Naam, baada ya vibonde Al Hilal kunusurika kupigwa kama ngoma uwanja wa Mkapa silaha yao kubwa iliyokuwa imebaki ni kutaka kuchezea mechi gizani, yaani isonyeshwe kwenye TV. Lakini Azam TV...
Kiukwel mashindano ya CAFCL na CAFCC ni mashindano yenye hadhi yake kwa vilabu.
Ndiyo maana Simba imeonja utamu wake na haipo tayari kuyapoteza kirahisi, wana mbinu za kukaribiana na fitina...
Mechi ya kirafiki imemalizika kwa matokeo hayo.
Timu ya Mbuni FC inatoka Arusha ambapo mchezo huu umetumika kama mchezo wa kujiimarisha na kujiandaa na mchezo wa CAF dhidi ya Al Hilal. Yanga...
Wakuu naomba kama kuna mtu anaweza nikutanisha ni viongozi kati ya hawa Ally Kamwe, Manara, Rais, hata kama si kukutana nao basi mawasliano tu maana mimi sipo Dar.
Nina pendekezo liitwalo "Timu...
Jambo la kwanza tuutoe ule mwenge kwenye nembo ya timu, mwenge maana yake wewe ni wa hapahapa, mwenge haujawahi kufika hata hapo Kenya,unazunguka hapa ndani tu. Tuweke radi pale, ukizubaa...
Kwanza uto sikieni: Simba siyo wenzenu! Simba ni daraja jingine kabisa! N kuikosea adabu Simba kusema ni wenzenu!
Niwasaidie mnapokwama: Huku CAF hakuna cha bahasha! Huku unabebwa na uwezo wako...
Hisia za wengi ni kuwa safari ya Yanga kufuzu makundi imeishia kwa Mchina la hasha!
Naiona Yanga ikishinda Goli 3- 1 au 3-2 ugenini kwa wazee wa kubeti waweke GG, over 2.5 au Away win Hongera...
Mashabiki wavumilivu ndio wanaokula mbivu, Simba inapoyumba yumba wanayumba nayo inapoinuka wanainuka nayo.
Lakini kwa wengine baada ya Simba kuyumba kidogo msimu uliyopita mashabiki wasio...
Habari wakuu,
Kwanza kabisa naomba sote kwa pamoja tumshukuru Mungu kwa kutupa uzima na uhai pamoja na hatua hii ambayo kila timu na shabiki ameifikia, naamini kila timu (Simba na Yanga) imepata...
Baada ya Simba kumfunga De Agosto yameibuka maneno yanayosema De Agosto ni mdhaifu kuliko Al Hilal. Sasa naomba ufanywe mpango utopolo wacheze na De Agosto nyumbani na Simba wakapambane na Al...
Kwani huyu jamaa anajiona yeye nani? Bosi wake Ally Kamwe keshasema Yanga ni timu kubwa ina wachezazji wakubwa ina uwekezaji mkubwa kuliko Al Hilal ambayo ndiyo kwanza inajitafuta kuweka sawa...
Wale Wabrazil watatu wa Singida ni moto sana, nawaomba viongozi wa Simba waongee na Singida ili wale Wabrazil wakipige Msimbazi.
Aisee Simba ikiwapata wale wanaume itakuwa balaa, Makundi na akina...
Wadau naomba kufahamu, hili jina "Al Hilal" kwa nini linapendwa kuitwa timu za nchi mbalimbali za Uarabuni kuanzia Afrika mpaka Mashariki ya Kati? Lina maana gani?
NB: Andiko hili halihusiani na...
Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini.
Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu.
Naongea kiufundi sio kiushabiki
Simba...
Ukianza na AFCON ambayo aliaminiwa sana na Amunike lakini alizingua sana, akawa anaruka ruka tu, nakumbuka mechi moja alitolewa mapema sana na Mkude aliingia kutuliza dimba.
Ukija kwa Rivers UTD...
Wana Simba sasa tambo za mitaani, mitandaoni, maofisi, kanisani, vitandani tunazihamishia kwa Mkapa.
Kiingilio ni sawa na bure kabisa. Tunaenda kupiga "Full House" kutoa onyo kwa timu...
Mara nyingi timu inaposhinda nyumbani, ikienda ugenini hujipanga kutafuta sare ya aina yoyote na kwa maana hiyo, hucheza zaidi mchezo wa kujihami na si kutafuta magoli.
Hali hii huzigharimu timu...
Wanariadha maarufu wa nchini , waliokwenda Kenya kutafuta kufuzu mashindano ya kimataifa wameambulia nafasi ya 8 Kwa Mwanariadha wa kike, Huku Wanaume wa 3 wakiambulia patupu, Huku Mmoja akishika...