Baada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili.
Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya...
Wanafiki na Wapuuzi wakubwa nyie. Yanga SC ingeifunga Ihefu FC leo mngekumbuka kusema kuwa Wachezaji walikuwa na Uchovu (Fatigue) kama mnavyosema sasa kila Mkichambua, Mkitangaza na Mkihojiwa na...
Japo hali ya joto kali inawezekana nayo imechangia uchovu wa wachezaji lakini kweli makosa yamefanyika.
Unakwenda kucheza unbeaten ya 50 namba muhimu kabisa katika rekodi unaanza mchezo na...
Yaani kama Simba SC na Argentina zinafungwa tena zikiwa na Nyota wao akina Chama na Messi Wewe Yanga SC ni Nani Usifungwe? Kudadadeki.
Wana Yanga SC Wote mlioko hapa JamiiForums jiandae...
Hongera TBC 1 mubashara kwa kuamua kumualika mkongwe undisputable mchambuzi nambari one mwanzilishi kideoni daktari wa uchambuzi ama dakta Leaky Abdallah aka football pundit bongo nzima hata kabla...
Ujerumani Ni taifa kubwa kiuchumi sana
Ingawa juzi kwenye kuwasili kwenye kombe la dunia akitokea mjini Frankfurt aiifika na nembo za kuashiria kukubali ushonga na kusapoti ushoga lengo na...
Timu inatoka Dar kweda Mbeya kwa ndege safari ya takribani saa mawili, timu inafika mjini na kupumzika kwenye hoteli za mjini, mazoezi yanafanyika uwanja wa Sokoine wa hapo hapo mjini unaotumika...
Ngoja nitafute sana hela,Kweli TBC sio channel ya mpira.
Hawa jamaa sio wakuwategemea kabsa, naangalia hapa mechi ya England vs Wales inakatakata tu mpira hauangaliki kabisa.
Jamaa game za maana...
Mechi ya NBC premier League inayoendelea Sasa Kati ya Ihefu na Yanga inazidi kuwaumbua jinsi uwezo wenu ulivyo chini. Baada ya Jumamosi kuwanyima Yanga goli Lao halali lililofungwa na Tuisila...
Hivi kuna nini huko Dar es Salaam, naskia watu wana sema ema eti wananchi wamefungwa kwa sababu ya jezi zao za kiini Cha Yai. Eti wangekuwa na nyeusi Ihefu wasinge chomoka.
Sasa mimi nataka kujua...
Ama kweli Binadamu tunapanga lakini na Mwenyezi Mungu nae pia anapanga lake / yake vile vile.
Kudadadeki Taarifa ikufikie popote pale ulipo kuwa Usiku huu kwa Aibu waliyoipata kwa Kufungwa na...
Ushindi wa magoli 2-1 umeifanya timu hiyo kuwa ya kwanza kutoka Afrika kusonga mbele katika michuano ya 2022 baada ya kuifunga #Ecuador katika Kundi A.
Magoli ya Senegal yamefungwa na Ismaila...
Hata kama kiwanja ni kizuri cha huko bush huwa ni usumbufu sana kuanza safari za ziada kutoka kwenye mji mkubwa wa mkoa na kuanza safari za kwenda kwenye hivyo viwanja vya mbali huko vijijini...
Wakuu,
Nimefatilia press kabla ya game USA vs Iran inafurahisha sana. Kama hujaifatilia itafute! Kapteni wa [emoji631] alikuwa smart sana kujibu ile miiba [emoji3]
Nimecheka sana mwandishi wa...
Wahenga walisema. Hii namba huwezi kuivuka ukiwa na makando kando.
Ni jambo la kusikitisha kwa ligi iliyopata wadhamini wa uhakika na kuingiza pesa nyingi, kisha timu inaweka bajeti ya zaidi ya...
Nilipata za ndaani kabisa kutoka kwa mtu wa Ihefu kuwa walitengewa 20M iwapo wangefungwa, na iwapo wangetoa sare 15M iliwahusu. Hata hivyo baadhi ya viongozi wakakataa na kuamua mechi ichezwe na...
Sisi watu wa kwenye daladala nilisikia tu mtangazi wa TBC akifokafoka kuwa "haki ya nani haki ya nani ya Mungu si ya Athumani.... yametimiaaa...maweeee...ile record unbearten imebitiwa...