Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kuchezwa leo Novemba 27, 2022 ambapo wenyeji Polisi Tanzania wanakiwasha dhidi ya Wekundu wa Msimbazi Simba SC kunako Dimba la D'eL Ushirika Moshi...
15 Reactions
190 Replies
8K Views
Kocha Juma Mwambusi najua umewatoa Wachezaji muhimu wa Ihefu FC ili Kuidhoofisha Timu na Yanga SC yako ( Unayoishabikia ) warudishe Goli na wapate hata Ushindi. Mnafiki mkubwa sana tu Wewe JM!!!
1 Reactions
17 Replies
789 Views
Nitarudi hapa Saa 4 Kamili Usiku leo na wana Yanga SC mtanikoma.
4 Reactions
6 Replies
933 Views
Mfano mdogo tu, mashabiki wa Yanga wiki tatu zilizopita kabla ya kufuzu confederation cup walikuwa tayari wameshamkataa Nabi, na wengi wao walikuwa tayari Nabi angefukuzwa just kama angeshindwa...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Kule ulaya kuna kitu kinaitwa reserve teams. Mfano Real Madrid wanatimu inaitwa Real Madrid Castilla ,timu aliyochezea winger wa Brazil Vinicius Tobias ambaye jana amekiwasha kwelikweli.alicheza...
0 Reactions
1 Replies
566 Views
Wigan Athletic wamemteua beki wa zamani wa Ivory Caost, Arsenal na Manchester City, Kolo Toure kuwa meneja wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 41...
1 Reactions
0 Replies
453 Views
Leo (13/11/2022) imetimia miezi miwili (siku 62) tangu yule mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele afunge goli katika NBC PL. Ikumbukwe Mayele ndiyo mchezaji pekee ambaye 'tunaimani' anaenda...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
Mechi ya tatu mfululizo dogo anakiwasha kisawasawa, kuanzia Tunisia, kule Mwanza na leo uwanja wa taifa. Wachambuzi wa bongo Lomalisa anawavua nguo! Ushauri katika uchambuzi wenu lazima muwe...
13 Reactions
32 Replies
3K Views
Kuna jamaa wanaongea chenga sana huku, eti wametolewa Bikra uzeeni hahahaaa
0 Reactions
2 Replies
312 Views
Hbr za mchna Naomba sababu ni zipi haswa zilizopelekea nchi tajwa hapo juu kutokukushirki kwake kombe la dunia Wachina Ni wakandarasi wazuri Sana pia wao ndio waliojenga viwanja vya Qatar na pia...
9 Reactions
89 Replies
9K Views
Ni Mwaka 1982, siku ya tatu iliwakutanisha Algeria na West German ambao walijua wanakwenda kutimiza wajibu. "We will Dedicate our Seventh Goal to our wives and the eighth to our dogs." Game...
3 Reactions
2 Replies
515 Views
Siku zote Watanzania tukishaona tumefikia steji fulani basi hutaki kukubali ukweli, hata leo JF app imeridhika. Tuje kwenye app ya Simba, mara ya kwanza kuzinduliwa hii app niliona itakuja kuwa...
0 Reactions
2 Replies
486 Views
Inasemekana club ya soka ya Simba inaandaa mashtaka dhidi ya shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, lengo ni kuwasiliaha malalamiko kuhusu mwenendo wa mechi 4 zamwisho za club ya Azam. Tayari...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Uwezo wa huyu kocha wetu ni mdogo sana. Amepitia njia nyepesi sana kufika makundi cafcl. Hajashinda mechi yoyote miongoni mwa mechi ngumu msimu huu. Anzia mechi ya KMC, Yanga, Azam na hii ya...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Vilabu hivi viwili SIMBA pamoja na YANGA vina mapungufu katika vikosi vyao ukianza na mabingwa watetezi YANGA wamekuwa na tatizo kwenye safu yao ya ulinzi pamoja na kiungo wa kati nafasi ambazo...
0 Reactions
3 Replies
405 Views
Anashusha hadhi ya Ligi hiyo , Haiwezekani , anafunga magoli kirahisi namna ile , Bila shaka mabeki Wanamuogopa . Aondolewe ili kulinda hadhi ya Ligi ya NBC , Maana katika hali ya kawaida...
17 Reactions
35 Replies
3K Views
Kukosekana kwa wachezaji fulani kwenye Kombe la Dunia kunachangia kutukosesha vionjo tulivyovitarajia. Kwa mfano kokosekana kwa mchezaji bora wa Dunia kwa sasa Benzema (mtaalam wa kutupia)...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Prof Nabi amenishangaza sana leo. Mara baada ya kutamatika kwa Mechi baina ya Yanga SC na Mtibwa hapa Jangwani Stadium leo tarehe 29/06/2022. Mmoja wa waandishi wa habari kutoka shirika la BBC...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Huwezi kuwa na unbeaten 49 kama uko kwenye ligi yenye timu zenye uzito unaofananafanana. Naitabiria Yanga kufika mbali sana kwenye mashindano ya CAF.
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana jf, Naomba kuelekezwa jinsi mshindi anapatikana katika kombe la dunia kuanzia hatua ya makundi, 16 bora, robo fainali, nusu fainali hadi fainali Jibu lako litanielimisha...
0 Reactions
3 Replies
587 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…