Manara amekuwa akiendelea kuropoka licha ya adhabu anayotumikia. Amekuwa akilalamika kuwa kaonewa licha ya kupewa siku 21 za kukata rufaa. Ushahidi ambao angeutumia kwenye rufaa amekuwa akiusema...
Yote haya tunayoyaona ni kisasi tu, hapa bongo ukijifanya mjuaji kwenye hizi club za kariakoo basi wanamnenepesha mtani mwenzio ili akuchape gepu.
Mo nahisi ana tamaa sana ya kutaka malipo ya juu...
YANGA ikiwa ugenini inapiga mpira mkubwa mnooo, hapa Al ahly mashabiki walikuwa FULL HOUSE
achana na hawa jamaa zetu waliokuwa wakicheza na Al ahly kukiwa na mashrti sharti ya Covid
Maisha yana kwenda kasi sana, Wakati Yanga inafurahia kupata udhamini wa Bilion 12.335 kwa miaka mitatu, Wenzetu Simba wao wanafurahia kufikisha Followers milion 1...
Habari zenu wadau wa Michezo..
Inaelezwa kwamba Tanzania na Uganda wanatarajia kushirikiana kuomba kuandaa Mashindano ya AFCON mwaka 2027..
Haijaelezwa nani katoa hilo wazo ila ikumbukwe kwamba...
Kwakweli mgema akisifiwa Sana tembo hulitia maji Sina la kusema jezi zinatisha hazitamanishi hata
Si kwa ubaya viongoz wa Yanga mnaweza badilisha jezi hazina mvuto ni kituko
Vivutio vya...
Kocha wa zamani wa Vilabu vya mtibwa sugar, na kagera sugar MECKY MEXIME amesema katika dirisha hili la usajili klabu ya YANGA imefanya usajili kimbinu na kuzingatia zaidi uweledi na sio ushamba...
Cristiano Ronaldo amerejea Jijini Manchester na alitarajiwa kuwa na mazungumzo na Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag kuhusu hatma yake.
Mreno huyo ambaye amekosa wiki tatu za kwanza za...
Leo wanajangwani wamekamilisha dili lao la Bilion 12.3.
Kila dili wao wanafanya kwa uwazi (Transparence). Hakuna kuficha ficha wala kuambiana kuwa watalitangaza baadae. Yaani kila kitu kiko...
Wakuu lini izi latiba zinatoka rasmi Kama ya ligi kuu inaanza mwezi ujao latba bado ata ya caf bado hawajajua nchi zitakazo shiliki nini au Kuna ligi bado zinaendelea
Kiungo wa Juventus, Paul Pogba anaweza kuikosa michuano ya Kombe la Dunia 2022 itakayofanyika Nchini Qatar kutokana na kupata jeraha la goti alilopata katika mazoezi.
Pogba amesitisha kuwepo...
Katika maeneo ambayo yanga wamefanikiwa kuset msimu huu ni kwenye management, klabu yoyote ikiwa na management goigoi lazima mambo mengi yatakwama, Matunda ya mafanikio ndani na nje ya uwanja ya...
NI DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS
KLABU BINGWA BARANI AFRIKA ( Champions' Cup 1975)
NI timu nne tu Afrika nzima zilianzia second round ambazo ni
CARA Brazzaville ya CONGO BRAZAVILLE
AS Forces...
Na Thadei Ole Mushi.
Inahitaji utulivu na kufikiri nje ya Box...
Jana nimehoji hapa inakuwaje nchi ndogo kama Burundi yenye KM za mraba ambazo hazifiki hata nusu ya KM za mraba za Tabora na nchi...
Mwogeleaji wa Tanzania, Collins Philip Saliboko akiwa katika mazoezi makali kujiandaa na mchuano wa Michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham.
Collins, mwenye umri wa miaka 21, anaingia...
Timu ya soka ya Simba leo Julai 14, 2022 imeitangaza kampuni ya ubashiri ya M-Bet kuwa mdhamini wake mkuu kwa muda wa miaka mitano. Awali Simba ilikuwa ikidhaminiwa na kampuni ya ubashiri ya...
Klabu ya Simba katika kuendelea kujiandaa na msimu mpya wa 2022/23 leo Julai 27, 2022 imecheza mchezo wake wa tatu wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Haras El Hoduod, ambapo Simba imepoteza mchezo...
Ugeni mkubwa katika Tukio kubwa.
Karibu Kocha mkubwa Pitso Mosimane ushuhudie ukubwa wa. Timu kubwa.
Kocha mkubwa atahudhuria tukio kubwa kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.