Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu yetu ya Wanawake, @simbaqueensctz leo imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri ya @mbet_tz wenye thamani ya Tsh. bilioni moja. Simba Queens itaanza...
7 Reactions
6 Replies
961 Views
Wazoefu mnijibu swali langu, wa nje anawakubali kirahisi wanafanya yao halafu wanaondoka lakini mume wake wa ndani anambania. Yaani mpaka dakika tisini zinaisha mke kabana, tatizo ni nini hapa...
3 Reactions
12 Replies
957 Views
Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi...
18 Reactions
101 Replies
5K Views
Kama mwana Simba SC ni goli ambalo limeniuma kwani amesawazisha ila kiuanamichezo na hasa nikiwa kama mdau wa soka GENTAMYCINE, nisiwe mnafiki na naomba niseme tu kuwa ni goli zuri hakuna mfano...
35 Reactions
82 Replies
6K Views
Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo 1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Hii ni dalili ya ushindi wa michongo. Ni jambo gumu sana timu imara inayoweza kutopoteza mechi nyingi namna hiyo halafu ishindwe kufurukuta mashindano ya kimataifa! Hii timu ilifanikiwa pia...
11 Reactions
44 Replies
2K Views
Nauliza, huyu dada alikuwa Msemaji wa Simba Queens ila amepotea ghafla, nafasi yake naona Ahmed pia anaifanya, wameachana naye lini? Shida nini? Mbona mapema kabla mkataba kuisha?
1 Reactions
2 Replies
396 Views
Rais, muhandisi na wanyampara wa Yanga lazima wabebe mzigo mzito wa lawama kwa haya yanayoendelea na kutokea. Kosa pia lilifanyika wakati wa kusajili wachezaji, hakukuwa na balance kwenye timu...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna muda nilishangaa sana alipokuwa anakimbilia mpira halafu akapitwa na mtu kutokea mbali sana. Anyway, kinachomsaidia ni kucheza kwa akili maana isingekuwa hivyo mambo yangeharibika. Ila...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Tukiweka ushabiki pembeni kuna mambo ya kuionea huruma sana Yanga. Moja kati ya hayo ni usajili wa Tuisila Kisinda. Nakukumbusha tu kwamba huyu ndiyo mchezaji aliyewalipisha faini Yanga huko CAF...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
1. HAJIAMINI anakera sana kitendo chake cha kutoa kadi za njano bila mpangilio ili kupunguza makali ya wachezaji hata kama rafu iliyochezwa haistahili adhabu hiyo,shida inakuja pale mchezaji...
12 Reactions
20 Replies
3K Views
My Take It is a sign of maturity to apologize and admit when you are wrong. We, Simba fans accept your apology.
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Mashabiki wa Simba wameshapoteza kujiamini wanapocheza na Yanga. Yaani ni bora uwaambie wakacheze na Al Ahly au TP Mazembe lakini si Yanga. Huwaoni kuvaa jezi za timu yao. Wamepotea sana mtaani...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jumla ya tiketi Milioni 2.45 kati ya 3,010,679 zilizotengwa kwaajili ya Michuano ya Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar zimeuzwa huku tiketi 520,532 zikiuzwa ndani ya siku 43 (Julai 5 -...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Alichofanya Okrah katika mchezo wa jana imejidhihirisha yeye ni mchezaji wa aina gani. Alichofanya Okrah tulichotegemea kuona kikifanywa aina ya wachezaji wa timu za chini. Alichofanya Okrah...
13 Reactions
66 Replies
4K Views
Hakuna refa profesional anaefoka hivi uwanjan, ni mpuuzi anayelazimisha kutisha ili aogopewe, ndiyo anaweza fanya hivi. Refa siyo adui wa mchezaji ni rafiki mkubwa wa mchezaji, ukimuiga Corina...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Watanzania tubadilike, Kocha hajafungwa mchezo wowote katika ligi anakimbilia michezo 50 sasa, leo hii linatokea kundi la watu wakijiaminisha kabisa ati kocha hafai! Majuzi hapa kocha wa Azam...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Hatimaye tarehe 23/10/2022 ikafika baada ya siku kadhaa za tambo, ngebe na kelele nyingi kutoka kila upande. Kwangu Derby ya safari hii ilitawaliwa na saikolojia ya nje ya uwanja kati ya wale wa...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
This was our game, we were supposed to win. We can actually blame you for Simba' failure. I say failure cause it was a must-win game. I think the one problem you had was that purely selfish. I...
31 Reactions
177 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…