Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari za wakati huu wadau wa soka na mashabiki wa kandanda nchini Tanzania, Mapambano yaendelee maana sio kwa msoto huu huku kitaani mambo ni magumu twende kwenye mada:– Ukiangalia mambo...
13 Reactions
53 Replies
4K Views
Usajili wa wachezaji wageni: Kutumia social media kusema kuwa kila mchezaji mpya unaemsajili ni Bora kuliko aliyeko kwenye position Sasa sio lugha sahihi kutumiwa na kiongozi mkubwa ndani ya...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Napenda niwapongeze benchi la ufundi na wachezaji wa yanga kwa kuondoka ugenini na point 6 muhimu, akuna asiyejua namna ratiba yanga ilivyopangwa msimu huu, kamaliza mechi ngumu ya dabi jumamosi...
21 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakurungwa salamaaa, naomba kujua ukubwa wa Uwanja wa Azam Complex (sehemu ya kucheze - Pitch) ni sawa na Uwanja wa Mkapa?
0 Reactions
17 Replies
37K Views
Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Leeds United imeendelea kuwa na mwanzo mzuri wa msimu baada ya kufanikiwa kupata ushindi magoli 3-0 dhidi ya #Chelsea kwenye Uwanja wa Elland Road, leo Agosti 21, 2022. Wafungaji wa #LeedsUnited...
1 Reactions
5 Replies
990 Views
Shirikisho la Mpira Tanzania linatakiwa kuchukua hatua kali zaidi kwa @hajismanara kwasababu ameendelea kukiuka adhabu aliyopewa ya kufungiwa miaka miwili. Hii ni dhihaka kubwa kwa chombo chetu...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakati Jose Mournho anaenda EPL ilikuwa inajulikana sifa yake ya kuongea ovyo ..wakati Fulani walimpa jina la "the mouth"...Mourinho alikuwa anafanya "mind games". Akiwashambulia marefa kabla ya...
5 Reactions
16 Replies
885 Views
Lengo ili kumpa muda mrefu wa kucheza na sis watazamaj pamoja na bench la ufund liweze kuona mapungufu take au mazur yake. Lakin akicheza dakka chache huwa tunashndwa kujua stregh na weakness...
1 Reactions
7 Replies
628 Views
Ramadhan Kabwili amefunguka kuwa klabu yake ya Yanga iliamua kumpa likizo ya muda mrefu huku akiendelea kulipwa na Yanga kama kawaida Anasema alipewa likizo ili akili yake itulie na atafute...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Sina sababu ya kuelezea sana! Mwamba anajieleza mwenyewe! Nasema mwisho leo kumlinganisha na hiyo michembe {mabumunda} yenu.
12 Reactions
28 Replies
3K Views
Naaam..Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Agosti 20, 2022 ambapo Wataalamu wa kusakata Kabumbu la viwango vya CAF Simba SC, Wekundu wa Msimbazi wanatunishana misuli na...
22 Reactions
384 Replies
24K Views
Hamna kitu na chukia kama kuitwa kolo tena wakati ambao yanga wametuzidi kila kitu na mbaya zaidi awe kafunga Mayele. Nikiona yanga wanavyotetema inaniumiza sana. Muache kutuita kolo Viongozi...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
Kuna kila aina ya ushahidi kuwa Kocha mkuu wa Simba hahusiki na Usajili wa wachezaji hawa ndio maana hawataki baadhi yao, ni nani kapendekeza Usajili huu? Hapa ni kocha mkuu aondoke au kocha...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hali si shwari kwa ndugu zetu Al ahly kwenye ligi ya Misri kwani badi sasa wanashika nafasi 3 huku ligi ikielekea ukingoni. Kwa hali ilivyo kunauwezekano wakaikosa CAF CHAMPIONS LEAGUE. Msimamo wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana lunyasi wenzangu ni kweli wachezaji tajwa hapo juu hawapo kwenye squad ya kumkabili Kagera Leo sababu majeruhi?? Taarifa hizi zinasambaa kwenye hizi zinazoitwa online tv ( rock star tv)...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga. Kacheza timu kubwa Ulaya na anafunga magoli mazuri sana, lakini mashabiki wa nchi hii...
18 Reactions
39 Replies
3K Views
Taharuki iliyotokea jana Miss Gonzalez nafikiri umeiona hata wewe na Magori ilibidi muingilie kati kutoa maneno ya faraja huko twitter na instagram na bado leo pia na wewe umerusha vijembe vya...
12 Reactions
75 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…