Mchambuzi wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema Haji Manara anapaswa kujiweka mbali na marafiki wanafiki ambao wanamjaza upepo (Kumdanganya) kwamba hana makosa kutokana na hukumu aliyoipata ya...
Manara anawadanganya Yanga kwamba haiwezekani Ismailia wacheze mechi ya ligi leo na kesho wacheze friendly na Simba Sc.
Tunafahamu hiyo sio akili yake bali ni Uchawa kwa GSM. Sasa kwa sababu ni...
Ati wanaita estadio de Mkapa, sijui ni mbwembwe au nini?
Kiswahili kina misamiati mingi, kwann isitumike badala ya kuweka maneno ya kireno?
Mzee kajenga uwanja kwa heshima ya nchi na mpira. Japo...
Klabu ya Simba imejitupa uwanjani hii leo kwenye mchezo wa Kimataifa wa kirafiki (International Friendly match) dhidi ya Al Akhaood Club, ambapo matokeo ni kuwa Simba SC imeibuka na ushindi mnono...
.
FT: SIMBA SC 6-0 AL AKHDOOD
⚽️ Phiri 🅰️ Chama
⚽️ Mkude 🅰️ Okrah
⚽️ Kagere 🅰️ Banda
⚽️⚽️ Sakho
⚽️ Nyoni
My Take
Sakho kuna maelekezo kapewa na Sadio Mane. Tusije kulaumiana
Nadhani wananchi tumtegemee Manara katika shamrashamra zetu mapema mwenzi ujao,sababu hili ni jambo letu wananchi ni sherehe yetu ya ndani hatuingiliwi na vifungu vyovyote!
Otherwise hapa Mzee...
Jamani embu haya mambo yakae sawa, watu wa graphics wa simba nafikiri ni vilaza flani hivi slow learners sana
team imecheza na Abo hamad ya misri iliyopo daraja la pili siyo al akdood ya saud...
Katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa msimu ujao wa 2022/ 2023 kwa michuano ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa, Simba SC leo Julai 22, 2022 imekamikisha usajili wa beki wa dimba la...
Pamoja na sportpesa kuwa ni taasisi kubwa ya kimataifa inafanya mikataba mibovu na washirika wake. Imenishangaza sana kujitoa kwa Simba kwenye udhamini imekuwa kama jambo la ghafla.
Nilitegemea...
Utani wa simba na yanga ulijengwa kwenye misingi ya ushindani toka huko nyuma hasa uwezo wa uwanjani.
Leo utani umetoka kwenye misingi yake badala yake imekuwa mashambulizi ya mtu na mtu au kundi...
Wachambuzi wa masuala ya kimichezo duniani kote wameajiriwa na vyombo mbalimbali ili kutoa maoni juu ya matukio ya kimichezo yanayoendelea, aidha katika mechi au katika matukio ya kiuwekezaji na...
Wazungu wanasema; The Sky is the Limit.
Hii kauli itatimia kwa mchezaji wa mpira wa miguu yeyote atakayejitahidi aichezee klabu ya Simba ya Tanzania.
Alianza Samatta, kutoka Simba SC akaenda...
Jaman hili ni goli tuuuuu na haliondoi ukweli kuwa mmekuwa na poor performance in 2021/22 season. Aidha, Haliondoi the fact kwamba mmepigwa na Prisons, Mbeya city na Kagera kwenye ligi.
Pia...
Haji Manara alifungiwa mwaka 1 na faini ya shilingi Milioni 9 mwezi April 2017 baada ya kukutwa na Makosa 3 ambayo yaliwekwa wazi na Kamati ya Maadili ya TFF.
1) Kuituhumu na Kuidhalilisha TFF na...
Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu.
1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league...
Mfatilie vizur uyu Jamaa Toni kroos,
Tangu nmeanza kumfatilia akiupiga mwingi kwenye ile world cup ya 2014,
na viatu Hivi Hivi akiwa Bayern mpaka anahamia madrid. Uyu Jamaa Hajawai kabisa...
Nimeuona mpira wa Simba Leo, kiukweli japokuwa wameshinda bao 4 0 lakn mpira umepigwa mwingi sana, bao la kwanza alifunga Mosses Phiri, Mkude akaweka la 2, Kagere akaweka la 3 na Pape Sakho...