Leo nimemuona mchovu sana kuhusu maamuzi yake, huwa najiuliza kama anafuatilia michuano ya kombe la dunia inayoendelea kule Qatar ama la. Kwanza hajui rafu ni nini, ukiangalia...
0 Reactions
4 Replies
967 Views
Ikiwa imebaki mechi moja kwa kila group kwenye fainali za kombe la dunia hali si shwari katika kikosi na kambi ya team ya taifa ya CAMEROON baada ya mlinda mlango namba moja wa nchi hiyo...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimeikuta sehemu hii
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Wapenzi wa mpira kalibuni kupata update ya mchezo wa NBC premier league Kati ya AZAM FC team bora bidhaa bora dhidi ya Ruvu shooting Mchezo utachezwa saa 1. Kamili usiku katika UWANJA wetu wa...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Nyota wa Brazil, Rodrygo amedai kuwa kuna uwezekano wa nahodha wa timu yake, Neymar akastaafu kuichezea timu ya taifa hilo kisha kumkabidhi yeye jezi namba 10. Neymar ambaye amefunga mabao 74...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni dhahiri kwamba hakuna timu ya Afrika itakayoweza kuingia hatua ya mtoano kwenye michuano inayoendelea ya Kombe la Dunia. Si kwasababu hawana wachezaji wazuri, hapana. Ni kwasababu ya matatizo...
9 Reactions
117 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…