Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naona kana kwamba unapitia wakati ulio mgumu. Hongereni yanga kwa ushindi wa kishindo. Henu fikiria Simba chali Man u chali Mkeka umechanwa na hizo timu huku wewe ukiwa ni shabiki kindakindaki
0 Reactions
5 Replies
512 Views
Habar Wana jamvi, Niende kwenye mada moja kwa moja wiki iliyopita jezi za Simba zilizinduliwa ila baadhi ya watu tulikosa Na walisema baada ya siku mbili Sasa jamani nauliza VP zimekuja Tena kwa...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Jesus Moloko ana sifa kuu mbili. 1. Ni winga mwenye mbio. 2. Ana kismati sana. Kasi ya Yanga kipindi cha pili Moloko amechangia kwa kiasi kikubwa sana.
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Timu zimesajilli wachezaji wapya wa kigeni ni Bora preseason Yao ikawa kwenye hali ya hewa na viwanja ambavyo mashindano yatafanyika. Aziz Ki kumpekeka preseason Egypt wakati mechi yake ya kwanza...
5 Reactions
68 Replies
3K Views
Jose Mourinho yuko mbioni kujiunga na klabu ya Manchester United pale msimu wa majira ya joto utakapowadia, baada ya kukaa nje ya soka kwa muda kutokana na kutimuliwa kunako klabu ya Chelsea...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Bila shaka msimu huu anachukua utopolo tena, Mpira ni science sio sifa sifa na kuleta makocha wabovu. Yanga wako compact sana na wameongeza watu wachache, hivi game Kama hii unamuanzisha Mwenda...
0 Reactions
1 Replies
477 Views
Mzuka wanajamvi! Hadi Sasa hivi navyoandika huu uzi Mani ishachapwa 4-0 na vibonde Brentford na ni dakika ya 87, Tatizo Nini? Inasikitisha Sana na wachezaji wao wanalipwa mishahara mikubwa Sana...
3 Reactions
9 Replies
644 Views
Yani unakuta wanasimba wasiojua mpira wanaponda kiwango cha Mzungu Kuna cha kujiuliza hapa kabla ya kumshambulia kuwa hajui 01/ Mchezaji anaingia wakati team iko katika Hali ya kuelemewa kimchezo...
0 Reactions
1 Replies
375 Views
sijajua ni uzembe wa meneja wa team, team haina watu wa security au makocha wazungu ndiyo pendeleo lao ama nini lakini hili la mashabiki kuangalia mazoezi ya simba linafikirisha sana. Ni ujeuri...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Huyu mchezaji ni wa kawaida mno .sijui kwann yupo simba ?? Nani kamsajili yule jamaaa hata mimi sina mazoezi lakini haniwezi.chakusikitisha phiri hata bench hayupo .kingine cha hovyo ni kumtoa...
3 Reactions
5 Replies
811 Views
Daahh huku Manchester United na Simba pia ndo hivo[emoji25][emoji25]
0 Reactions
3 Replies
471 Views
Ndugu zangu Wana Simba nahisi performance ya Timu yetu tumeiona na hapa nawahakikishieni kama itaendelea hivi tusitegemee ubingwa wa ligi kuu. Ukiangalia usajili uliofanyika naona hakuna...
3 Reactions
11 Replies
758 Views
Ni kikao gani cha timu ya Simba kilichoidhinisha mtu asiyejua lolote kwenye soka aitwaye Makonda kuwa Mshauri Mkuu? Nakala : OKWI BOBAN SUNZU
11 Reactions
118 Replies
10K Views
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Manchester United, ndivyo ilivyo kwa kocha mpya wa timu hiyo, Erik ten Hag, ni baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-0 dhidi ya Brentford, leo Agosti 13, 2022. Huo...
2 Reactions
1 Replies
735 Views
Wakuu ni kwa mara ya kwanza nataka kwenda kuangalia mechi ya Simba na Yanga taifa na, sijawahi kabisa kuangalia mechi hapo, so ningeomba kupata experience juu ya 1. Natoka mkoani, jinsi ya...
3 Reactions
57 Replies
4K Views
Watu wa Soka, Salamu kutoka Singida Big Stars. Ratiba ya Ligi Kuu imeshatoka na mechi yetu ya kwanza tumepangiwa kucheza uwanja wa nyumbani na Wajelajela Tanzania Prisons siku ya Jumanne Agosti...
2 Reactions
4 Replies
766 Views
Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama. Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wakuu Ni wazi eneo la kiungo la simba lina shida kubwa hasa namba6 ambayo kwa msimu huu anacheza zaidi Mkude kutokana na TL kupata majeraha,japo amerejea ila hana match fitness ya...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Moja ya Sheria ni idadi ya squad. Na idadi ya sub ambayo pia iliishaanza kutumika. Kikubwa Sana ni faulo ya kushika Mpira. Hand to ball Ball to hand. Ule Mpira bana wameweka mavitu. Referees...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwanza tambueni mm ni mkongwe sana wa gemu za Simba vs yanga, nimeanza kwenda uwanjan miaka ile ya Derby ya Sigara na Pilsner, Simba na Nyota Nyekundu ya Roster Ndunguru, Simba ile ya akina Itutu...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…