Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naaaaam, baada ya Simba kufuzu hatua ya makundi kwa mbinde, imebaki zamu ya Azam, kipanga na Yanga. Azam wanaongoza kwa bao 1 na gemu wameikamata hasa, wapunguze kupanick, magoli nayaona kama...
1 Reactions
7 Replies
494 Views
Ingawa ilifanywa siri kutokana na hali mbaya ya kiuchumi waliyonayo wanuka jasho wa Tanzania, fununu mchomoko ni kwamba yule tajiri wa kiukweliukweli asiye na ubahili hata kidogo, yaani yeye...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Wasalaaam wana jukwaaa..kwanza nipende kuwapongeza watani kwa kuchukua kombe msimu huu baada ya kuhenyeka kwa miaka minne bila bila? Yani achana tu na kukosa kombe walipigwa na uhaba wa pesa si...
12 Reactions
78 Replies
4K Views
Kuelekea mchezo mkubwa katika soka la vilabu Spain na Europe kwa ujumla imetangazwa rasmi kuwa FC Barcelona watavaa jezi zenye logo ya OVO ambayo ni kampuni ya muziki inayomilikiwa na mkali kutoka...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu nimewaleteeni Ratiba yote ya Qatar FIFA WORLD CUP 2022 FIXTURE (in IST) Nov 20: [emoji1203] Qatar vs Ecuador [emoji1092] - 9:30 PM Nov 21: [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England vs Iran [emoji1130] -...
12 Reactions
75 Replies
5K Views
Unaweza dharau Yanga ila yaliyowatokea wengne leo Al Hilal ataingia kwa akili sana. Kila la heri Yanga. Mungu ibariki Tanzania, bariki Yanga yetu. Kwa hisani ya @mamabongeeeeee
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wengine hatujazoea kabisa unafiki, kujificha au hata tu kukaa na jambo moyoni. Na kuna mpuuzi mmoja (nimemsahau jina) wiki hii alitutaka Watanzania (tena kwa kutufokea) kuwa watu wa Yanga SC na...
5 Reactions
14 Replies
889 Views
FULL TIME: Simba imeshinda kwa magoli 2-0 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza. 85' Dejan anampa pasi nzuri Sakho, shuti linatoka nje kidogo ya lango. 83' Phiri anatoka anaingi Dejan. 75' Shangwe...
20 Reactions
573 Replies
28K Views
Mtu anapofanya kazi vizuri apongezwe, mtu anapokosea akosolewe na kushauriwa. Mimi na wenzangu tunampongeza Meneja Ahmed Ally na wenzake. Kwa kweli wanafanya kazi nzuri, wanatendea haki mishahara...
18 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimeskiliza alichojibu MANDONGA baada ya KUPIGWA na nikagundua uyu jamaa anakipaji cha kuongea Ikiwezekana apewe kazi ya kuwa MC wa mchezo wa ngumi au awe promoter wa masumbwi MAJIBU YA MANDONGA...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Nafikiri sasa ni muda muafaka cha chama kinachosimamia mchezo wa ngumi kumzuia Mandonga kupanda ulingoni. Kwanza huyu jamaa anahatarisha usalama wake, ngumi sio mchezo wa kupanda panda ulingoni...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Haaland kwa moto wake, namuona kabisa akitwaa Ballon d'Or kabla ya Mbappe. Wewe mtazamo wako upoje?
9 Reactions
45 Replies
4K Views
Jamaa ndiyo wamenyanyuka wakiwa na bashasha na kujiamini at par. Wachezaji na viongozi wako na morali ya juu sana wakiongozwa na Kocha Prof. Nabi. Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Naomba nieleweke, naongea kikubwa hapa, wale wenye uzito watanielewa. Na kwa hili sirejei mechi yenu ya kesho, ombeni Mungu anaweza kuwasaidia. "Mnapojitafutia mafanikio msizibe pumzi ya jirani...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuna Mpuuzi Mmoja nimemsikia ( kwa sasa nimemsahau Jina ) akisema tena kwa Kufurahia na Kuwapongeza Wenyeji kuwa wamepokelewa vyema. Na kwa tunaowajua vyema Waarabu ( hasa Timu zao ) ukiwa ni...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanamichezo wa hapa jukwaani nimekaa nikafikiria maajabu ya mpira wa miguu kuelekea mechi za kimataifa za wababe wa Kariakoo, yaani Simba dhidi ya De agosto na ile ya Al hilal dhidi ya Yanga...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hawa jamaa ukiacha kupenda kwao mafataki mwanzo mwisho, pia ni waumini wazuri wa maswala mazima ya vitochi usoni. Leo ndiyo mtajua hamjui, dadeki.
0 Reactions
5 Replies
473 Views
Amani iwe nanyi. Natumaini wachezaji na viongozi wangu wa chama langu la Wekundu wa Msimbazi wapo salama kabisa. Bila ya kupepesa macho wala kung'ata maneno napenda niwaase wachezaji kuwa waingie...
5 Reactions
15 Replies
775 Views
Wakuu tunakumbushana tu kwa wema, leo inaitwa SUPER SUNDAY. [emoji3593] (1 ) Simba vs De Agosto Saa 10:00 Jioni (2) Real Madrid vs Barcelona Saa 11:15 Jioni (3) Man city vs Liverpool Saa 12:30...
12 Reactions
21 Replies
1K Views
U17 WWC 2022. France 0-2 Tanzania 60' ==== TANZANIA imeonyesha uimara katika michuano ya Kombe la Dunia Wasichana U17 baada ya kuwachapa Ufaransa mabao 2-1 leo katika mchezo wa Kundi D Uwanja wa...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…