Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Taarifa za ndani zinaeleza Yanga wataondoka Jumamosi alfajiri na watafika Sudan asubuhi kisha jioni watafanya mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Jumapili. Mbinu hiyo waliitumia Simba walipokwenda...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Uchambuzi wangu baada ya hii mechi; Tukienda kimahesabu kabisa hawa makolo wamepiga bomu mochwari wanajisifu wameua.[emoji23][emoji23] Baada ya kuotea kupangwa na timu ndogo kabisa na kufunga...
4 Reactions
127 Replies
5K Views
Hawa Al Hilal watalazimisha droo sana, ndiyo watalazimisha kwa hiyo basi kuna uwezekano wa wao kucheza mpira wa kuzuia zaidi kuliko kushambulia. Na wakicheza mpira wa kuzuia kuna uwezekano wa wao...
0 Reactions
13 Replies
638 Views
Baada ya vuta nikuvute hatimaye Al Hilal wamekubali Azam TV warushe matangazo ya moja kwa moja ya mechi ya mkondo wa pili huko Sudan dhidi ya Yanga SC. Kongole kwa Azam Media
12 Reactions
60 Replies
5K Views
MANDONGA Kwa sasa Nchini Tanzania ukitaja jina la MANDONGA watu wengi wataanza kucheka, hiyo ni kutokana na sifa za bondia huyo ambaye amejizolea umaarufu hivi karibuni hasa mwaka huu 2022...
7 Reactions
20 Replies
5K Views
Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia. Kwa msingi huo, Yanga...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
My brudah and sistas we are going to fight there and WIN is a must, Note this.
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Nimeona niwape kidogo mbinu Yanga ili kuisaidia timu kuvuka hiyo hatua muhimu. Kwanza nawasalimu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Ulaya hasa Ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka ya 2000 hadi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama mechi yenu tena ya hapa hapa nyumbani Dar es Salaam nchini Tanzania Uwanja wa Mkapa ilionyeshwa mubashara (live) na mkademadema na kupata alama (point) moja mnadhani kwa kuonyeshwa kwao ndiyo...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na...
7 Reactions
60 Replies
5K Views
Naam, ni mwendo wa ma uongo na ma propaganda kwa kwenda mbele toka utopoloni, lakini kwa kudra za Mungu tumejipanga kuwaumbua wasambaza propaganda za uongo, may God help us! Ona huyu afisa wa UTO...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Uongozi wa Klabu ya Al Hilal umezuia mchezo wao wa Klabu Bingwa dhidi ya Yanga kuonyesha kwenye Tv wala kutangazwa kwenye Redio. Taarifa zinasema kuwa Azam Media wametoa dau la milioni 200 ili...
15 Reactions
171 Replies
10K Views
Habari wakuu. Naomba niwaeleze ukweli, japo ukweli ni mchungu. Bado NALIA na kamati ya usajili ya Simba. Simba bado ni underdog kwa YANGA. Tunawachezaji Baadhi wa KIMATAIFA nadhani uongozi...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Mchambuzi Oscar Oscar ametoa mtazamo wake kuhusu marudiano ya Yanga na Al Hilal.
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Huu ndio ukweli japo mashabiki wa Simba hawawezi kukiri. Yaani Simba wana hofu mara mbili kama siyo mara tatu ya hofu walionayo Alhilal na mashabiki wake. Mashabiki wa Alhilal wana hofu ya...
11 Reactions
56 Replies
3K Views
Watanzania tuna uwezo ila changamoto kubwa inayotukabili ni kukosa kujiamini, utulivu wa akili, na kutambua thamani yetu. Kila kitu kizuri ni lazima kitoke nje. Wakati nipo kwenye shirika moja la...
12 Reactions
36 Replies
3K Views
Kiukweli naona hisia za team yake ya Yanga kuwa mguu ndani nje zimemchanganya sana, haswa ukichukulia Simba ilifanya vizuri ugenini. Kauli alizozitoa jana ukitafakari unaona ni hasira tu, sasa ma...
7 Reactions
53 Replies
3K Views
Mi nilijua inachezwa leo, sasa sijui imeahirishwa, na je itachezwa lini?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hii sasa ndiyo inaweza kuwapeleka makundi vinginevyo Jumapili hadi kufikia saa nne kamili usiku itakuwa ni kilio kikubwa kwa wana Jangwani. Watu watapigwa kama ngoma na Waarabu weusi.
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Wololooooooooo haiya haiya haiya, watetezi wa Kanjanja Senior mnaruhusiwa kuja kuporomosha matusi na kudai nina chuki binafsi. Kweli ulitarajia mtu ambaye huwa unachukia safari zake na lipstick...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…