Hongera Sana Bukayo Ayoyinka T. M. Saka Kwa kuongeza Mwaka.
Lkn nakushauri uhane timu yako Ina gundu. Unapoteza Muda hapo anfield. Njoo old Trafford.
Najua hujui kiswahili ila IPO mishabiki yako...
[emoji599] HATUJA STAHILI MATOKEO HAYA.
Je: ile kauli ya CEO wa KOLO kuwa makolo wame possess 36% ya taifa stars ime reflect yaliyomo?
Facts za kiuchambuzi
Ukweli lazima usemwe, baadhi ya...
Imeelezwa kwamba bondia Mwakinyo baada ya kupoteza Jijini Liverpool , ameomba Re match na amekubaliwa na Promoter na inadaiwa kwamba game ya marudio itapigwa January 23 / 2023.
Wakuu Habari zenu?
Walikuwa wanasema sio vizuri kuwakatisha tamaa wachezaji kabla mashindano hayajaisha mnawaraumu.
Sasa tumetolewa nadhani ni ndio muda muhafaka wa kukosoa na kushauri.
Kwa...
Nilikuwa naangalia live mchezo wa kirafiki baina ya Singida vs Rayon Sport pale Rwanda, kuna fundi mmoja anaitwa Miguel Escobar ambaye Singida wamemsajili dakika za mwisho, jamaa habahatishi...
Leo tumetolewa na Uganda mashindanoni,kabla yahapo tulitolewa na Zaire katika mashindano ya World cup mchujo, miaka ishirini ilopita tulitolewa na Burundi kufuzu Afcon kabla ya hapo tuliwahi...
Muda mfupi uliopita nimetoka kuangalia pambano la ngumi kati ya Bondia Mwakinyo na Smith,pambano ambalo limeniudhi na hata kunitoa machozi!
Kama kawaida Mwakinyo ameonyesha tabia halisi ya...
Niliona Tangu round ya Kwanza, Mwakinyo aliteleza, nikajiuliza inawekanaje avae viatu vinavyoteleza Tena Kwa big match kama hii? Same thing happened kwa round ya pili na ya tatu. Kumbe walijenga...
Mathias Pogba kaka wa Mchezaji Paul Pogba amefichua madai mengine ya kushtua dhidi ya mdogo wake ambaye ni kiungo wa kati wa Juventus, huku mgogoro kati ya ndugu hao ukiendelea.
Lakini katika...
Manchester United imepata ushindi wa nne mfululizo katika Premier League baada ya kuichapa Arsenal magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Old Trafford, leo Septemba 4, 2022.
United ambayo ilianza kwa kasi...
Safari ya timu ya taifa ya Tanzania kufuzu kucheza Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN 2023) imefikia tamati baada ya kupata kipigo cha magoli 3-0 dhidi ya Uganda, leo Jumamosi...
Kuna Kama mwezi na kitu zilizopita Kuna watu walisema wanataka taifa stars isiwe na maendeleo wanadai mpaka Rais wa tff ajiudhuru sababu walisema wanaonewa Sana na anajifanya kiburi Sana
Mabibi na mabwana, usiku wa leo kwa masaa ya Afrika Mashariki, Bondia mtanzania, Hassan Mwakinyo atakuwa anapambana na bondia Liam Smith katika dimba la M&S Bank Arena huko jijini Liverpool.
Liam...
Kijana ule mpambano wa Jana anaonekana kabisa alikuwa hana sababu za kupigwa naona ni kama kauza lile pambano maana hata sababu zake hazina msingi wowote.
Anasema Begi la viatu vyake lilipotea...
Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala
Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless...
WAKUU.
Mimi ni shabiki mi ndaki ndaki wa Simba sports club, na pia ni MTAALAM wa taaluma ya coaching.
Nimewafuata viongozi wa Simba inbox na ana kwa ana kuwashauri mambo ya msingi ya kuyafanya...
Kwangu mimi HASSAN alipigwa fairly kabisa, hakuuza mechi na wala hakukuwa na makando kando yoyote. Shida kubwa ni Watizedi hatuna maturity kwenye michezo with descipline.
1. HASSAN alikuwa...
Mshindi anachukua milion 213 ulipigiwa milion mia 110 kabla yakod watu wakapanda dau wakampa milion 269 apoteze ungeacha hela hizo ??? Tusimlaumu kuna maisha baada ya pambano ndio maana alikua...
Hii ilianza kujionesha pale bingwa wetu alipozalilishwa na Vipers, hata kitendo Cha Jana Cha kufungwa na Uganda kilidhihirisha Hilo.
Ligi ingekuwa na ubora bingwa wetu asingezalilishwa hivyo...