Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Yanga na Kmc utakaochezwa saa 1 jioni Estadio De Benjamin Mkapa. . Huu ni mchezo wa namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023. . Yanga akiwa ni...
8 Reactions
273 Replies
15K Views
Mwisho mwa wiki iliyopita Yanga SC walitoka suluhu ya 1-1 dhidi ya Al Hilal ya Sudan, kwenye dimba la Mkapa. Matokeo hayo yameibua maneno mengi sana mitandaoni ikionekana kama vile Yanga SC...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.[emoji3516] Mimi kama mwanachama na shabiki lia lia wa Azam FC na kwa kikosi nilichonacho kilichojaa vipaji, hakika nitasoneneka mno kwa Simba hii...
5 Reactions
78 Replies
3K Views
Hizi timu ni za kawaida sana. Zimekuwa zikifanya makosa mengi sana kwenye michezo yao, kinachowaokoa ni udhaifu wa wapinzani. Sitashangaa hata Yanga ikipoteza mechi hivi karibuni. Yanga inashinda...
0 Reactions
4 Replies
487 Views
01' Kipute kinapulizwa uwanja wa Benjamin Mkapa. 01' Simba wanakuwa wakwanza kulifikia lango la Yanga, pasi ya mwisho inakosa tija. 03' Simba wanapata faida ya faul ya kwanza baada ya Okrah...
25 Reactions
945 Replies
49K Views
Leo 27.10.2022 Simba watakuwa uwanjani wakiwakabili Azam FC. Timu zote zinakutana zikiwa hazina makocha wakuu bali zikiwa na makocha wa muda. Simba leo watakosa huduma ya Sadio Kanoute (Putin) na...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Quattara alianza vizuri akiwa anamuweka benchi Onyango, ila now mambo ime turn jamaa hajulikani alipatwa na nini haanzi kwenye kikosi cha kwanza
0 Reactions
8 Replies
519 Views
Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu...
10 Reactions
57 Replies
4K Views
Mimi siyo mganga wala mchawi ila naona kabisa Unbeaten blunder inaweza kuisha leo mchezo wa Yanga na vijana wa Kinondoni haitakuwa rahisi sababu; Timu ya KMC ina wachezaji wenye uwezo wa kufanya...
5 Reactions
62 Replies
3K Views
Kuna 'Kijana wa Mzee Kilomoni' namuona tangu siku ya jana anajaribu kumtikisa Mnyama. Ndani ya siku 1 kafungua nyuzi zaidi ya 2 akihoji uwekezaji wa Mo katika timu bora kabisa ukanda wa Africa...
5 Reactions
13 Replies
765 Views
Kwa kuzingatia utendaji na michango ya wachezaji, hapa nitajaribu kutumia kipimo cha 1-10 kiwafanyia viwango wachezaji wa timu zote mbili. Simba: 1. Aishi Manula 7.5 Alifanya kazi kubwa ya...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Kimenuka huko mtaa wa pili wa Kinywaji maarufu kijulikanacho 7UP. Mmoja wa viongozi wa bodi ya wadhamini kwa muda mrefu sana pale SABASABA FC leo ametanabaisha wazi kuwa uongozi wa klabu hiyo...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Kwa muda mrefu sana wapenda soka wa dunia wamedanganywa kwamba ligi ya Spain ndio ligi bora na ngumu kuliko ligi zote duniani , hata pale sisi wataalam na wachambuzi wa soka tulipopinga , tena kwa...
8 Reactions
249 Replies
21K Views
"Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni dhahiri kabisa media house imevamiwa na wahuni na inashangaza kuona gazeti likienda kuchapishwa huku likibeba habari za uongo kana kwamba hakuna mhariri. Ushauri wangu kwa Uongozi wa Yanga ni...
8 Reactions
64 Replies
3K Views
Hili tatizo la waamuzi Tanzania nilidhani ni makosa ya kibinadamu kumbe ni makusudi. Leo kuna kihoja kimetokea mechi ya Dodoma Jiji Vs Mtibwa uwanja wa Liti Singida. Dakika ya 82 mchezaji wa...
5 Reactions
8 Replies
839 Views
Wote Mnakaribishwa Updates ...............
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Kama kichwa kinavyosomeka, FIFA wapo kwenye presha kubwa ya kuipokonya Iran nafasi yake ya kushiriki World Cup na kuipa Ukraine. Kama ili jambo litafanikiwa basi itakuwa dhairi siasa zitaingia...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Kutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya...
4 Reactions
181 Replies
17K Views
Mbona ukiwa unakaribia kucheza na Simba SC huwa hunyamazi na huwa 'Unabwatuka' mara kwa mara tena hadi kuwapigia simu waandishi Ili wakuhoji kuhusu maandalizi juu ya mechi ya Simba SC? Cha...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…