Ikitokea Simba wamepata matokeo mazuri dhidi ya Mbeya city, tutarajie mafuriko ya threads na posts za kumsifu Chama. Lkn naomba niwakumbushe, kila shabiki wa soka anamfaham Chama. Hakuna haja ya...
Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye.
Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu...
Imezuka kasumba kwa washabiki wengi kuwa timu zinanunua mechi. Ukichunguza Kwa makini utaona kundi kubwa la washabiki wa Simba ndio wanaongoza kulalamika.
Timu inayolalamika ni Yanga ila...
Aliiongoza Coastal Union kucheza fainali ya kombe la FA. Inshaallah mwenyezi Mungu muweza wa yote akimpatia uzima na afya njema siku ya tarehe 16/10/2022 ataiongoza miamba ya soka ya Afrika...
Kwa taarifa zilizopo Ni Kwamba Simba akipoteza point 3 tu, au akidroo mechi 2 na kupoteza points 4, Basi rasmi atapewa mkono wa burihani.
Kwa Sasa kiuhalisia Yanga anamuacha Simba point 5 ,hiyo...
Rejea kichwa Cha taarifa, Azam kisimbusi wameitoa tbc 1 kwenye orodha ya free local channels, hakuna sababu zilizotolewa isipokuwa watu wanahisi ni sababu za kuonyesha kombe la Dunia, je, inaweza...
Simba ya sasa ni bora, na tuseme kuwa Yanga ikajipange.
magoli kama yale ni kweli Manula anaugonjwa nayo, hata Morrison alimfunga sana Manula kwa mtindo ule, lakini haindoi uhalisia kuwa bado ni...
Tuache ushabiki, kuingia kwa Habib Kyombo kumeipa ahueni sana Simba. Kyombo alikuwa anakwenda angani na mabeki wa Yanga.
Bangala na Job na aliweza kushinda mipira yote ya juu, alikuwa na uwezo wa...
Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji usichokijua pamoja na utajiri wako ni kuwa 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni wapigaji watupu na wengi wao ni wasaliti kutokana na kutumika kwao kutoka upande wa...
Hii timu nilikuwa siielewi kwanini imefika hapa. Mechi iliyopita nilikuwa taifa pale, walikuwa wamejaza mabeki timu nzima ili wasifungwe.
Na hapa kwao leo sikuona walichocheza, timu inashindwa...
Wanasimba pamoja na kuipongeza timu Kwa ushindi mnono.
Msisahau kumshauri mgunda kuhusu mpira halisi wa Simba.
Miaka 3 nyuma Simba ilisifika Kwa pira Biriani pira udambwi udambwi. Pira pass Mia...
Vyombo vya habari Iran vyenye mrengo wa serikali imesingizia timu yao kushindwa ni mambo ya kisaikolojia iliyopandikizwa dhidi ya wachezaji wao.
Kwa iyo Iran ilikuwa inacheza dhidi ya Uingereza...
Watu hawataamini kuhusu uwezo wa Mgunda kuifundisha Simba. Simba haiwezi kufundishwa na mgunda na Matola bhana.
Ushindi mfululizo wa Mgunda tuliokuwa tunauona ulitokana na saikolojia ya wachezaji...
Nimeiangalia Simba toka Kocha Mgunda anakabidhiwa timu msimu huu nikagundua kuwa ni muhamasishaji mzuri ila sio kocha mzuri. Tuwe wakweli, Simba inabebwa sana na uwezo binafsi wa wachezaji watatu...
Nyie viumbe naamini mmeamka salama japo Mihogo FC wanatupigia sana kelele. Kwa wale mnaofatilia mpira wa Simba hivi karibuni mtaona kabisa Mgunda ana uwezo mdogo sana, kiufupi anabebwa na uwezo...
Hili la ajira Kombe la Dunia hapa Qatar, litufikirishe sana kama nchi.
[emoji419]Tumejiridhisha pasi na shaka, Afrika Mashariki imetumika sana kama raslimali watu hapa Qatar hasa kwenye maeneo ya...
Vyombo vya habari vimetumika kumchafua kwa kuyapa uzito mambo hasi, lakini aliongea mengi ya msingi na ukweli.
Miongoni mwa mambo hayo ni:
~ Glazer hawajali timu.
~ Tangu Fergurson aondoke...