Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Soka la Italy lilitawala sana barani Ulaya, lakini kuanzia kuporomoka kwa timu ya Ac Milan baada ya msimu wa 2007 kutokana na sababu mbali mbali ikiwepo za uchumi, kisiasa na mipango mibovu ya...
0 Reactions
10 Replies
634 Views
August 10, 2019 Simba alitoka sare ya bila bila ugenini na UD Songo ya Msumbiji na Yanga walitoka sare ya 1-1 na Township Rollers ya Botswana. Kama kawaida yao wachambuzi maandazi waliishambulia...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwasasa mpira umebadilika sana tofauti na enzi za kina Ferguson, Arsene Wenger n.k miaka ya 2000s. Moja ya watu walioleta mapinduzi ya soka ni Pep Guardiolaz, huyu ana wanafunzi wake wengi sana...
18 Reactions
32 Replies
3K Views
Nilishaanza taratibu kukudharau ila kwa ulichokiongea leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors ndiyo nimeamua kukudharau zaidi na rasmi. Waziri wa Michezo Mchengerwa ni nani kakudanganya...
3 Reactions
8 Replies
801 Views
MABINGWA mara 20 wa Ligi Kuu nchini Misri, Zamalek wameilipa Dola za Kimarekani 50,000 (sh. milioni 116) kwa klabu ya Burundi ya Flambeau du Centre kwa kukubali kucheza mechi zote mbili za hatua...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari Wakuu. kweli huwa unaweka huru, japo inaumiza sana. Ndugu zangu Yanga, mtatamba sana kwenye ligi yetu, mtatamba mno. Bila Simba kuongeza "Quality 4" mtaisumbua sana. Linapokuja suala la...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Unajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji. Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Yanga wametoa uzi maalum katika kuadhimisha Nyerere Day. Sasa wameweka beji ya mwalimu Nyerere katikati ya jezi yao (kifuani). Yanga wameingia klabu za Ulaya ambao beji hiyo huwekwa mahala hapo...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Walima zabibu waingia mkataba na kocha Melis Medo, baada ya kuachana na Mausod Djuma, lakini katika pitapita zangu huko, mashabiki wengi hawakubaliani na usajili wake na kulaumu uongozi kwanini...
0 Reactions
19 Replies
892 Views
Hivi hapo Wizarani Kwako hakuna Watendaji waliokuzidi Akili ambazo huna ili wawe Wanakusaidia Kiushauri na usiwe Unakurupuka Kimaongezi? Waziri Mchengerwa nani alikudanganya kuwa Vilabu vya Simba...
1 Reactions
7 Replies
926 Views
Leo ni mara ya pili GENTAMYCINE nakuona kila ukipewa nafasi ya kuhutubia katika hafla za kimichezo huwa unapenda mno kufoka na kutufokea wanamichezo wa Tanzania. Hiyo wizara wamepita watu...
3 Reactions
6 Replies
564 Views
1. Tunaenda kupindua meza kwao. 2. Mungu ni wa wote. 3. Wao wamewezaje na sisi tushindwe? 4. Mpira unadunda kokote pale. 5. Iwe jua iwe mvua. 6. Kikubwa ni kumuomba tu Mwenyezi Mungu. 7...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Yanga SC ni timu kubwa sana wakati timu nyingine hubabaika sana na kutanguliza mashushushu wiki 2 kabla wao wanapeleka baada ya mechi ya kwanza, huo ndiyo ukubwa wa timu inayojiamini. Yaani...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Halafu wenye akili kubwa kukuzidi akina GENTAMYCINE tukikusema kuwa wewe ni mzigo na hasara katika hiyo wizara utaona tunakuchukia au kukuonea wivu. Leo ulipokuwa katika hafla ya kuwopongeza...
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Hivi ni kweli ni engineer? Alisoma nchi gani?Au alisomea Somalia? Huko GSM alifanya kazi gani? Nimepatwa na mashaka iwapo huyu jamaa kama hata form 4 alifaulu. Huu uinjinia isije kuwa alipewa na...
4 Reactions
13 Replies
5K Views
Kila mtu katabiri anavyoweza, nilichoamua kufanya mimi ni kutumia hesabu za darasa la saba tuu kutafuta matokeo ya jumla. Kupitia humu humu Jamii Forums watu 12 walijaribu kutoa nyuzi au maoni...
15 Reactions
57 Replies
5K Views
Na kama ni takwa la kiufundi mwambieni huyo aliyeamua hivi kuwa hii ni hatari na itatugharimu kimatokeo. Ningewaelewa Simba S.C. (hasa kiufundi) kama wangeenda Angola siku tatu kabla ila hii ya...
14 Reactions
70 Replies
6K Views
Ni kama vile Suleiman Matola hapendi kusoma hizi kozi bila kujua anajinyima fursa za maana, ndugu yangu Matola, TFF washatangaza hii nafasi nenda kasome sasa we mzee. Uongozi wa Simba pangeni...
4 Reactions
16 Replies
995 Views
NAMNA YANGA INAONGELEWA HUKO SUDAN🔥🔥🔥 Wafahamu kiufupi YOUNG AFRICANS @yangasc wapinzani wa AI Hilal Round ya kwanza CAFCL Hawa ndio wafalme wa soka la Tanzania, ndiyo Klabu iliyobeba mataji...
12 Reactions
36 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi: Nimepokea taarifa za kushtusha kutoka katika chanzo changu cha kuaminika nchini Misri ikieleza kuwa Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud Ibrahim Ibrahim El Khatib ni mfuatiliaji...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…