Wakati kipindi cha pili kinaenda kuanza, Manura alielekea golini kwake na wakati anaweka taulo, kuna kitu cheupe alikitupa pale golini.
Huu ni muendelezo wa matukio kibao ya Klabu ya Simba...
Ile assist alioitoa Chama na kuzaa goli la Simba leo inaitwa La Pausa kwenye soka. Mashabiki wa Simba kule Spain na Ulaya wanauliza kama lipo neno la Kiswahili?
Huyu dogo achoshangaza , anafokea watu wanaolipwa pesa mingi Sana kwa mwezi anahic wako sawa kumbe ni mbingu na ardhi.
Kikubwa huyu dogo hajui chochote kwenye hii career ya urefarii ulishaona...
Natamani siku hizi timu mbili ziache kurogana kipigwe kavu kavu tuone kiuhalisia ni nani bora zaidi uwanjani na siyo haya mazingaumbwe wanayotufanyia.
Haya ni baadhi ya mambo nikiyoyaona jana...
Kama asingekuwa mbinafsi kama mchezaji ninayemchukia kupita kiasi kwa sasa ndani ya Simba SC Sakho kutokana na utoto na upuuzi wake usiyobadilika, leo Okra alikuwa anatoa pasi kama tatu hivi za...
1. Germany lost the most World Cup finals in football history (4 times)
2. Juventus lost the most UCL finals in football history (7 times)
3. Cristiano Ronaldo is the only player in history to...
Moja kwa moja kwa wachezaji wa Simba na bila kupepesa. Mgunda amejitahidi kuwabadilisha wachezaji watembee, mpira utembee na kuchangamka lakini bado wachezaji wanajisahau.
Jana ilikuwa Yanga...
Kwa mwenendo huu wa klabu ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje. Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, wachezaji wazembe, hawajitumi, tunategemea nini?
Kwanini...
Ni mambo ya ajabu kweli. Hawa waamuzi ni wa kiwango Cha chini sana, tena hawana ushawishi kabisa. Carrier ya waamuzi Kwa hapa nchini ni kizungumkuti.
...
Amani iwe kwenu.
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo wa viungo wakabaji wa timu ya Simba SC kwa muda mrefu sasa. Nimeona mabadiliko makubwa kwa Mzamiru Yasin na Sadio Kanoute, viwango vyao...
Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya Ngao ya Jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions (mbadala) zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha uchoyo...
Pamoja na timu ya Simba kufanikiwa kuingia hatua ya makundi CAFCL, kuongoza msimamo wa NBC Premier League, lakini nimeshangaa tovuti zote za kubeti zimewaweka Simba kwenye nafasi ya kufungwa mechi...
Uhali gani shabiki na mpenzi wa soka wa Tanzania na Afrika Mahariki kwa ujumla baada ya mechi ya jana kumalizika bila mbabe baada ya kugawana alama? Kwenye mchezo huo matokeo ya haki kila timu...
Nili andika juzi kuwa, katika ulimwengu wa roho, mchezaji ANAE beba nyota ya mafanikio ya Yanga ndani ya uwanja ni Jesus Moloko na kwamba Moloko anatakiwa kuwa treated from that aspect.
Naona...
1. Kuna wapigaji wengi.
2. Kuna wanafiki wengi.
3. Kuna Uyanga na Usimba mwingi.
4. Kuna usaliti na kutumika kuanzia kwa viongozi na wachezaji.
5. Majungu mengi kutoka kwa wachezaji wazawa na...
Klabu ya Azam imemtangaza Denis Lavagne (58) Raia wa Ufaransa kuwa Kocha wao Mkuu akirithi mikoba ya Abdihamid Moalin, Lavagne ana uzoefu na soka la Afrika kwa miaka zaidi ya 14 toka alipoanza...