Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ohoo walifungwa na Namungo hawa? Kwaiyo nini? unawachukulia Namungo poapoa? kwa mujibu wa shirikisho la soka barani africa, Simba ni ya 14 ikiwa na pointi 28, De Agosto ni ya 28 ikiwa na pointi...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii, tetesi zinasema Refa wa mchezo wa marudiano baina ya Al Hilal na Yanga ameahidiwa kisima cha mafuta endapo atachezesha kwa haki mchezo huo. Sent from my...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Matarajio yote ya Wanajangwani angalau ya kupata usingizi mnono uliokataa jana yamewekwa rehani tena baada ya wanajeshi wa Angola kubanguliwa kama korosho na mnyama kwa goli 3 kwa 1 kule Luanda...
7 Reactions
7 Replies
631 Views
Pamoja na kuwa Ukristo sasa hivi unachukuliwa kama kituko kutokana na aina ya viongozi wanaojingiza kwenye Ukristo, lakini ukiangalia vizuri zaidi ndiyo dini yenye nguvu zaidi za kiroho kuliko...
1 Reactions
16 Replies
850 Views
Ushahidi huu hapa. Sina lengo la kupuuza ushindi wa Simba ila nimeweka tu angalizo, tusije tukafikiri kuingia makundi ndiyo tumemaliza, kumbe njia tuliyopita ni mdebwedo tu.
8 Reactions
44 Replies
2K Views
"Tulikuwa na nafasi nyingi za kufunga, kutoka sare ni majuto makubwa kwangu," Kocha Ibenge. Nilichochukua: Yanga imetutia aibu, "Iwe jua iwe mvua" halafu mnaokolewa na kipa? "Katika uwanja wao...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Matokeo yameshatoka heshima ya yanga kwishney!!
0 Reactions
7 Replies
749 Views
Amani iwe nanyi Moja kwa moja nauendea uongozi wa EFM radio juu ya mtangazaji wao wa kipindi cha Esports anayefahamika kwa jina la Twalib Omar aka Muwa, kwa muda mrefu nimekuwa nikisikiliza...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu hii imekaaje, kwenye vyombo vya habari vya nje hasa televisheni, wachambuzi wa soka ni wachezaji waliocheza kwa mafanikio kipindi cha nyuma. Hapa kwetu ukiacha Mayai na Kiemba ambaye mimi...
2 Reactions
9 Replies
639 Views
Hili naomba niliweke sawa, Mashabiki wa Yanga najua tayari mmeshakata tamaa lakini nataka kusema na ninyi hivi; Young Africans msimu huu ni lazima afike mbali kwenye michuano ya kimataifa, na Al...
1 Reactions
10 Replies
812 Views
Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa ya kufungiwa kwa waamuzi wawili Amina Kyando na Ahmed Arajiga kwa kipindi cha miezi sita ingawa taarifa zao hazijatangazwa kama ilivyo kawaida. Habari za ndani...
0 Reactions
1 Replies
714 Views
Yanga ni klabu kongwe lakini haina chochote mbele ya uso wa soka la kimataifa. Ni kama pilipili hoho tu kubwa lakini haliwashi. Katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikichezea vichapo hata kwenye...
14 Reactions
47 Replies
3K Views
FULL TIME 90' Zinaongezwa dakika 3 za nyongeza 78' Agosto wanapata goli la kwanza GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 76' Agosto wanapata penati baada ya beki wa Simba kuushika mpira Phiri anafunga goli...
28 Reactions
694 Replies
44K Views
Habari zenu ndugu, wadau na wanabodi. Jana (08/10/22) kulipigwa mbungi la klabu bingwa Afrika kati Yanga vs Al Hilal, na matokeo yalikuwa sare ya 1-1. Binafsi mimi ni mfuatiliaji wa mpira tangu...
10 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari mbaya sana maskini ya Mungu, kijana mdogo kabisa! Pimeni wachezaji jamani, wengine walisajili mchezaji mgonjwa wa Ini kwa mbwembwe kisa katoka UK na wanataka kumuacha Januari, dah! =======...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo? Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Afrika WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na...
9 Reactions
74 Replies
5K Views
Utomax taarifa iwafikie, Mnyama kaua uko 3-1. Anakuja kumaliza kazi kwa Mkapa na kuingia makundi CAF, billion 1 kibindoni.
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna watu wana mzaha sana, Simba ilipoenda kuweka kambi Misri, Ashura cheupe akaponda sana, akasema mnapoteza muda, mlienda shopping, wachambuzi wajinga wajinga wakaunga mkono, Leo matunda...
7 Reactions
8 Replies
509 Views
Ndio, ni zee 10% (hapana hili ni 90% kabisa), bado lina wapambe wake wakiwemo makanjanja na hata majuzi lilihojiwa na redio moja ya FM likamkandia sana CEO Barbara Gonzalez. Lengo lao kubwa ni...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Salam wanajamii hasa jukwaa hili la michezo, niende kwenye mada moja kwa moja. Timu zetu pendwa watoto wa kariakoo wako kimataifa wameshacheza mechi tatu kila mmoja na matokeo tunayo yote. Tukiwa...
3 Reactions
9 Replies
787 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…