Mchezo wa soka ni miongoni mwa michezo inayokusanya watu wa itikadi tofauti kabisa , mnaweza kuwa na makandokando yenu ya kisiasa lakini mkaja kukutana kwenye soka , kwa kifupi soka ni ya...
Hakukua na umuhimu wowote ule kumfanya Mzee Kina ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM kuwa Mgeni rasmi kwenye kusanyiko lenye Watu wenye itikadi tofauti za Vyama.
Wamevuna walichostahili. Saafi...
Habari za wakati huu wadau,
Mapambanao yanaendelea japo nyama ngumu kila siku afadhali ya jana.
Ikiwa imepita siku moja toka club ya simba kuweka hadharani dau waliloweka M–bet kwenye mkataba...
Kwanza nitamke wazi kuwa mimi ni shabiki wa Yanga kabla ya kuandika ninachotaka kukiandika hapa.
Tukirudi kwenye mada, TFF kama shirikisho la soka hapa nchini, ni wazi limeundwa kwa mujibu wa...
Kwanza nawapa pole watani kwa chupli chupli nyingi klabuni kwenu.
Kwakuwa changamoto ni fursa, naomba ule mzigo wa jezi zenu muulete kwangu niwasaidie kubandua nembo za mdhamini wenu wa awali ili...
Klabu ya Yanga imetangaza kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, ni mgeni rasmi kwenye tamasha la wiki ya Wananchi 2022/2023 linalofanyika leo Agosti...
The greatest master of ceremony wa kujitegemea aliyelipwa milion 15 kusheheresha shughuli kubwa kabisa iliyojaza uwanja pomoni yaani mwananchi day iliyojaza watu 60,000 bila mapengo kuonekana...
Nilisema kuwa zile za Ulaya bado hazijafika.
Kuna uwezekano zikatumika hizi. Hizi zitatumika hadi kwenye Ligi pia.
Kila la kheri watani zangu.
Maana uzi wenu ni takataka tupu.
Note...
Kwa elimu yangu ndogo niliyoipata nchini Cuba, kabla ya siku ya mwananchi tarehe 06/08/2022 Haji Sunday Manara atakuwa yuko huru kutoka katika kifungo cha TFF.
Hiyo miaka miwili aliyopigwa ni...
Kinye FC na wasemaji wake wanapenda kumsifia ujinga boss wao.Kutokutumia mitandao ya kijamii ni ujima sio kitu cha sifa.
Mtu mwenyewe hana shule hata cha kuandika huko atakipata wapi?
Utajiri wa...
Manzozi naye kajibu nakuja Simba nitakuwa mfungaji bora NBC .
Wakuu wanasimba naona akija ni vizuri ila asipokuja pia poa haya mashindano ya nini,Simba na Manzoki wamepeleka malalamiko...
Nasikia ili Kutotuudhi wana Simba SC ( hasa Team Manzoki ) wanaoongozwa nami mmeamua Kuwasajili Mzungu Mserbia na Manzoki ila Kanoute anaachwa.
Mkifanya hivi Mimi nanyi yataisha
Wachambuzi wanahoji kuhusu jezi mpya za Simba kuchelewa kutoka mpaka Simba day ikikaribia na jezi bado hazijatoka.
Wakati Yanga wanaanza msimu na kucheza mechi ya ligi msimu mpya na jezi ya zamani...
Daah kama kichwa kilivyo hapo juu kuna mdau mmoja wa kolo fc anajitetea eti sababu ya kuchelewa kwa uzi wao ni sababu ya vita vya Ukraine vs Russian.
Et jamani ni kweli nyie makolo?
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameipongeza Yanga kumualika Kocha mkubwa Afrika Pitso Mosimane na kwamba amesikia Simba nao wamemualika Rais wa CAF kwenye siku yao ya...
DUA KWA VIJANA WETU
Leo Jumamosi Agosti 6, 2022 Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza, wakati mabondia...
Vita ya kutumia akili, kasi, uvumilivu na nguvu sasa imeshika kasi ambapo mabondia 19 wa Afrika wameingia hatua ya nusu fainali ya mashindano ya ndondi ya Michezo ya Jumuiya ya Madola, Jumamosi...