Soka ni mchezo unashabikiwa na kuangaliwa na watu wa rika zote wakiwemo watoto hivyo basi popote linapojitokeza jambo ambalo linaweza kushusha heshima ya mchezo huu ni lazima lipigwe vita kali...
Mpaka sasa hivi Yanga shida yake ni beki wa kati na siyo kiungo mkabaji. Bangala anatosha kucheza namba 6, walete beki wa kati asaidiane na Job, walete winga na mshambuliaji wa kati kumsaidia...
Binafsi nimeshangazwa sana na uongozi wa Klabu ya Simba SC kukurupuka kumkana Kocha wa Makipa, Muharami Said Mohamed kutokana na tuhuma za Kukutwa na madawa ya kulevya kwa kusema kwamba Klabu ya...
FAHAMU HAYA VYEMA MKAJUA SIMBA IMEFANYA NINI AFRIKA HII.
Mwaka 1977, Simba iliweka rekodi katika mechi za watani wa jadi kwa kuifunga Yanga mabao 6-0. Zaidi ya miaka 42 rekodi hiyo haijafikiwa.
—...
Kama si Mbiringe bila shaka ni Patashika ya Ligi Kuu Tanzani Bara [emoji1241] kuendelea kupigwa leo Novemba 16, 2022. Mnyama Mkali Mwituni Simba SC [emoji881] kukiwasha na Wababe wa Kusini Namungo...
Ubora, ubira, ubora, ndiyo kitu pekee unachoweza kuizungumzia Yanga ya Nabi. Kungekua na uwezekano wa kurudisha muda nyuma ingepigwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga ya Nabi na Barcelona ya...
Singida tumeshawafunga kabla hata ya menchi. Hawa jamaa wana alama zetu 6 kila msimu. Kwahiyo wala hawatuumizi kichwa. Ni timu ya Mwigulu Nchemba ambaye ni mtu wetu, kwahiyo mechi rahisi hii...
Mayele alivyochukua maamuzi ya kubaki, nilimuona amefanya maamuzi mabaya sana tena sana. Katika watu ambao huwa hawana shukrani ni mashabiki wa Yanga, asubuhi unaweza kuwasaidia ikifika jioni...
Team yetu ilikuwa nzuri msimu uliopita.umewagaia yanga wachezaji wetu wakali Sasa hivi team imekuwa mbovu.hatukomi kukuzomea.hakuna support yoyote zaid umeharibu tu soka la singida.
Haiwezekani...
Mimi ni shabiki wa Liverpool kindaki kindaki siyo masihara,
Sababu iliyopelekea kuipenda hii ni;
1. Bwana mdogo Michael Owen, enzi hizo vile alivyo kasi na ufungaji wake na falsafa za pale...
14:00 Ihefu FC vs Polisi Tanzania
16:00 Mbeya City vs Kagera Sugar
19:00 Yanga SC vs Singida Big Stars
✍ BIG MATCH: Wakulima wa Alizeti, Singida Big Stars watakuwa wageni wa Mabingwa watetezi...
Yanga imeifunga Club kutoka Tunisia ambayo inashiriki Kombe la Dunia mwaka huu, na ni timu ambayo inafanya vizuri sana AFCON, na timu za taifa kutoka nchi za kiarabu kama Egypt, Tunisia, Morroco...
Mwaka 2019 tarehe kama ya kesho mwezi wa pili timu ya club africain kutoka nchini Tunisia ilipigwa nane bila na timu ya TP Mazembe pale mjini Lubumbashi nchini Congo DRC katika uwanja wa Stade TP...
Wakuu
Nimekuwa nikitafuta kujua ni kingamuzi gani kitaonesha fifa world cup 2022 ili nikinunue kwa sasa na matumizi ya badae
Dstv hapana, sababu sitaweza kumudu kile kifurushi kikubwa chenye epl...
Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo).
Amedai kuwa Ten...