Nilisikiliza kipindi cha michezo cha Sports HQ E FM radio, walikua wanazungumza kipigo ambacho timu yetu ya akina dada walipigika na Japan.
Ndipo muongoza kipindi alimtaka mchambuzi Bin nani...
Wikiendi yangu leo kwenye kabumbu furaha ipo hapa;
~ Simba sport club #lunyas
~ Manchester United
~ Real Madrid
Furaha yako kwenye mpira unategemea kuipata wapi mwanajamii?
Nahisi kuyaamsha baadhi ya mapepo yaliyolala, tukutane kesho saa tano usiku hapa.
Ninachojua Yanga anaingia makundi, kivipi, subiri dakika 90.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Ibariki timu...
Ari, Bidii na Uzalendo imetuletea Ushindi Dhidi ya Ufaransa : Mhe. Gekul
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Pauline Gekul ameipongeza timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17...
Katika mchezo wa awali walisikika na kuwaaminisha mashabiki wao ya kuwa kuna timu itapigwa 4 bila, yaani kana kwamba walijua Al Hilal ni sawa na Zalan FC, lakini matokeo yake ilikuwa chupu chupu...
Habari wakuuu.
Uzi wangu utakuwa mfupi sana lakini wenye fikra na mawazo mapya kwa watu.
Msimu wa 2021-2022 Yanga imechukua;
Ubingwa wa Ngao ya Jamii
Kombe la Azam Sport
Ligi Kuu ya NBC...
Habari za jioni wadau wa soka la Bongo.
Nimetoka kuangalia hapa Live Score hadi nimeshtuka baada ya kuona Vipers ametoboa kwenda makundi mbele ya Tp-Mazembe ambayo ilikua mwenyeji.
Hili swala...
Huu ni mda wetu kuonyesha Afrika uwezo wetu na nguvu zetu. Daima tumekuwa chini kwa kipindi kirefu lakini muda huu ni wakati wetu. Mshindi siku zote huwa hana thamani mbele ya wapinzani wake, kila...
Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇
Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote.
Niseme kweli SITOTAMANI kuangalia tena Mpira wa Simba na Yanga hiyo October.
Kwa Mapinduzi na Mageuzi anayoyafanya Yanga ambayo yapo kimkakati kimataifa zaidi, hali itakuwa ni mbaya kwa SSC na...
Kuna wakati sisi mashabiki wa Yanga tunatabiri sijui hawa watakufa 1 au mbili huko kwao, ila ukiangalia vizuri hawa Al Hilal japo siyo bora zaidi yetu, wao wana viongozi wazoefu kwenye mashindano...
Thamani ya ligi yetu itaongezeka sana. Watanzania wataanza kuangaliwa ili wasajiliwe timu nyingine za Afrika. Na pengine makocha wetu wanaweza kutazamwa.
Yanga siwapendi na mpira wao uko sana...
Kesho kocha Florent Ibenge ataiongoza Al Hilal [emoji1232] kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko [emoji1110]. Ni maandalizi Kuelekea mchezo wao wa klabu bingwa Afrika dhidi ya ST...
Natamani hiyo siku ifike haraka tucheze tumalize, hata kama tutatoka tutoke tu, nimechoka na hii mijadala! Yaani hii wiki moja ya kusubiri marudiano imegeuka na kuwa kama mwaka, dah!
Tucheze tu...
Yamebakia kama masaa 24 kabla ya mtanange muhimu kwa Yanga na Al Hilal hapo kesho.
Niwatahadharishe kitu kuwa, kesho inaweza ikatokea bahati mbaya Yanga wakafungwa goli la mapema sana. Sasa...
Mnamo tarehe(leo) 15 Oktoba 2022, Greenwood alikamatwa kwa madai ya kukiuka masharti yake ya dhamana. Siku hiyo hiyo, alishtakiwa kwa kujaribu kubaka, kujihusisha na tabia ya kudhibiti na...
Baada ya kufanya uchambuzi wangu yakinifu na kiuhalisi hesabu zangu hazidanganyi. Nimepata matokeo ya Mechi ya Al Hilal dhidi Yanga itakayopigwa tarehe 16 Oktoba 2022 nimejiridhisha kuwa matokeo...