Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kutokana na GENTAMYCINE kutokuwa na Imani kabisa na Watu kama CEO Barbara Gonzalez, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu, Mratibu Abbas, Kocha Msaidizi Matola, Meneja Rweymamu, Mjumbe wa Bodi...
0 Reactions
4 Replies
800 Views
Pamoja na usomi wa Rais wa utopolo, nimegundua anafanya vitu kwa nguvu ya pesa na uswahili mwingi ambao sio muda mrefu utawagawa sana wachezaji. Zipo dalili za wazi kuwa kuwa watu hao wataondoka...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimekumbuka kisa cha Senzo kuondoka Simba nikauona unafiki mkubwa sana wa huyu jamaa. Kama aliondoka kwa sababu tu Morrison mtukutu amesajiliwa, Leo atatuambia nini kuhusu mchezaji huyo? Kama si...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Bondia Shabani Kaoneka ambaye amepiga kwa TKO Karim Mandonga amesema yupo tayari kwa pambano la marudio Amesema kama atarudia pambano hatofanya mazoezi kwa kuwa anaujua udhaifu wa Mandonga...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wewe muimbaji mimi sikujui and am sure as hell a millions of Tanzanians do not know you but we are listening to you because you are talking about Mandonga.
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Klabu ya Yanga imecheza mechi ya kujipima nguvu ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya dhidi ya timu ngumu ya Transit Camp na kuibuka na ushindi wa mabao 5 kwa 1. Magoli ya Yanga yamefungwa na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mtanzania Simbu anaendelea kukimbiza huko Birmingham Marathon 2022, tunamtakia Kila la heri. SIO mbayaaaaa amekua wa pili
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Pambano la ngumi (VITASA) kati ya Seleman kidunda (JWTZ) na Katompa kutoka DRC ni Leo! Ikumbukwe katompa miezi michache nyuma ndiye aliyemchapa Abdalla Pasi (dullaboy) Kwa kutambua uzito wa...
6 Reactions
65 Replies
7K Views
Je, nani mhusika wa hizi Jezi feki mitaani? Je, ni watengenezaji huamua kurudufu kwa mlango wa nyuma ili Club zisipate? TBS, Simba, Yanga, Vunjabei, GSM, TISS, TPA, TRA, FCC, TAA Hakuna...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeona Tangu zawadi zilipoanza kutolewa Kwa washindi, baada ya Medali iwe ya Shaba, Fedha au Dhahabu mshindi anapewa pia Mdoli Wenye Sura kama Kanyani kadogo. Naomba wajuzi mnisaidie kujua...
0 Reactions
2 Replies
975 Views
Popote pale ulipo Uliyekuwa Kocha Mkuu wao Luc Eymail ( Raia wa Ubelgiji ) Hongera sana kwa Maono yako na Kuwaita Nyani, Mbwa na Sokwe. Eti kwakuwa Tajiri ana Kijiofisi chake Ghorofani pale...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
Mwana Yanga SC Mwenge Kama Designer Wetu aliishiwa Uzi si angesema tu tuliyonayo tumpe? Mwana Yanga SC Ubungo Huyu Designer Wetu na hivi ni Mchagga lazima tu atakuwa kabania Nyuzi na katumia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa jiinsi Bonabucha alivyo offensive kama Yusuf Ali angekuwa bondia wa hovyo hovyo tayari ingekuwa knock out. Ame ni impress sana . Ni sugu sana and very professional. Akipata watu wa ku...
0 Reactions
4 Replies
734 Views
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt Asha-Rose Migiro, Ampongeza mwanariadha Alphonce Felix Simbu kwa kunyakua Medali ya fedha baada ya kuibuka mshindi wa pili, nyuma ya Mganda Victor Kiplagat...
0 Reactions
0 Replies
447 Views
Timu ya taifa ya Tanzania ya mchezo wa kabaddi imefuzu kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo huo ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini India mwishoni mwa mwezi Oktoba. timu hiyo imefuzu baada ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mapema jioni hii mabingwa wa nchi, mabingwa mara nyingi na mabingwa wa kihistoria wamezindua rasmi uzi mpya utakao tumika msimu ujao. Mabingwa hao wameendelea kushika usukani katika kuzalisha na...
6 Reactions
78 Replies
6K Views
Dah hizi dharau sasa, msikiti wa Idrissa umewekwa kwenye jezi lakini hata kanisa la azania limeshindikana kweli bwana Ngowi, au ni maelekezo maalumu toka salamander maana hata wao umewaweka kwenye...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kwa bingwa mara 8 wa afrika wakati huo Al ahly alipokutana na timu ya wananchi Dar Yanga Afrika akapasuka bao moja bila KAMA KUNA TIMU YOYOTE IMEWAHI KUIFUNGA AL AHLY...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Kwakweli yanga wamejaribu kuteka attention za mashabiki mbalimbali kwa kusubiri jezi ambazo walisema zitakuwa bora kuliko timu yoyote ile, je Simba wataweza kuwafunika Yanga katika kuzindua jezi...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habarini wadau wa jamii forum nilikuwa naomba kujuzwa sehemu ambayo naweza jifunza boxing ,karate, kung fu au hata martial arts ambayo ina walimu bora zaidi na lengo la kujifunza sio kwa ajili ya...
2 Reactions
6 Replies
975 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…