Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hawa jamaa kimakaratasi wao ndio wenyeji, ila kiuhalisia Simba Ndiye mwenyeji. Ruvu shooting Mechi Ni yako upo nyumbani, unaipeleka Benjamin Mkapa saa 1 usiku, Je ungecheza na Ihefu, au kina...
3 Reactions
16 Replies
868 Views
FULL TIME 90+3 Dakika tatu za nyongeza kuelekea kumalizika kwa mchezo 90' Phiri anapata nafasi anashindwa, shuti lake linapaa juu ya lango 77' Simba wanafanya mabadiliko, anaingia Kibu anatoka...
13 Reactions
463 Replies
20K Views
Katika maisha yangu ya kuangalia mpira sikuwahi kujua matokeo ya mechi yanapangwa vipi Hadi nilipoangalia mechi ya Taifa Stars na Uganda pia na ile ya Jana ya Yanga na Singida THE MATCH WAS...
10 Reactions
91 Replies
6K Views
Here it is. 1. Simba Vs Coastal unión Vs Ruvu shooting Vs Mtibwa sugar. 2.Yanga Vs Kagera sugar Vs Toto Africans Vs Singida Big...
13 Reactions
44 Replies
2K Views
Hongera Simba SC kwa ushindi mnono.
1 Reactions
6 Replies
607 Views
Ukiangalia mwenendo wa timu zetu Nbc ligi utaona na kutofautisha nguvu na uwezo tofauti kwa kila timu Kiukweli Simba wameshuka sana,japo wengi huku mtaani wanajitia hawalioni hilo,ile simba ya...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Aisee tangu nilipoanza kuangalia mchezo wa boxing enzi zile za akina marehemu Stanley Mabesi, Charles Libondo Mawe, Bakary Mambeya, Magoma Shaaban, huku kwenye ridhaa enzi za akina Makoye...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Jumaane ijayo wananchi tunaenda kusimama uwanjani na kupiga makofi ya pongezi kwa kocha,benchi la ufundi ki ujumla pamoja na wachezaji wote kwa kuelekea kutimiza michezo 48 pasipo kufungwa...
3 Reactions
16 Replies
570 Views
Yanga ni timu bora hapa Tanzania kwa sasa, wala hili halina ubishi. Tusiwabeze Yanga eti tu kwasababu hakupata magoli mengi yaliyomuwezesha kushinda baadhi ya michuano. Tuanze na rekodi ya...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Aisee kwanza niombe radhi kuna mwamba humu aliletaga uzi wa kunanga kuwa kombe la dunia mwaka huu Qator haina amsha amsha halafu tukampinga, na wengine tukasema apige kimya coz hana ticketi...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Kuna ile kasumba kwamba watu weusi hawapendi maendeleo ya wengine, mara ooh Wazungu watu poa sana! Ukweli ni kwamba wivu na figisu ni kwa binadamu wote bila kujali rangi wala kabila! Ukifuatilia...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
90' Mpira umekwisha 85' Shuti la Kagere akiwa na kipa linapanguliwa. 82' Kisinda anakosa goli akiwa yeye na kipa, shuti lake linapanguliwa. 74' Singida wamepata uhai kidogo na wanafanya...
7 Reactions
679 Replies
33K Views
Habari iliyopo kuhusu uchaguzi wa rais wa FIFA ni kwamba, Giant Infantino amepita bila kupingwa kwa sababu hakuna mgombea mwingine aliyechukua fomu za kugombea. Gian Infantino ambaye ni rais wa...
3 Reactions
9 Replies
607 Views
Watu wa Soka, Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC). Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na...
28 Reactions
130 Replies
7K Views
Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Fiston mayele akifunga media nyingi za africa wanatangaza Goals au goal lake au zake tofauti na yule wa upande wa kule wanajaribu kumfanyia promotion lakini wapi hata kwao za(m) (b) (ia) utasikia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wadau wa michezo, Jana kulifanyika mchezo kati ya Yanga vs Singida big stars. Ni mechi ambayo Yanga wameibuka ushindi mnono. Mazingira ya hii watu wengi wamehoji juu ya aina soka...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Baada ya jana, Simba SC kuchukua alama 3 muhimu mbele ya Namungo, ratiba ya Simba SC katika mechi 7 zijazo ni kama ifauatavyo; 19-11-2022 Ruvu Shooting - Simba SC 23-11-2022 Mbeya City - Simba...
5 Reactions
64 Replies
4K Views
Huu ni uzi wa utabiri msimu wa NBC utakavyomalizika kuanzia bingwa hadi nafasi ya 5. Upangaji wangu umeangilia uwekezaji wa timu husika na ubora wa wachezaji wa timu zenyewe. 1. Azam FC - Hawa...
0 Reactions
19 Replies
897 Views
Tumeshaharibu kwa kufungwa kizembe na Azam FC na kutoka sare ya kipuuzi na Singida Big Stars FC, hivyo ubingwa tusahau msimu huu na kama si Yanga SC basi Azam FC anabeba. Imeisha hiyo.
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…