UONGOZI wa Yanga umetoa kauli juu ya kutoalikwa katika Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), bado hawajajua sababu za kutopewa mualiko.
Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Yanga wakili Simon...
Aisee nilikuwa Yanga makao makuu pale ,huwa naenda kusikiliza stori za klabu yangu pendwa Yanga, pale nakutanaga na wazee kina mzee was Moro, mzee mpili, n.k
Sasa kuna daftari lipo pale UKIFIKA...
Habari wakuu,
Kuipata First eleven ya Simba ni pasua Kichwa. Kichwa kinauma, uanze na nani, nani umuweke wapi nk.
Kwa Ufundi kabisa, ningepata nafasi ya kuchagua kikosi ama kulishauri benchi...
Badaa ya sakata la super leauge kushindwa kufuluka barani ulaya mashibiki na mashirikisho ya soka ya vilabu barani ulaya vilivyokuwa vinataka kushiriki hii michuano Kukutana nazahama la kutishiwa...
Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka...
Nimeona Simba wakiendelea na mazoezi yao pale bunju huku wakiruhusu mashabiki kujazana uwanjani, kule Avic Town kigamboni Yanga wamezuia habari hiyo ya mashabiki kuingia uwanjani.Mechi za Simba na...
Salaam kwenu,
Kama swali linavyouliza. Inawezekana rais wa TFF kumiliki timu yaligi kuu akiwa madarakani?
Kama inawezekana sitakuwa nabswali lingine, kama haiwezekani nina swali lifuatalo...
Akizungumza Jana kwenye mkutano wa CAF Jijini Arusha, aliyekuwa CEO wa Klabu ya Yanga African Senzo Mbatha, amesema kuwa katika maisha yake ya soka nchini Tanzania, amejifunza kufanya kazi katika...
Klabu ya Paris Saint-Germain imeanza mazungumzo na Manchester United kwa nia ya kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo, Marcus Rashford.
Licha ya taarifa hizo inadaiwa kuwa Rashford mwenyewe ana...
Kiukweli, sioni namna yoyote Yanga anaweza kuzuia kipigo kutoka kwa Simba, najua ss hv wiki nzima hii majina ya chama, okrah, sakho, banda, Okwa, Phiri, Dejan na wengine kadhaa yashaandikwa kwa...
Mzigo umekuja na Meli na siyo kwa Bung'o ( Ndege ) kama ambavyo Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally anavyotudanganya.
Ukweli ni kwamba Kit Supplier wetu Fred Ngajilo 'Vunja Bei' alikuwa na Ukaribu wa...
Tathimini yangu kutokana na ukongwe wa uchambuzi kutoka hapa ...mbeya (green city)
Tathimini kwa simba ( wakimataifa)
Tamasha la Simba day limekua Bora kuliko matamasha yote yaliyowahi kufanyika...
Chama ni mchezaji mzuri sana wala nisiwe mnafiq.... Ni bonge la mchezaji yaani huyu bwana kama unataka kujifunza kucheza mpira si vizuri kumwangalia. Anaweza kukudanganya ukaona mpira ni mchezo...
Wanachokitafuta Yanga SC ( tena kwa Makusudi ) kwa Kushauriwa na Washauri Majuha ni kutaka Kujiunganisha Wao kama Klabu katika Kesi ya Mhamasishaji wao Haji Manara ili wakianza Kuikabili Kisheria...
Bonus
Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho
Simba 3-0 Merrick
Merick 0- 0 Simba
Dokezo
Hiyo Somalia ni under 20
My Take
Kukosoa huwezi labda uropoke
"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF".
"Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe...
Ni ligi ambayo ulaya waliikataa na ikashindikana kule,sasa hawa wakubwa wa Fifa wameileta huku Afrika kwakua bara hili kwa kiasi kikubwa linakabiliwa na uchumi mbovu na njaa,haraka haraka...