Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwangu naona Al Hilal walikuwa wachovu sana kwa Yanga, kuanzia home ground had away, Al Hilal kule kwao ndio hakuna cha maana walichokifanya, Yanga walikuwa na uwezo kabisa wa kupindua meza kule...
7 Reactions
53 Replies
3K Views
Baada ya Azam FC kumalizana na Donald Ngoma na muda si mrefu wanaenda kumalizana na akina Thabani Kamusoko na Kelvin Yondani taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kwamba muda wowote Kiungo...
10 Reactions
84 Replies
11K Views
Matokeo ya mechi (In Aggregate) za playoff za kuwania hatua ya makundi za CAFCC katika msimu wa 2022/23 ni kama ifuatavyo: Marumo Gallants 3-1 Al Ahli Tripoli CS Sfaxien 1-2 ASKO St Eloi Lupopo...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwaka jana vijana wangu wawili walikuwa wanafanya mitihani yao ya Taifa. Mkubwa alikuwa akifanya mitihani ya kidato cha 4 na huyu wa mwisho alikuwa akifanya mitihani ya darasa la 4. Matokeo yao...
24 Reactions
49 Replies
3K Views
Timu nzima kuanzia kwa mashabiki, viongozi na mpaka Sasa wameanza kuambikiza kwa wachezaji namna wanavyo cheza wanacheza soka ambalo halina utulivu na kuanza kugomea mechi. Ukiongea na mashabiki...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Imekuwa wimbo na ngonjera zinazoimbwa na mashabiki wa Simba kila mara Yanga inapofanya vizuri dhidi yao au michuano ya ndani ya kwamba, Yanga haiwezi michuano ya kimataifa na wao wamewekeza uko...
16 Reactions
18 Replies
1K Views
Nawaomba mtumie Kiswahili Kama kimombo ni shida. Eti back left 😀 Jamani ni left back. Sio back right.... No right back.
0 Reactions
4 Replies
575 Views
Hawa Waarabu wakicheza mpira wa kushambulia kama walivyo cheza na kipanga watakufa mengi saana Game plan ya kucheza na Yanga vizuri ni kuzuia tu na kufanya mashambulizi ya kushtukiza maana mabeki...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Hii ni summary ya ufanisi wa wachezaji wa Yanga katika mechi ya jana. Alana ni katika fractions za /10 . Ni mawazo huru ambayo yanaweza kupingwa na kukosolewa Kwani watazamaji hatufanani. Karibu...
12 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwenye suala la kumiliki mpira na kucheza kandanda safi kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, sioni timu ya kuwashinda wananchiwananchi. Tumaini pekee la wapinzani wanaokutana na Yanga ni kupaki basi...
33 Reactions
40 Replies
3K Views
Kutokana na profile ya Club African, kuna wachambuzi wa kibongo pamoja na mashabiki wa Simba walikuwa wakitoa kauli mbali mbali za kuonesha mwisho wa Yanga umewadia kabla na baada ya game ya Dar...
6 Reactions
10 Replies
806 Views
Kumekua na blah blah nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa makolo., kila timu inayofungwa na Yanga kisingizio chao ni kwamba wapinzani wanaongwa Ukweli ni kwamba katika ile rekodi ya unbeaten...
7 Reactions
10 Replies
846 Views
Salaam, Mgunda hapewi mkataba, wala kocha mpya haletwi, na uongozi hausemi chochote. Tunajua kwamba Mgunda alikuja simba kwa dharura ya kusimamia timu kwenye mashindano ya kimataifa, hasa mechi...
3 Reactions
7 Replies
735 Views
Kila mdau wa clab cha Yanga anashangilia hatua kubwa club yao iliyofikia hapo jana kwa kuingia makundi katika mashindano ya CAF CC. Kuanzia Rais wa club anashangilia mpaka mla miogo wa Chanika...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Kufuatia matokeo ya kichapo kutoka kwa Yanga, Rais wa Club Aficain na Bodi ya Wakurugenzi wametangaza kujiuzuLu kupitia mitandao yao ya kijamii. Daima mbele, nyuma mwiko!
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Hongera Yanga kwa kutinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho, haya mashindano mwaka jana msemaji wenu alisema ni mashindano ya waliofeli, ila sisi bado tunawapongeza kwa kuwafunga Africain kama...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Mimi mnyama bila kuficha ila kwa pira lile la jana pale Stade Olympique de Radès Yanga dhidi ya Club Africain, naiona nusu fainal yao kabisa, tena wakizubaa anabeba ndoo. Kule Shirikisho pepesi...
5 Reactions
13 Replies
886 Views
Mmecheza mpira mwingi na mkubwa mno huku wachezaji wote wakiwa na ari, nia na uthubutu wa kufanya vyema, na hakika mmekifanya na mmestahili pia. Hata hivyo mwenyewe tu kimoyo moyo nilikuwa bado...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Kwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya...
7 Reactions
108 Replies
8K Views
Huu ni ushauri tu ninaokupa, kama walishakuandika hadi kwenye magazeti kwamba mrithi wako kishapatikana, ijui Mbrazil, hii maana yake ni kwamba, hawana imani na wewe na wamekuchoka. Sasa Mkuu...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…