Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Salaam wana JF. Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Nimeiangalia Yanga ya msimu jana iliyotolewa na Rivers United, nimeiangalia Yanga ya msimu huu iliyotolewa na Al Hilal, naweza kusema timu haikua mbovu isipokua ilikosa imani. Nilishawahi kusema...
12 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakati ana njaa Wamepata kitu chao pendwa Sasa wamevimbiwa mihogo Hapa ndio akamaliza kabisa TUWASAMEHE BURE
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Nauomba Uongozi wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) haraka sana umchukulie hatua kali za kinidhamu mtangazaji wa hovyo wa michezo nchini Maulid Kitenge kwa kitendo chake cha kumpa...
10 Reactions
143 Replies
8K Views
Wananchi wako Mwanza now. Kifupi Yanga wana ratiba ngumu sana ni vile tu wako bora na wanashinda mechi. Wangekuwa wanafungwa au kutoa sare sauti zingekuwa zimeshasikika mtaani! Tuwaombee...
12 Reactions
69 Replies
3K Views
Bayelsa Queens Vs Simba Queens Mechi ya kutafuta mshindi wa tatu kwa michuano hii ya wanawake. Simba Queens watajaribu bahati yao kuanzia saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki. Live...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Timu ya Wananchi, @yangasc1935 Jumapili kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar imeandaa sherehe fupi inayofahamika kama 'Wananchi Mihogo Party' ambayo imeandaliwa rasmi kwa ajili ya...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Mkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa. Sasa nawaambia safari za mikoani zikianza msianze kulialia hapa...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Wapenzi wa mpira habari za muda huu, nipo hapa kupiga lamli chonganishi! Tukienda na mchezaji mmoja mmoja, Ihefu wana wachezaji wanaojua mpira kuliko vitoto vya Simba visivyo na akili. Leo...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Hii kitu sijaielewa Wazee wa pira linatembea wameshinda leo lakini mashabiki wake uku wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi sijui hii ganzi ya ghafra waliyonayo kuna nini nyuma ya pazia.
1 Reactions
13 Replies
726 Views
Inadaiwa kocha huyo, Erik ten Hag wa Manchester United anataka kumuuza nahodha wake lakini kikwazo ni kiasi ambacho wanatakiwa kukipata kutoka sokoni Beki huyo aliyesajiliwa kwa Paundi Milioni 80...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau, Nina maswali haya kuhusu usajili huu: 1. Ni idadi gani ya wachezaji inaruhusiwa kusajili kupitia dirisha dogo? 2. Wachezaji wa kimataifa watakaosajiliwa kupitia usajili huu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kumekuwa na hali ya mazoea au unyonge ambao mataifa ya Afrika kuwa nayo katika mashindano ya kombe la Dunia na ni wazi huonekana fikra na mawazo yq kushindwa au kutokufanya vizuri kuanzia katika...
0 Reactions
1 Replies
413 Views
Naomba nipewe hilo jukumu na niwe na watu hawa Idi Kajuna (mtani wangu wa Kihaya), mafia mwenzangu Kassim Dewji (KD), Mandanje mzee wa kujilipua na mvaa mabomu na poti wangu kutoka kwetu mkoani...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Ndio hivyo Man City 1~2 Brentford, sasa Arsenal washindwe wenyewe kujitanua zaidi kileleni EDDO KUMWEMBE POPOTE ULIPO ONGEZA SERENGETI MOJA BARIDIII
3 Reactions
10 Replies
700 Views
[emoji95]𝗒π—₯𝗨𝗠𝗔: 𝗣π—₯π—œπ—©π—”π—Ÿπ——π—œπ—‘π—›π—’ π—‘π—œ π—¦π—œπ— π—•π—” "...Abiudi Shayo aka @privaldinho Jana (juzi) umenipiga Sanaaaa. Nimepata simu nyingi sana watu wakaniuliza huyu si ndo wewe ulibaki nae peke yako kumtetea...
2 Reactions
8 Replies
954 Views
Yanga wametua mchana huu kutoka Tunisia kupitia Dubai na wanatarajia kwenda Mwanza leo saa moja usiku tayari kwa mchezo wa Jumapili dhidi ya Kagera Sugar. Wachezaji wote wamerudi isipokuwa Aziz...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu najua hata wao hawaelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Baadhi ya makocha na wachezaji wa zamani wamemzungumzia Messi Kwa aina tofauti: 𝐌𝐒𝐜𝐑𝐚𝐞π₯ 𝐎𝐰𝐞𝐧: "Sifikirii mtu yeyote anaweza kucheza mchezo wa soka kama vile Messi." π…π«πšπ§π€ π‘π’π›πžπ«π²: "Messi ni...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Hongereni Simba kwa uwekezaji wa kimkakati. Kwa kufika nusu fainal Simba Queens wameingizia Simba $ 200, 000 ambazo ni karibu na zawadi ya NBC premier league champion. Wakifika final watapata...
24 Reactions
41 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…