Kila ukihojiwa na Media Outlets mbalimbali kuhusu Ujio wa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki unaruka Kimanga na Kukanusha Ujio wake, ila katika Social Media Platforms zako kila mara unafanya Teasing...
Nahodha wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amemshauri kocha wa timu hiyo, Erik ten Hag kutompanga Cristiano Ronaldo katika mchezo dhidi ya Liverpool.
Tim hizo zinatarajiwa kukutana...
Wakuu.
Mimi kama mwanachama na shabiki wa Simba.
Leo hatimaye nimepata taarifa Rasmi kuwa Mshambuliaji kutoka Vipes ya Uganda Cesar Lobi Manzoki RASMI HAJASAJILIWA SIMBA NA HATA JIUNGA NA...
Ligi ya Ukraine imerudi rasmi leo kwa mara ya kwanza tangu Urusi ilipoivamia Ukraine mwezi Februari mwaka huu.
Kutokana na sababu za kiusalama, mashabiki hawakuruhusiwa kuhudhuria mechi ya kwanza...
Nikiikumbuka ile simba ya akina Miqussone,Morisson,Chama,Kagere..nikilinganisha na hii simba mpya ya akina okwa,phiri na mzungu....naona bado watani pengine hawajamaliza usajiri,sijui kwa kikosi...
UINGEREZA: KOCHA WA CHELSEA ASHTAKIWA KWA UTOVU WA NIDHAMU
Chama cha Soka Nchini humo (FA) kimemshtaki Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel kwa utovu wa nidhamu kwa maoni yake kuhusu mwamuzi Anthony...
Nimewaza baadhi ya matukio kati ya simba na Yanga katika kuwafurahisha washabiki wake .
Nani kati Simba na yanga
nga ni timu ya matukio .. anayefanya matukio ya kumkomoa mwenzake zaidi ili...
Kwanza nitoe Pongezi nyingi kwa Uongozi wa Simba SC kwa kuamua kutafuta Mechi Tatu Kubwa za Kirafiki za Kimataifa hasa katika Kipindi hiki cha Mapumziko cha Wiki Mbili.
Tarehe 28 August 2022...
Nimeangalia gemu ya juzi ya Simba vs kagera sugar nimemuona mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba anayewakilisha wanachama Bw.Mwina Seif Kaduguda akiwa amevalia jezi ya Simba ikiwa na nembo ya...
Habari wana jf sports
Acha tuseme ukweli penye ukweli
Bado kuna kitu hakipo sawa, kwenye timu ya simba hata timu kuanzisha mashambulizi kwenda mbele ni tabu wanacheza sana back pass muda...
Sasa na wewe usiwe kilaza hapa Jf ni the home of the Great Thinkers. Nimesema Karim Mandonga ndio " Mike Tyson" wa ngumi za Tz kwa sasa , sijasema ni Mike Tyson. Mike Tyson is not the same as "...
Kuna siku nilipost hapa kabla ya mechi ya Simba na Yanga ni kasema Yanga hii sio watu wa maneno mengi kama Simba tupo kama Vladimir Putin tuna kupiga kwa vitendo sio kwa maneno
Simba wana maneno...
Mabondia Karim Mandonga na Shaban Kaoneka wamerudi tena kwenye headlines kufuatia kauli ya Shaban Kaoneka aliyoitoa jana akizungumza na Wasafi.
"Mandonga amepata bahati kuliko mimi, waandishi wa...