Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Watakaoingia semi finals ni man City, Barcelona, PSG, na Real Madrid. Bingwa wangu atakuwa PSG YA KYLIAN MBAPPE. Nawasilisha
2 Reactions
12 Replies
796 Views
Nini maoni yako wewe?
4 Reactions
16 Replies
869 Views
Kichwa cha habari kinajitosheleza, naomba mwenye kuijua APP nzuri anisaidie. Wikendi njema.
0 Reactions
20 Replies
26K Views
Naomba nikuletee list ya wachezaji bora kuwahi kutokea katika bara la Afrika. Nimepitia kumbukumbu kwa wale wa zamani sana na wengi kuanzia mwaka 1996 nimewaona wakicheza. Vigezo vilivyotumika...
9 Reactions
132 Replies
9K Views
Salaam!! Nimekuwa nikijiuliza, ni kitu gani kimewapata hawa watu mpaka leo mwezi mzima unakaribia kwisha bila kuambiwa chochote kuhusu hatma ya mashtaka waliyokutwa nayo, Afisa habari wa Yanga...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Huyu mtoto anajeuri sana, mimi nimeshindwa kuvumilia. Namuomba mwakinyo kubali kupigana na twaha Ili ujiweke fiti zaidi pambano lako na twaha litakupa nguvu zaidi Kwa mapambano yajayo njoo...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Hawa ndio wachezaji bora wa mpira wa miguu kuwahi kutokea hapa Tanzania 🇹🇿 mpaka sasa: 1. Mbwana Samatta 2. Simon Msuva 3. Edbily Lunyamila 4. Sunday Manara 'Computer' 5. Juma Pondamali 6. Said...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Kitu kilichonvutia toka Kwa arteta ni Ile kutaka kurudisha Aresnal Kam ya kipind cha mzee wenu Wenger arsenal ya kina Samri nasri,Cecs Fabregas, Robin van persie. Theo Walcott,Niclas bendtener ...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Binafsi nina Timu yangu ya Mtaa inataka kushiriki Ndondo ila sina Winga Teleza Mmoja tu hivyo nawaonba Yanga SC mnikodishe Tuisila Kisinda aichezee Timu yangu na kila Mechi nitamlipa Shilingi Elfu...
0 Reactions
0 Replies
561 Views
03 September 2022 Kigali, Rwanda SINGIDA BIG STARS ARRIVES IN KIGALI TO TAKE ON RAYON SPORTS Klabu ya Singida Big Stars imewasili mjini Kigali Rwanda kwa mchezo wa kirafiki kufuatia mwaliko...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimeona marumbano mengi kuhusu usajili wa Tuisila Kisinda watu wakiituhumu yanga lakini watu wanajifanya siasa za mpira wa bongo kwamba zimeanza leo. Karia hajawai kuwa na jema juu ya yanga na...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Yanga sc imemtambulisha kiungo wake wa zamani, Tuisila Kisinda kuwa amerudi kikosini kabla ya dirisha la usajili kufungwa 31/08/2022. Mashabiki wengi wa Yanga wamefurahishwa na ujio wa Tuisila...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) umekuwa na tabia za Kipuuzi na Kishamba mno hasa za kupenda Kujitokeza kutolea Ufafanuzi wa Hukumu na Sheria za TFF na Kamati za Maadili hasa...
2 Reactions
5 Replies
962 Views
Nauliza ile mechi ya Ukonga Kings na JKT nani alishinda. Nilianga quarters 2 tu ya 1 ikawa 22 kwa 22 na ya pili ikawa 48 kwa 48!
0 Reactions
13 Replies
651 Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefuta usajili wa winga wa Klabu ya Young Africans, Tuisila Kisinda kwenye orodha ya wachezaji 12 wa kigeni watakaocheza msimu huu. Kwa mujibu wa TFF, usajili...
1 Reactions
1 Replies
764 Views
Kuna msuguano wa kufurahisha kidogo wa Tff na Yanga. Imefika mahali sasa ni kama anatafutwa nani zaidi katika taasisi hizi mbili. Kwangu wa kulaumiwa kwa kutufikisha hapa ni Tff. Mtoto umleavyo...
2 Reactions
7 Replies
723 Views
Mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya awali klabu bingwa Africa kati ya Zalan F.C ya Sudani kusini dhidi ya Yanga S.C utachezwa katika uwanja wa Chamazi complex unaomilikiwa na klabu ya Azam F.C...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Maandiko matakatifu yanasema "Mpumbavu huamini kila neno bali mwenye hekima huchunguza sana". Haya Mwakinyo nijibu haya maswali; 1. Ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza? 2. Promoter wako...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Simba inazidi kuporomoka kwa kasi kubwa sana. Licha ya vipigo ilivyopokea majuzi lakini hilo sio kubwa sana. Mlinzi Mkenya Joash Onyango ameandika barua Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF)...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Simba ni timu tunayojiamini hata mashabiki wake wanajielewa. Kwa upande wa Yanga hamjiamini mnaiba iba wachezaji wetu . Mnawaita kisiri kama wachawi halafu mnawawekea madawa yenu ya kichawi...
4 Reactions
55 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…