Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari, kama thread inavyosema, hivi kati ya Mayele mfalme wa Jangwani na Phiri mfalme wa Msimbazi, nani ni mtu hatari zaidi bila ushabiki.
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Inadaiwa kuwa wamiliki hao wanaweza kuiuza klabu hiyo kwa Pauni Bilioni 5 hadi 9 (Tsh. Trilioni 14 hadi 25). Tayari kampuni kadhaa zimeshateuliwa kufuatilia mchakato huo na kutathimini hali ya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
[emoji599] Uongozi wa Azam FC umefikia makubaliano ya kumkabidhi timu aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu, Kally Ongala hadi mwisho wa msimu. Uamuzi huo umefikiwa kutokana na kiwango bora timu...
2 Reactions
8 Replies
853 Views
George Mpole wewe ni kijana uliyevimba kichwa baada ya kuwa mfungaji bora msimu uliopita. Picha lilianza mechi ya kwanza ya ligi shidi ya Simba, wewe ukajificha kwa makusudi eti hautakuwepo kwa...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Kama tunavyojua wote, Spika wa Bunge Tulia Ackson ni mwanachama na shabiki lia lia wa Simba Sports Club.Mh Tulia pia ni mbunge wa Mbeya mjini na ni mlezi na mafadhili wa Mbeya...
0 Reactions
5 Replies
537 Views
Hakuna ubishi. Staz wanakipiga kuliko Senegal. Kila mtu anaona kwa macho yake. Au mnabisha?
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Follow the LIVE UPDATES here. Schedule and results on 2nd post
22 Reactions
24K Replies
1M Views
Huu wa kupoat picha za timu mbalimbali za tz kisha kifuani mnazifuta sababu ya matangazo Mbona mkipost timu zenu man U na arsenal Hamfanyi hivyo?
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu ni siku chache tuu DSTV walitangaza kuwa wao ndio watahusika na kuonyesha mechi hizo na walitoa onyo kwa vyombo vingine kuonyesha bila idhini yao hii tulijua kabisa...
12 Reactions
46 Replies
4K Views
Jana ndio ufunguzi wa kombe la Dunia huko Qatar [emoji1203] tumeona mambo mengi sana kupitia ufunguzi huo hasa kwa kutumia chombo chetu cha Taifa yaani TBC kwakweli tunashukuru kwa hilo maana mimi...
14 Reactions
87 Replies
3K Views
Mimi ni 🇳🇱 Netherlands a.k.a Dutch Land, a.k.a The Oranges.
2 Reactions
45 Replies
2K Views
Mwaka huu ni mwaka wa Yanga nyumbani na kimataifa! kitu kimoja kinachonikera sana ni ile tabiatimu ya wapenzi wa yanga kutaka kocha afanye watakavyo. Kocha Nabi aliisha jifunza kupoteza mechi na...
0 Reactions
10 Replies
744 Views
Kama wewe ni mshabiki wa ARSENAL kama mimi karibu Coco Beach tule muhogo kwa bili yangu! Ukitaka na mishikaki utalipa mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. FT: Arsenal 3 - 1 Totenham
7 Reactions
16 Replies
806 Views
1. Aisee wale ni: Left backs sio back left Right back sio back right. Mbona hamsemi kickfree ama kickgoal? 2. Moja ya vitu sio moja ya kitu. Moja katika ya vingi. Man up
0 Reactions
5 Replies
513 Views
Wakuu habari zenu. Hivi kuna timu gani za mpira za hapa ndani za nje ya nchi yako unapendaga sana ziwe zinafungwa kila siku na kwanini? Me kwa upande wangu timu kama Manchester united hiyo timu...
1 Reactions
153 Replies
10K Views
Nikiwa na wao hujua GENTAMYCINE ni mwenzao (mwana Yanga SC) na bahati nzuri hawajui kuwa ndiyo mimi, hivyo huweza kupata mipango yao mingi ya siri na miovu dhidi ya Simba SC. Taarifa niliyoipata...
11 Reactions
35 Replies
3K Views
Kusema ukweli utangazaji wa mpira Kombe la Dunia kupitia DStv lugha ya Kiswahili hauvutii. Hao watangazaji ni kama siyo wataalam kwa hiyo kazi, maneno mengi, stori nyingi zisizoendana na matukio...
7 Reactions
8 Replies
1K Views
Naangalia mpira wa Australia dhidi ya Ufaransa, kwa hakika huu mpira 'formula' yake hapa Afrika hakuna. Yaani jamaa kama wanapigana vita. Sisi tubaki kushangilia Simba na Yanga tu. Mpira bado sana.
2 Reactions
6 Replies
695 Views
hii wizara ndiyo baba wa wa kuleta furaha kitaifa. Kwa mtaji huu wa furaha ili utunufaishe lazima TFF na Chama cha riadha viwekewe malengo na hayo malengo yafuatiliwe. nashangaa sana sijaona...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…