Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Watu wa Soka, Leo nimeleta habari njema kwa vijana wenye vipaji. Singida Big Stars tumeanza kutengeneza timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 20. Kama una vigezo njoo utuoneshe uwezo wako au...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu? Bila shaka mu wazima wa afya... Leo hembu tukae tujadili hili , je ni nani yupo nyuma ya Haji Manara? Mara zote amekuwa akirudia jambo lile lile la kuzarau mamlaka husika...
2 Reactions
17 Replies
971 Views
Wakati Manara Yuko Simba tulidhani ni kawaida kumuona akig'ara Kwa umaarufu. Tulidhani alistahili kuwa hivyo kutokana na nafasi yake. Lakini uchunguzi umeleta mambo tofauti kabisa. Katika kauli...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Manara: Sikuwa nataka baada ya kusomwa hukumu ile niseme lolote wala sio kawaida yangu lakini kwakuwa hukumu ile ilikuwa na mambo mengi ya kuchafua jina langu, kuharibu reputation na image yangu...
9 Reactions
156 Replies
14K Views
Mtangazaji Maulid Kitenge Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya? Mchambuzi Jemedari Said Ushahidi wa Tuhuma za Haji Manara ziko wazi na hata...
18 Reactions
72 Replies
5K Views
BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi...
6 Reactions
66 Replies
4K Views
Ujumbe Kutoka Kwa Kolo Anaeajielewa[emoji116][emoji116][emoji116] Toka sakata la kinidhamu na labda la kijinai lifanyike pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, bado hakuna taswira...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchi katika septa ya michezo kumekua na porojo sana kuliko uhalisia wa mwelekeo wa mchezo wetu wa mpira wa miguu tumekua, tukiweka nguvu kubwa katika kuwahamasisha...
4 Reactions
13 Replies
933 Views
Wakuu salaam, Uongozi wa yanga, unajiandaa kumfungulia mashitaka rais wa tff kwenye kamati ya maadili muda wowote kuanzia kesho kwa matamshi yake ya kuwatukana na kuwadhalilisha. naisubiria kwa...
7 Reactions
75 Replies
5K Views
Kwa sasa Haji Manara ni kama maji usipomuoga utamnywa. Amesisitiza Simba sio mwakilishi wa Tanzania bali ni mwakilishi wa East Africa nzima hii yoooote
8 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwa wale watu wa michezo hasa soka nadhani wanajua vituo hivi vya tv nguli vya michezo superspot ya south Afrika na bein sports ya Qatar. Sasa kipi bora katika uchambuzi wa michezo na hata...
2 Reactions
118 Replies
25K Views
SEKRETARIETI YA TFF IMEKOSEA KUMUADHIBU HAJI MANARA Mbali na mambo mengine katika sakata hilo, bado pia kuna mengine ambayo ni pamoja na haya yafuatayo: (1) Katika Kanuni zote za adhabu za...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Sekretarieti ya Shirikisho la Soka Tanzania imemfunguli mashitaka Kocha wa Azam FC U-17, Mohamed Badru mbele ya Kamati ya Maadili kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi. Tarehe ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii yanga sc ya Hersi mbona laini laini sana? Manara keshamwaga petrol leo, hamna viberiti vya gas? Mbona mko kimya? Mnaonewa na waziri...TFF halafu mmekaaa kama maboya tu, hadi mnaitwa vinyesi...
1 Reactions
6 Replies
923 Views
Wakuu wapenzi wa soka na haki za binadamu hili linawahusu! Psychologically, Manara inaonekana ana jaziba juu ya adhabu aliyopewa, yawezekana ameonewa lakin professionally hatumii hekima, Ni kama...
3 Reactions
148 Replies
9K Views
Wanayanga wenzangu hivi kweli kwa ukubwa wetu hapa nchini ndugu haji manara anatudhalilishaje kuwa wenye akili ni wawili tu tena mpaka na majina amewataja. Hii haikubaliki
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa mwelekeo ulivyo na akili ya Manara ya kunyea kambi kawanyea mpaka tff.... bado kwako yatakukuta muda utaongea. Akili ya Manara ni ya hovyo tena ya kishetani na mpaka hapa mtaungana namie! 1)...
14 Reactions
39 Replies
3K Views
Moja kwa moja kwenye mada, Toka kutolewa kwa hukumu iliyomfungia aliyekua msemaji wa klabu ya yanga ndugu Haji Sunday Manara kumekua na makundi mawili ama moja linahisi Manara ameonewa ama...
12 Reactions
42 Replies
2K Views
Watu wamewekeza mamilioni ya pesa kutafuta mtu wa kumtukana na kumdhalilisha Mo Dewji na katika kuhakikisha MTUKANAJI anaishi vizuri bila msongo wa mawazo wakamtafutia aprtment baharini huko...
1 Reactions
10 Replies
919 Views
Haji manara wengi wanamfahamu kama el bugati wiki hii amekuwa gumzo kutokana na kudindishiana kifua na TFF. Sasa za ndaaaaaani Haji Manara hii jeuri anapewa kiburi ni kiongozi mkubwa aliewahi...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…