Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wanacheza mechi kubwa. Kulingana na rekodi zao na wapinzani wao. Je, unadhani nani atachomeka au kuchomoa?
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kila Mtanzani anatamani kuiona Simba S.C. ikiendelea kufanya vizuri kimataifa, kufanya vizuri kwa Simba kimataifa kumeinufaisha pakubwa sana taifa hili. Simba imekuwa mfano mzuri wa kuigwa hapa...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanasema wao hawashiki vispika, sio levo yao, wao hawapiti mitaani kuomba mashabiki kwenda uwanjani, lkn tumeona wakitumia mbinu mpya ya kuujaza uwanja, ambayo ni kuwafuata jangwani, stendi ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Msemo..... "Mtoto akililia wembe mpe umkate vizuri ili akome na siku zingine awe na adabu" Wimbo..... "Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee.... Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee...." Na hasa...
4 Reactions
8 Replies
762 Views
Watu wa Soka, Leo ninafurahi kuwajuza kuwa Mlinzi Imara kutoka Timu ya Taifa #TaifaStars asiye na presha na mechi ndogo wala kubwa, Metacha Mnata, ametuhakikishia kuwa lango letu litakuwa salama...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
By ELIUS KAMBILI NILIKUWA pale Luanda, Angola na Namungo iliyokwenda kucheza na Clube Desportivo 1 de Agosto mwaka jana. Lakini wageni hawakugusa mpira hata wa mazoezi kutokana na vihoja kutawala...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Yanga 🐸 2 - Simba 🐏 1 🐸 dakika ya 19 🐏 dakika ya 52 🐸 dakika ya 81 (Majina ya wafungaji nitaweka siku ya mechi baada line up kutoka)
33 Reactions
179 Replies
20K Views
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezifungia kusajili klabu za Ligi Kuu ya NBC za Tanzania Prisons na Singida Big Stars kwa kosa la kusajili...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Sijataja mtu lakini nataka niwaambie kuwa, ukiachilia mbali uchawi wa vile vizee vyenu, mmekuwa mkibebwa sana na waamuzi na mmetumia sana pesa kuathiri wapinzani wenu nje ya uwanja. Sasa nijuacho...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imeitaka klabu ya Wydad hadi kufikia Oktoba 17, 2022 iwe imeshalipa $721,000 (zaidi ya Sh 1.6 bilioni) inazodaiwa na Mshambuliaji wa Tanzania Simon Msuva...
2 Reactions
9 Replies
919 Views
Huu ni mfumo wa 99.9% kujilinda (Defensive) hasa ukiwa na historia kuwa ikicheza kwao huwa inakuwa na kasi na inafunguka sana tu. Wanasimba S.C. tusijidanganye, hawa waangola ni watamu (wazuri)...
11 Reactions
44 Replies
5K Views
Enyi Makolo, nataka niwaambie mapema kabisaa kwamba kwa hawa wababe wa Angola, 1 August mnaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi cha 6:0 na mkirudi kwa Mkapa ni 0:4! Nafikiri nimeeleweka.
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Gemu ikiisha, yafuatayo yataibuka. Kocha Nabi hana uwezo. Morriso tumepigwa. Aziz Ki hamna kitu. Yannick Bangala ashakuwa mzee. Hamasa nyingi timu haina kitu. Marefa wa kibongo wametulemaza...
30 Reactions
52 Replies
3K Views
Afisa Habari wa Klabu ya Azam FC, Thabit Zakaria maarufu kama ZakaZakazi, amefungiwa kwa kipindi cha miezi mitatu (3) na kutozwa faini ya shilingi laki tano (500,000) kwa kosa la kushutumu Waamuzi...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Mzuka Wanajamvi! Kutokana na hali ya vita huko Ukraine hali inazidi kuwa tete. Na leo kwenye hotuba yake Putin ameendelea kusisitiza hatanii kutumia mabomu ya nyuklia. Na uwezekano wa kizitumia...
11 Reactions
61 Replies
4K Views
MOJA kati ya shida kubwa za maofisa habari wa klabu zetu ni kuongea sana. Ni rahisi sana kumuona ofisa habari wa Simba anakwenda kwenye chombo cha habari kuzungumzia timu kwa saa tatu. Ni jambo...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Sporting Lisbon ya Ureno imetenga USD millioni 10 kumnunua Fei Toto mwezi wa Januari. Hiyo itakuwa ofa ya pili kwa Yanga kuingiza mabilioni baada ya kumuuza Clement Mziza kinako club ya Marseille...
13 Reactions
32 Replies
2K Views
Future ya Ronaldo klabuni Man Utd haieleweki. Pia inaonekana ten Hag hana mpango na Ronaldo. So Ten Hag amekuwa akimuanzisha Rashford kama ST au CF. Wote tunaelewa kuwa Rashford hayupo...
2 Reactions
14 Replies
960 Views
1. Kuroga kwa kukufuru 2. Kutaka kumhonga refa 3. Kutaka kuwapulizia sumu GENTAMYCINE nakumbusha tu kuwa safari ya kwenda kwao ikiwepo ombeni hata makomandoo 25 wa JWTZ wawasindikize na...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania umeingia mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Sh 50 Milioni na Kanisa la Kingdom Embassy (HPCC) la jijini Dar es Salaam ambao ni maalumu kwa ajili ya...
9 Reactions
73 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…