Unapo deal na simba na yanga kuwa makini uwe Afsa wa serikali au uwe sijui rais wa TFF mwisho wako hautakuwa mzuri.
Angalia historia ya yanga ilipotoka fatilia vizuri upatikanaji wa uhuru wa...
Haya Haya Yanga yetu !
Tulishawahi kusema huko nyuma, Yanga haijawahi kupata Majaribu, ijapokuwa Yanga imechukua makombe kama yote msimu ulippita, lakini ukweli ni kwamba Ubora wa Yanga...
Tangu conte atue spurs kaenda kubadilisha sana Ile timu mim nlibatika kuangalia michezo mingi sana ya spurs msimu uliomaliza hasa game za mzunguko wa pili livepoor anakumbuka alichofanyiwa pale...
Nimefurahi pia Kusikia kuwa mmeachana rasmi na Yule Mganga wetu wa Kisiwani Zanzibar ambaye Kiukweli alitusaidia mno ndani ya ile Miaka Minne mfululizo ya kuwa Mabingwa, ila mwaka jana ( Msimu )...
Kwa sasa ni wazi Upepo unavuma vibaya upande wa Yanga hasa nje ya uwanja. Km TFF itamuadhibu Injinia Hersi bila shaka Yanga nao watatafuta namna ya ku-retaliate.Kamwe hawatakaa kimya. Ndio tabia...
Haya wale Team Manzoki Wenzangu baneni sasa 'P' zenu Ili huyo Mchezaji atakayetangazwa na Simba SC dakika Moja tu kutoka sasa ( yaani Saa 9 Alasiri ) hii awe ni Manzoki.
Kila la Kheri.
Please please naomba iwe ni Manzoki kwa kweli naomba iwe hivyo ,huyo mzungu hata kama ni mkali itamchukua muda sana kuendana na ujinga wetu wa ki afrika
please naomba iwe...
Kuna msimu yanga kila mechi walikuwa na jezi yake yaani mpaka msimu unaisha haijulikani jezi rasmi ni ipi,na sio mbali ni kama miaka mitatu au minne tu hivi,simba tukawafundisha ustaarabu.
Ghafla...
Nianze kwa ku declare interest, sijawahi kuwa shabiki wa soka la wanawake hata kidogo.
Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nikiona wanawake wanacheza mpira nilikuwa nawaonea huruma kwa sababu...
NALIONA KOSA LINGINE KWENYE SAJILI ZINAZOENDELEA NDANI YA SIMBA.
Nimesikitishwa Sana na Usajili wa Simba uliofanyika siku ya Leo.
Watu wote tukiamini kwamba hii ndio sehemu uliyoigharimu Simba...
Kama kawaida epl imeanza ,..!
Mshambuliaji kutoka Norway ambaye anakipiga katika club ya Manchester city ameanza kwa kutupia magoli mawili dhidi ya team ngumu ueingereza westham,huku akiwaziba...
Nimeangalia jezi zao zote naona ni za akina Mobeto na Paula. Ntashangaa kukutana na dume zima limevaa.Aibuu tu![emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji15]
Inavyoonesha Kuna mtu amemkamia sana manara ,angalia barua ya tff muda iliyoanza kusambaa,inaonekana imeandikwa Saa Moja asubuhi au Jana ileile usiku, swali ni saangapi wamekaa na kupitia tukio...
Aibu ya Jana inadhihirisha kuwa lig yetu imeshuka kiwanga na pia inatawaliwa na rushwa,kitendo Cha waamuz wetu kupewa hongo ili waipe Yanga ushindi ndio kimefanya watanzania tuzalilike hapo Jana...