Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya Jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal. Kwa upande wa...
27 Reactions
93 Replies
6K Views
Ni siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu sana na mashabiki hapa Tanzania, kule Angola na Afrika Mashariki kwa ujumla. Mnyama mkali anashuka dimbani akiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao matatu...
24 Reactions
436 Replies
22K Views
Taarifa za ndani ya Yanga nilizotaarifiwa ni kuwa Eng Hersi Said ndiye anayemlazimisha Nabi kumchezesha Feisal na Aziz Ki kwa pamoja, hataki kuona mmoja anaanzia Benchi. Hersi ndiye aliyemwambia...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Hivi kwanin Tanzania kisoka hatuna ushirikiano? Tutambue kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Umoja wetu Watanzania ndiyo uliyotuwezesha kumshinda Idd Amin Dada mwaka 1978/1979. Nawaomba...
5 Reactions
101 Replies
4K Views
Kikubwa kinachotakiwa katika Mechi za Kufuzu kutinga Makundi ya CAFCL siyo idadi ya Magoli au Umechezaji bali ni Mikakati na Mipango ya Kukupeleka huko hivyo hata kama Umefuzu kwa Goli Moja tu au...
2 Reactions
6 Replies
804 Views
Mimi nina imani kubwa kwamba Yanga alijiandaa na kamati ya ufundi pale kwa Mkapa dhidi ya wale waarabu weusi, na alifanikiwa kabisa kupata ushindi mnono wa nje... Ila naamini kuna wahaini ambao...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
1. Tanzania Simba SC yangu imeshinda na kuvuka (kufuzu) Makundi ya Klabu Bingwa Afrika (CAFCL). 2. Uingereza timu yangu pendwa ya Liverpool FC imemfunga mpinzani mpya Manchester City. 3. Sudan...
0 Reactions
1 Replies
431 Views
Naam, ile DRAW ya vibonde wa Champions League waliotupwa huko Shirikisho, ambapo inabidi wacheze play offs, inachezeshwa kesho kutwa jijini Cairo saa 10 jioni saa za Kibongo. Draw hiyo itakuwa na...
13 Reactions
20 Replies
3K Views
Ninachojua Jumapili zote huwa ni mbaya Kinyota kwa Yanga SC hivyo kama alivyokufa Jumapili ya tarehe 16 Oktoba 2022 ndiyo hivyo hivyo ataenda Kufa tena Jumapili ya tarehe 23 Oktoba 2022...
3 Reactions
7 Replies
570 Views
Jamaa anajulikana wazi kuwa ni shabiki kindakindaki wa Yanga, ila linapokuja suala la kuongea ukweli basi wananchi wameanza kutilia mashaka u Yanga wake, kwanini? Au ni ushamba tu wa kukubali kitu...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi siyo Mtanzania ni Mkongo, ila nilijikuta nimependa timu hii ya Tanzania kuliko kawaida na aliyenivutia kwenye timu hii ni Makambo. Mwaka 2018 nilitokea kuwa na mapenzi ya dhati na uchezaji...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Usiku wa deni haukawii kucha, Wasudani wanadai shingo ya mtu huko igeuziwe kibra! Mimi simo, ila povu linaruhusiwa!
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu Katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya mashabiki wa Yanga wanasemekana kwenda office za kampuni ya Metl (Mo enterprises Ltd) zilizopo Posta Dar es Salaam. Mashabiki hao wanaotokea...
0 Reactions
3 Replies
457 Views
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, huyu guru wa kutetema hapa Bongo vipi anaendelea alipoishia au? Ila yanga siku walizotumia kufanya press conference kwa mwaka huu ni nyingi kuliko mazoezi ya...
8 Reactions
15 Replies
679 Views
1. Refa katuonea Saba 2. Tumefanyiwa Fujo 3. Tulipuliziwa Dawa Vyumbani 4. Tumerogwa sana 5. TFF ilitutenga haikutupa Mbinu 6. Mashabiki zetu walizuiwa Kuingia Uwanjani 7. Tumejitahidi ila Malaika...
3 Reactions
8 Replies
559 Views
Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea. Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje...
10 Reactions
67 Replies
3K Views
Huu mchezo hapo kesho huko Sudan matokeo yake ni aidha Al Hilal 1 : 0 Yanga, ama sare ya namna yoyote ile (0:0, 1:1, 2:2, 3:3).
0 Reactions
5 Replies
878 Views
Tumeshinda watu ukiwa timu ya wenye kujitambua mmh raha kweli . Hivi mf. Timu kama senegal simba washinde unaonaje?? Yanga wakishinda hata hapo kenya tu mmh wataota . Yanga ni timu ya mazingira
0 Reactions
2 Replies
279 Views
Mpaka sasa inaenda half time azam anaongoza goli moja kwa 0 lakin wameshakosa magoli manne ya wazi kabisa.All the best azam hamna baya.
2 Reactions
37 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…