Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nikiangalia jinsi usajiri wa mwaka huu naona kama hata hiyo robo fainal km hatutoikanyaga mn naona kuanzia uongozi mpk mashabiki km hatuna raha kbs na usajiri huu cjui muhindi kachomoa betri?
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Japo laana ni suala la kiimani na vitu vya kiimani ni ngumu kuvithibitisha,lakini kwa namna flani haya mambo ya laana yapo. Mwaka 1962 baada ya taji lake la pili la kombe la Ulaya alilowafunga...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Kwa miaka ya ivi karibuni league kuu ya soka ya Tanzania imeongeza hamasa ya kutazamwa na baadhi ya wana habari wa michezo wa kubwa toka nje ya Tanzania. Kwa kipekee kabisa mchango unaofanywa...
0 Reactions
1 Replies
405 Views
Hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa hasa katika soka kwani imefahamika kwamba mshambuliaji mpya wa Simba Adam Salamba atavuna kiasi cha pesa ambacho hakika hakuwahi kuvuna katika maisha yake ya...
1 Reactions
53 Replies
21K Views
Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya KAMA utani imetimia miaka 27 tangu vinara wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Yanga ilipoandika rekodi ya aina yake jijini Kampala. Kwa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Klabu ya Simba imeendelea kuonesha ukubwa wake. Ni jinsi gani wachezaji wazawa inaendela kuwaamini katika kikosi chake na kuwathamini. Thamani yao inakuja kutokana na kupewa kipaumbele cha...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Hii ndio taarifa inayosambaa kwa kasi mitandaoni kwa sasa , kiasi cha kuzua mgogoro kati ya Simba na Namungo FC. Namungo inalalamikia rafu zinazochezwa na Simba kwenye suala la Kichuya huku...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Hiki ni kipindi kizuri sana, tatizo kubwa ni muda wa kuanza kipindi ambapo wengine bado huwa tupo ibadani maana huwa wanaanza saa mbili kamili asubuhi. Kwasisi watu wa zamani, kipindi hiki huwa...
1 Reactions
4 Replies
808 Views
Kuna Watu wanapenda sana kutufanya Watanzania Wote ni Mabwege Mtozeni kama walivyo. Tukutane kuanzia Mechi ya Ngao ya Jamii na endeleeni tu Kukariri na kujipa Moyo kuwa Msimu wa 2022 / 2023...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Kaa tayari kwa Big Prayer Je ni Aziz K?
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwema? Nashindwa kuelewa huu Usajili wa timu yangu ya Simba Kwa Sasa. Performance ya timu kwa msimu ulioisha haikua nzuri, na ni ishara kua kulikua na mapengo kadhaa. Na kawaida mapengo ya timu...
3 Reactions
11 Replies
998 Views
Ni hujumaaa Msimu wa ligue unaokuja hatutaleta team uwanjan hakuna fair compétition mnaleta wachezaji toka Newcastle uko ulaya mara rayo valacano wakat wenzenu tunasajili wakina kyombo walio...
13 Reactions
117 Replies
5K Views
Nazani kila mtu anajua mwaka huu kwenye bajeti ya wizala ya michezo zipo pesa kwa aajili ya kuboresha viwanja lini wataanza hatujui na hua inachukua muda gani wataaram mtusaidi huwa siamini sana...
1 Reactions
9 Replies
958 Views
Watu wa Soka, Kuanzia sasa Abdulmajid Mangalo ni BIG STAR. Tumemuongeza kikosini Nahodha huyu kutoka klabu ya Biashara United na tutakuwa nae kwa mkataba wa miaka miwili. Mangalo ni mchezaji...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Habar wana jamvi.. Kwa DSM ama nje ya DSM wapi naweza kupata academy nzuri ya kumkuza mwanangu kwenye mpira wa miguu? Kijana ana miaka 8 na anapenda sana mpira. Sasa maona ni wakati mwafaka wa...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Mjini watu wanaishi kwa mbinu, bila kumfukiza Matola, Simba msitarajie jipya. Matola anajua uwepo wake simba haukubaliki, hivyo anakusanya vyake
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Najua kipengere cha kuhoji dini kimekataliwa kwa sababu ya unyeti (sensitivity) wake, Lakini huku kwenye simba na yanga haitaleta madhara yoyote. Ni ushauri tuu ili tukate mzizi wa fitna. My...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Klabu ya Simba, Wekundu wa Msimbazi leo Julai 11, 2022 imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo nyota Nassoro Kapama kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya Kagera Sugar. Nyota huyu...
8 Reactions
102 Replies
7K Views
Kuna vitu vinaendelea kuhusu usajili ambao tff wameachia dirisha hilo kuanzia 1/07/2022 hadi 30/08/2022 ambapo tunashuhudia mambo kipindi hiki. Timu ya Yanga Afrika ilichagizwa na uchaguzi...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Simba SC, Wekundu wa Msimbazi kutoka Jiji la Dar es salaam, leo Julai 10, 2022 wametangaza kukamilisha usajili wa kiungo wa dimba la katikati Mnigeria Victor Akpan (24) kwa mkataba wa miaka miwili...
13 Reactions
63 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…